Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp avae miwani labda ataona hiki unachosema hapa bila chenga.
Timu haina balance kabisa kuanzia DM na defence na ishu kuu timu za EPL zina tabia ya kusomq waliotuzuia ama kutufunga wametumia mbinu ipi na mpaka sasa ni dhahiri wameshastukia kwa Trent ni uchochoro.
Macca yupo pre season
Mbele Nunez is being Nunez

YNWA
Nunezi anakitu kipo wazi kabsaaa lakini anatumikaje?
Hivi kwanini tunasajili wachezaji kwa namna walivyo hafu wakija tunawabadiliahia matumizi si wachezaji wote wanapenda hii mjue.

Huyo dogo kaongezewa majukuma na yake hajayamudu bado hivi inawezekanaje acheze nafasi ya Macc hafu akapige krosi?

Tunalaumu wachezaji ila kosa ni la mwalimu kabahatisha hilo kombe naona mumempa bichwa anafanya atakavyo

HII TEAM INATUMIA NGUVU NYINGI MNOO KUSHINDA UFUNDI NI MDOGO SANAAA

NDOMANA TEAM NDOGO ZENYE WALIMU WAZURI ZINA TUSHINDA.
Asenal anafungwa pia ila kimchezo wao wapo juu sana tu.
Ni wazi sisi tuna wachezaji walio Bora zaidi yao
 
Salah huyu hapa
View attachment 2807298

Khavicha huyu hapa
View attachment 2807299

Khavicha at Anfield huku nyuma yake akicheza Domy na Macca itakua full mchakamchaka.

Klopp should break the bank for this..

Khavicha is a baller man, aje tu japo its won't be cheap..

YNWA

I think kuna areas ya his game ambazo zinaweza kuwa improved & coached.

But, i dont think he has enough goals.

For example, he's better than Diaz, but wote wawil hawana enough goals, good wingers/attackers, but return ya goals siyo elite.

Nunez, Diaz, Jota & Gakpo ni group la big talents, but tunahitaji a SALAH, wa kum-compansate defects ya goals ya kwenye hilo kundi, hence replacing Salah, itakuwa ni ngumu sana kuliko ilivyokuwa kwa Firmino & Mane.
 
Mimi naona tofauti kabisa na mnavyo ona Yani obora tulionao sio tunao stahili kabisaaa benchi la ufundi haliko sawa kabisa timu inapangwa shaghala baghala tumeletewa namba 6 haminiwii Yani beki 3 ipo myaka kibao na imeongezewa mkataba juzi tu nae haminiwii una mastreka 2 badala watumike tofauti wanapangwa pamoja na mawinga wapo tu.
Timu ya kindezi kabisa hii tuna toa nayo sare kweli wale wajinga nao wametusumbua wee Man city kawapangia watoto na kawapiga sita

Mtakuja gundua tu tunatumia nguvu nyingi kuliko akili.

We have been good this season mkuu, 24 points after 11 games, ni good return, and if it wasnt for Darren England & VAR blunder at Spurs, bado tungekuwa un-beaten.

Against Luton, tatizo lilikuwa ni kwenye structure na jinsi tulivyo-approach game yanyewe, Yes Klopp is part to blame kwa kuchelewa ku-react (Subs & tactical tweaks), but our senior players dissapointed us sana on sunday (Trent, Dom, Macca, Salah, Nunez, Jota etc), huwa inatokea tu kwenye football sometimes, bad day at the office, kinachoumiza ni kuwa it was LUTON, but bottom line ni kuwa huwa inatokea, so ni suala la ku-move on, na kuisahau ile game.

Yes, it seems Klopp doesnt trust Endo (Kwenye PL), tukisema hamuamini kabisa tutakuwa tunakosea, maana ameanza kwenye cup games na Europa games zote, ni kwamba tu kuna utofauti kati ya pace & demands za PL na zile za kwenye Cups & Europa, so maybe Klopp is taking his time?, Macca ana uzoefu na PL, Endo hana, though inaumiza kuwa na a natural 6 na haanzi, but it took Fabinho 3 months ku-break in kwenye kikosi cha PL, hata hivyo, ningekuwa mimi ningekuwa nampa minutes Endo kwenye games hizi za against Luton, games kubwa ningekuwa namuanzisha Macca, but in a pivot. but again, Klopp ndiyo anamuona Endo kwenye training kila siku, so yeye ndiyo mwenye judgement ya mwisho, but naombea tu awe fasta kwenye maamuzi, especially kulingana na fixtures ngumu tulizonazo now mpaka december.

Kostas amekuwa fairly used at LFC, he's our 2nd choice, na nadhani amepata/anapata nafasi za kutosha at LFC, ni kuwa kuna games ambazo kocha anaona ha-fit kulingana na playing style ya opponents, so siyo lazima aanze, but hata akiondoka leo atakuwa proud na his career at the Club.

