Mimi naona tofauti kabisa na mnavyo ona Yani obora tulionao sio tunao stahili kabisaaa benchi la ufundi haliko sawa kabisa timu inapangwa shaghala baghala tumeletewa namba 6 haminiwii Yani beki 3 ipo myaka kibao na imeongezewa mkataba juzi tu nae haminiwii una mastreka 2 badala watumike tofauti wanapangwa pamoja na mawinga wapo tu.
Timu ya kindezi kabisa hii tuna toa nayo sare kweli wale wajinga nao wametusumbua wee Man city kawapangia watoto na kawapiga sita
Mtakuja gundua tu tunatumia nguvu nyingi kuliko akili.
We have been good this season mkuu, 24 points after 11 games, ni good return, and if it wasnt for Darren England & VAR blunder at Spurs, bado tungekuwa un-beaten.
Against Luton, tatizo lilikuwa ni kwenye structure na jinsi tulivyo-approach game yanyewe, Yes Klopp is part to blame kwa kuchelewa ku-react (Subs & tactical tweaks), but our senior players dissapointed us sana on sunday (Trent, Dom, Macca, Salah, Nunez, Jota etc), huwa inatokea tu kwenye football sometimes, bad day at the office, kinachoumiza ni kuwa it was LUTON, but bottom line ni kuwa huwa inatokea, so ni suala la ku-move on, na kuisahau ile game.
Yes, it seems Klopp doesnt trust Endo (Kwenye PL), tukisema hamuamini kabisa tutakuwa tunakosea, maana ameanza kwenye cup games na Europa games zote, ni kwamba tu kuna utofauti kati ya pace & demands za PL na zile za kwenye Cups & Europa, so maybe Klopp is taking his time?, Macca ana uzoefu na PL, Endo hana, though inaumiza kuwa na a natural 6 na haanzi, but it took Fabinho 3 months ku-break in kwenye kikosi cha PL, hata hivyo, ningekuwa mimi ningekuwa nampa minutes Endo kwenye games hizi za against Luton, games kubwa ningekuwa namuanzisha Macca, but in a pivot. but again, Klopp ndiyo anamuona Endo kwenye training kila siku, so yeye ndiyo mwenye judgement ya mwisho, but naombea tu awe fasta kwenye maamuzi, especially kulingana na fixtures ngumu tulizonazo now mpaka december.
Kostas amekuwa fairly used at LFC, he's our 2nd choice, na nadhani amepata/anapata nafasi za kutosha at LFC, ni kuwa kuna games ambazo kocha anaona ha-fit kulingana na playing style ya opponents, so siyo lazima aanze, but hata akiondoka leo atakuwa proud na his career at the Club.
We are good, target ya msimu huu should be top 4 finish, though chochote kinaweza kutokea, but bado hatuna team ya kubeba League (we are good ENOUGH for Cups & Europa, and i think we have a big chance kwenye Europa, na EFL the race is wide open), kama nilivosema HAPA, 6-7 years ago, League ni marathon, na huwezi kushinda bila a world class number 6 (out and out 6), back then, we were good, so good but we started to win big trophies & ears when Fabinho showed up at AXA.
So far tupo vizuri, tuna new faces in the middle, na on sunday ilikuwa ni game yao ya kwanza ngumu interms of performances, but overall we have been good.