Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


I dont know, but i'm not that solid on him.

Salah/Mane situations were so different, we were creating a team kipindi kile, so hawakuja na big expectations au mzigo wa mategemeo, so hakukuwa na huge pressure ya ku-perform kwa ukubwa straight-away.

Kama akija, Khvicha, anakuja ku-replace na kubeba mzigo wa Salah, so lazima kutakuwa na huge expectations, ambapo sometimes huwa inaleta positive/negative reactions kwa players.

Khvicha, is 22, ni kama Nunez, and theres no way Napoli will sell him chini ya £80m, so atakuja na expectations, LFC fans expected Nunez kutupa numbers/play like Firmino straight-away, which is impossible, some players needs room ya development, itakuwa ni same kwa Khvicha, but unfortunately, tuna fans ambao they just cant wait to bash these young talents, ili ku-prove tu their points.


So, i fear same outcome kwa Khvicha, because i'm 100% sure, he will need a lot of coaching and patience, especially kwenye suala la goals-output. fans watasubiri? au wataelewa kuwa replacing Salah is just hard?
 

Haaland, ambaye ndiye litmus test yenu (kwamba ndiye the best ST in the league) ana 11 BCMs (Big Chances Missed) mpaka sasa. kacheza 934 minutes mpaka sasa kwenye PL

Watikns, ambaye Pundits huwa wanamu-hail kama most inform ST in the league right now ana 11 BCMs (Big Chances Missed) kacheza 950 minutes mpaka sasa.

Nunez, ambaye anakuwa trolled na his OWN fans, ana 10 BCMs mpaka sasa, kacheza 506 minutes mpaka sasa.

Hojlund (Utd) ana 0 goals and 6 BCMs.

whats the difference between Haaland & Nunez? kwenye ku-miss big chances? au we are just clowning Nunez because its fashionable? how can you complain kwa ST wako kuwa na BCMs nyingi? what if kama angekuwa hapati hata hizo BCMs? mbona hatucheki BCMs za Haaland, Watikns, Hojlund, Jackson? etc

Against Luton, he had I BCMs, and it came after Salah heading-blunder, mbona hatulaumu ile BCM ya Salah? au its just funny to call out Nunez? afu kibaya zaidi, kid is having a good season, Klopp has worked a LOT kurudisha confidence ya Darwin, but here we are, us LFC fans trying our hardest ku-destroy his confidence again, considering msimu alionao now, na its just because tunasubiria a-fail ili tupate ku-score points.

I was one of Henderson's biggest hater, but hata siku moja nilikuwa siombei awe na bad game ili nije ku-score points humu, because kama akiwa na bad game team ita-suffer, hence kila siku nilikuwa naombea awe na good outings, ili team ishinde, because i support LIVERPOOL, siyo players.

I understand mitazamo kwa wachezaji inatofautiana, but how can you hate on a player who is working his socks off kila akiwa uwanjani? ana goals 4 kwenye 10 PL games, tena akiwa na 506 minutes on his belt, 300+ minutes less than Haaland & Watikns ambao tunaambiwa wapo kwenye form.

He has goals in Europa, EFL etc, what more do you need from your ST? actually msimu huu he's posting same numbers kama za Mane & Firmino, cant y'all just be happy?
 

Kilichokuwa kinaniuma kwa Henderson, ni kupewa maua yote kwa kazi walizokuwa wanafanya kina Fabinho, Gini, VVD, Alisson, Matip, Mane, Salah, Firmino, Robertson etc.

Henderson amekuja LFC akiwa na miaka 20, tumemshuhudia akikua at LFC, tumeshuhudia uwezo wake at LFC, tulikuwa tunajua his limitations, but we started flying, sifa zote zikawa zinaenda kwake, hard-works za wachezaji wengine zikawa zinawekwa chini ya carpet, it was absurd.

Some, were saying ni greatest LFC captain ever, ilkuwa ni shida, i'm just glad he's gone.

Yeah, we are going in the right direction, just need few additions, and we will be solid.
 
Sijamgeuka hata kidogo, nipo nae huyu mpka mwisho wa dahari.

Nunez mr bangers tu, tap ins tumuachie Hallaand.

Nunez is the best second striker after Hallaand EPL.
Akiyanani
Kweli kipenda roho hula nyama mbichi
 
Muacheni Trent wangu jamani😂
 
Huyu Miss Liverpool wala usihangaike nae sana huyu Nunez atakuja kumzima mazimaaa tu hilo wala sina wasiwasi..

Nunez msimu huu lazima atupie goli 20 EPL.