We are good, target ya msimu huu should be top 4 finish, though chochote kinaweza kutokea, but bado hatuna team ya kubeba League (we are good ENOUGH for Cups & Europa, and i think we have a big chance kwenye Europa, na EFL the race is wide open), kama nilivosema HAPA, 6-7 years ago, League ni marathon, na huwezi kushinda bila a world class number 6 (out and out 6), back then, we were good, so good but we started to win big trophies & ears when Fabinho showed up at AXA.

So far tupo vizuri, tuna new faces in the middle, na on sunday ilikuwa ni game yao ya kwanza ngumu interms of performances, but overall we have been good.
 
Siyo jana tu!
Mechi nyingi tu Nunez anamiss magoli mengi tu
Hadi huwa nasema humu, kwamba tungekuwa tunashinda Kwa magoli mengi tu kama isingekuwa uzembe wa Nunez.

Kwahiyo tulimuweka acheze ili akasindikize?Mule ndani amepewa namba akafanye Nini?
Kazi yake mule ndani ni kufunga , not otherwise.
Yaani assist tumpe afu abutue na tumuache tu!,😂😂😂
Nunuez ni km kijana aliye balehe na kuzoea punyeto madhara yake akipata mke yeye anapapara mwishowe hawez kumridhisha mwanamke na yeye mwnyw anaweza kufika kileleni kabla hata hajaanza kufnya mapenz
 
I think kuna areas ya his game ambazo zinaweza kuwa improved & coached.

But, i dont think he has enough goals.

For example, he's better than Diaz, but wote wawil hawana enough goals, good wingers/attackers, but return ya goals siyo elite.

Nunez, Diaz, Jota & Gakpo ni group la big talents, but tunahitaji a SALAH, wa kum-compansate defects ya goals ya kwenye hilo kundi, hence replacing Salah, itakuwa ni ngumu sana kuliko ilivyokuwa kwa Firmino & Mane.
When Salah or Mane joined non had been near as clinical as they turned hapa Liverpool that why i bank on Khavicha any day of the week as he is fast with acute passee in this case zitue kwa Nunez just like anavyofanya kwa Osimen pale Napoli hivyo kama Klopp ataamue kwenda na dogo basi we are on th same page na kingine just like Salah he has tricks na anajilinda sana kutoumia hovyo hovyo...
To get th3 best of Nunez he is the right candidate, msimu uliopita Serie A Khavicha alipata goli 12 na assist 10 na kadi moja ya njano katika mechi 30 akianza na mechi 4 akitokea benchi
Salah msimu uliopita EPL alipata goli 19 na assist 7 akicheza mechi 34 na moja akitokea benchi huku akipata kadi 2 za njano...
Kwa mbali unaweza kuona japo Salah msimu uliopita timu ulimwangusha kwa kua hatukucheza vyema lakini yeye na Khavicha hawajaachana sana out put with Khavicha still being 22 years bado ana miaka kibao kujiweka sawa.. Salah alijunga Liverpool akiwa na miaka 25 hivyo huyu dogo kwa umri huu bado potential na peak hajaweka kufika elite level kwa kua kipaji kipo he is worth a try, changamoto na ku negotiate na Napoli President Aurelio de Laurentiis yaaani a hard nut kama Kipara wa Spurs.

YNWA
 
Wewe una angalia LiveScore utajuaje Trent hakucheza vyema vs Luton 😂😂😂😂😂

YNWA
😂😂😂
Bwana nimeangalia mechi
Tena naangalia hata mara 3

Ama ndio sijui mpira!
Iweje Trent pekeyake alaumiwe😆
 
Attachments

  • IMG_20231107_182318_061.jpg
    IMG_20231107_182318_061.jpg
    499.6 KB · Views: 5
  • IMG_20231107_182312_412.jpg
    IMG_20231107_182312_412.jpg
    462.8 KB · Views: 4
  • IMG_20231107_182311_672.jpg
    IMG_20231107_182311_672.jpg
    519.4 KB · Views: 5
Kwahiyo umemgeuka tena ndugu yako?
Si ni nyie jana na Captain mmenisema humu kuwa mimi hater [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tukimsema mnatuona haters[emoji23]
Sisi hatuna wasiwasi na kipaji chake cha kukimbia na bidii ya kusogeza mpira mbele na assist.

Shida inakuja akishapata mpira na yupo golini, anapata kiwewe... Chance kama hizo Salah huwa hafanyi makosa kabisa.

Mnakimbilia kusema ooh ameshascore magoli mengi, angalia records...sawa kascore na Klopp kamsifia...
Lakini sasa anayokosa ni mengi, tena kwa uzembe kabisa,, sehemu ya kupata yeye anakosa na sehemu ya kukosa anapata.
Sasa akiweza kupata sehemu ya kupata ndo tutaongea lugha Moja kwamba ni mwamba.

Sijamgeuka hata kidogo, nipo nae huyu mpka mwisho wa dahari.

Nunez mr bangers tu, tap ins tumuachie Hallaand.

Nunez is the best second striker after Hallaand EPL.
 
Ngoja kaka yake aje atoe maelezo juu ya hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Captain Marvelous njoo utupe ufafanuzi wa haya mambo[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]

Tap in zinamshinda Nunez, hizo unazoziita ya kupata anakosa…

Suala la muda. Kuna stats na picha yake nimetaka kuleta humu nikajua huyu bibie atafuraaaaaaaaahi sana wacha ikae huko kwanza.

Nunez missed 10 big chances msimu huu wa EPL game week 11. Zingatia big chances
 
Picha watu washaweka humu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bwana, mjue mie namuonea huruma😆basi tu

Juzi kamekosa kakagonga kichwa mara mbili, huruma ikaniingia🤣
 
When Salah or Mane joined non had been near as clinical as they turned hapa Liverpool that why i bank on Khavicha any day of the week as he is fast with acute passee in this case zitue kwa Nunez just like anavyofanya kwa Osimen pale Napoli hivyo kama Klopp ataamue kwenda na dogo basi we are on th same page na kingine just like Salah he has tricks na anajilinda sana kutoumia hovyo hovyo...
To get th3 best of Nunez he is the right candidate, msimu uliopita Serie A Khavicha alipata goli 12 na assist 10 na kadi moja ya njano katika mechi 30 akianza na mechi 4 akitokea benchi
Salah msimu uliopita EPL alipata goli 19 na assist 7 akicheza mechi 34 na moja akitokea benchi huku akipata kadi 2 za njano...
Kwa mbali unaweza kuona japo Salah msimu uliopita timu ulimwangusha kwa kua hatukucheza vyema lakini yeye na Khavicha hawajaachana sana out put with Khavicha still being 22 years bado ana miaka kibao kujiweka sawa.. Salah alijunga Liverpool akiwa na miaka 25 hivyo huyu dogo kwa umri huu bado potential na peak hajaweka kufika elite level kwa kua kipaji kipo he is worth a try, changamoto na ku negotiate na Napoli President Aurelio de Laurentiis yaaani a hard nut kama Kipara wa Spurs.

YNWA
Bobby unaishi kwa Imani sana
Kwahiyo, Kwa sababu Salah na Mane walifanya vizuri, unaamini pia atakayembadili Salah atakuwashaz,, tena akiwa bado mgeni😁
 
Bobby unaishi kwa Imani sana
Kwahiyo, Kwa sababu Salah na Mane walifanya vizuri, unaamini pia atakayembadili Salah atakuwashaz,, tena akiwa bado mgeni😁
😂 😂 😂 😂 Wewe dogo una nini lakini, hivi bila imani kweli hata hio mechi ijayo ugenini Toulouse unaweza kutulia LiveScore kufuatilia?
Nina imani na Khavicha ana kipaji, anajituma, ana ma shuti kwa mfano msimu uliopita alipiga mashuti 64 golini akiwa pia ana pass completion ya 84% na XG ya 7+... Sasa mpaka hapo huna imani anatufaa? Changamoto bei na yeye mwenyewe binafsi tetesi ni kwamba ndoto yake kucheza Real Madrid..

YNWA
 
Picha watu washaweka humu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bwana, mjue mie namuonea huruma😆basi tu

Juzi kamekosa kakagonga kichwa mara mbili, huruma ikaniingia🤣
Huyu Miss Liverpool wala usihangaike nae sana huyu Nunez atakuja kumzima mazimaaa tu hilo wala sina wasiwasi..

Nunez msimu huu lazima atupie goli 20 EPL.

YNWA
 
Nunezi anakitu kipo wazi kabsaaa lakini anatumikaje?
Hivi kwanini tunasajili wachezaji kwa namna walivyo hafu wakija tunawabadiliahia matumizi si wachezaji wote wanapenda hii mjue.

Huyo dogo kaongezewa majukuma na yake hajayamudu bado hivi inawezekanaje acheze nafasi ya Macc hafu akapige krosi?

Tunalaumu wachezaji ila kosa ni la mwalimu kabahatisha hilo kombe naona mumempa bichwa anafanya atakavyo

HII TEAM INATUMIA NGUVU NYINGI MNOO KUSHINDA UFUNDI NI MDOGO SANAAA

NDOMANA TEAM NDOGO ZENYE WALIMU WAZURI ZINA TUSHINDA.
Asenal anafungwa pia ila kimchezo wao wapo juu sana tu.
Ni wazi sisi tuna wachezaji walio Bora zaidi yao
Ninachokiona hapa ni kama Klopp hakua ameweka plan B kabisa ishu ya Fabinho kuodoka yaaani ukitazama ni kama Klopp alikutwa kabisa off guard maana anajua vyema matatizo yetu kule nyuma kuko weak sana hatuna mchezaji pale nyuma ambae anaweza kusema yupo kwenye peak sio TAA (huyu mh failed hybrid MF kwa sasa), VVD, Matip Konate same old same old, Robbo not as good as zamani., angalau with Fabinho kulikua na some sense of compactness lakini sasa ile cover is gone wakati mwingine under presha Konate sana sana ili kumlinda Trent anaishia kula kadi, haya Macca mwenye jukumu la kuwalinda wala hata hana huo uwezo hivyo ukitazama kwa makini utaona matatizo yanaanza tukiwa under presha we blink fast n easily,
Hili la Klopp kumbadili dogo Macca kutoka usual AM ya Brighton na kuja kumchezesha HM ndio shina kubwa as without cover when we lose the ball we will suffer...

January ikifika waingie sokoni mapema aje DM Rodri or Fabinho like superb to spot n shut any threat kabla haijatudhuru...

Tofauti na hapo Klopp abadili mfumo mapema maana huu wa sasa tunashinda tupo pazuri sana kwenye msimamo na imagine tupo pale kwa uchezaji huu wa sasa meaning kuna nafasi kubwa sana ya kuboresha aisee na tuwe competitive again.

Klopp mambo yote kashajua nini afanye haya majaribio ya Macca yatakuja kumstua kwa vipigo twaedako...

YNWA
 
😂😂😂
Bwana nimeangalia mechi
Tena naangalia hata mara 3

Ama ndio sijui mpira!
Iweje Trent pekeyake alaumiwe😆
Kimsingi the boys had a bad outing ishu sio mara ya kwanza ugenini kwa hizi timu zinazopanda daraja Klopp hua zinamsubua sana sana, sijui wanadharau kwamba hata wacheze vipi ushindi waja ama namna gani sielewi kwa kweli.

Trent ni kama anaboeka kucheza RB na anafosi kwa nguvu zote ahamie kati RMF.. Sasa ikiwa hivyo nani ale benchi Domy, Gravenberch au Macca.

Hatupo vimbaya sana kimsamamo EPL kuanza kupaniki lakini vile vile hatupo vizuri kuanza kuota ubingwa mhmhmh hapo hapana kazi bado inaedelea kufika level za Kipara

YNWA
 
International Break.

Means, activities za club football zinakuwa chache, and you get to be free kidogo kwenye offices za watu, kutumwa tumwa kukusanya datas/profiles kunapungua kidogo, na unapata nafasi ya kujiachia Jamii forums.

Captain, i see you brother, nikadhani umetimkia uarabuni pamoja na Henderson. Good to see you ukiwa in good shape man, was starting to get worried.

Ngwaba & Zumbemkuu, mmejaa humu, muda huu nilikuwa naangalia posts za LFC fans humu, naona mnajinafasi si mchezo, kweli Henderson alikuwa anawapa shida sana.

I love y'all LFC fans kwa hii thread, i love this thread to the fullest, my favorite part ya jamii forums.

#LFC
😂 😂 😂 😂 Man the Henderson was pain in the ...s, couldn't even understand ever what he offered kwa Klopp huko mazoezini mpaka the Great Captain Fantastic Mr Gerrard akaona atuokoe aisee...
Ishu yangu kuu na huyu bwana ni kwamba he was never good enough kwa mfumo wa Klopp he shined when others shined lakini Waingereze bhana wanajua namna ya kutetea thier own..utasikia Henderson what a man off the pitch LGBG nk nk whats man representing Liverpool on n off field, kimsingi kumtetea huyu bwana ilibidi ma pundits watumie zaidi ya nje ya uwanja especially during covid era kumpublish nk nk lakini ilifika mahala Klopp akaona hawa ma pundits hukooo itakua ni mawakala wa Kipara kumzima Klopp 😂.. This season Klopp hakutaka kupepesa maneno ni jambo moja tu alisema.. Henderson ukibaki i can't assure you anything utakula benchi kama wengine nk nk, then came the cash loadee Arabs n phewwwwww Henderson was gone, am more than relived yule dogo kusepa was the best part of business this summer...

Tupo pamoja MosDef

Liverpool yetu pendwa ipo ipo not really there but we can see the ideas za Klopp ishu how to execute with positive results that will take time.
Am at peace with new boys settling in mdogo mdogo n kuanza kuonyesha whats a functioning progressive MF should look like... We get the DM sorted n we have a proper team here

YNWA
 
Back
Top Bottom