YNWA
Akiacha kukosa ya kupata tutaimba wimbo mmoja kwamba Nunez mwamba😂😂😂😂😂😂


Huyo mnayemsema aje amreplace Salah ni kwamba mnamtafutia tu majanga na presha za rejareja.

Salah is irreplaceable.
 
Game against Luton, both Jota & Salah missed big chances, but ofcourse, scapegoat ni Nunez, because its fashionable.

Jota ghosted the whole game, Salah ghosted the whole game, it was Diaz & Elliott who saved our arses, but ofcourse, lets blame Nunez.

Open-play chance aliyopata Jota, ilikuwa ni rahisi kuliko zile za Nunez & Salah, but not a word about it.

Na kama ni mtu wa mpira, ukiangalia game ya Luton, utajua tu our tactical shortcomings ndiyo iliyotu-cost game, siyo BCMs za Nunez, Jota, Salah, because kila games, lazima ukutane na BCMs, if you create a LOT of chances, Haaland msimu uliopita alikuwa na goals nyingi sana, but alikuwa na BCMs za kutosha, ni kawaida kwa STs, kuwa na BCMs it means una-create good chances, and ST wako ni mzuri kwenye ku-find rooms/channels/spaces & very good kwenye positioning.
 
I would rather get this boy n turn him to be a world beater like Mane n enjoy cool 7 or so years of super quality output...nasema hivyo maana sure bet would have been Mbappe maana huyo ndio like for like Salah in terms of numbers lakini we know well unless otherwise boy is destined for Los Blonco.
Of course kuna wengine like the Diaby boy from Aston Villa, Gnabry Bayern Munich, Malen wa Dortmund, Leao wa Ac Milan, nk nk wote hawa one way or the other can make any attacking team play better hivyo Klopp and his scouting team wana nafasi kutuletea mchezaji wa kuridhi mikoba ya Salah na kucheza bora zaidi...
Tatizo lilipo kwa sasa ni kuona mashabiki being less optimistic with new arrivals hawapewi muda hata wa kujua lugha, mfumo nk nk players are different kila mmoja ana react kivyake anapohama timu... Mane akiwa Liverpool likua fire sanaa kiasi Bayern Munich walikumbali kumlipa prime salary ili ajiunge nao lakini wala hakudumu kwa kua walichokihitaji wakaona wakaamua enough is enough especially na ile ishu yake na Sane... Hivyo utaona some players team fulani kwa sababu ya mfumo wanakwama lakini kwingine haoo wana shine vizuri tu...
Khavicha is special talent when not watching EPL i usually watch Seria A na especially top 4 teams...
Chiesa was once touted as Salah heir lakini baada ya lile jeraha na matatizo ya Juventus amerudi nyuma sana in terms of numbers...

Well muda utasema kuna kuanzia sasa mpaka June 2024 a lot can happen

YNWA
 
😂 😂 😂 Henderson ametembelea sana nyota za watu... Ukihitaji kutoa mfano wa wenye bahati duniani don't look further zaidi ya Henderson at LFC hakuna kingine aisee... He was one lucky bum....
Kazi wafanye wengine kwa kujitoa na kujituma but the CP is there taking the credit, pazuri ni pale hata uwanjani walianza kumdiss vile baada ya kuona huyu hata apewe na kijiko uwezo wake umeishia pale na Liverpool mahitaji yetu yakizidi alichokua ana tu offer... Hakuna siku aliniboa huyu dogo kama gemu fulani alicheza RB i guess vs Westham kipindi cha winter pale ndio nilijua huyu anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaamnisha mashabiki kwamba kuna mchezaji pale, haya kuna gemu nyingine nadhani ugenini Manchester United alipewa sub akadiss kumpa mkono Klopp kwa hasira eti katolewa when he was just loitering uwanjani kama headless chicken ooh dude nilimuona kabisa huyu ni mwana mpotevu na mapema sana Klopp pale pale alitakiwa amuache bench aheshimu mamlaka..

Good he is gone... Next on the list ni Thiago, Matip, Adrian...

YNWA
 
Akiacha kukosa ya kupata tutaimba wimbo mmoja kwamba Nunez mwamba😂😂😂😂😂😂


Huyo mnayemsema aje amreplace Salah ni kwamba mnamtafutia tu majanga na presha za rejareja.

Salah is irreplaceable.
Ukitaka strika asiekosa miss Liverpool labda waanze kutengeza ma robot lakini wengine wote kosa kosa zipo.

YNWA
 
🙆🏿‍♀️ 🙆🏿‍♀️ 🙆🏿‍♀️ Hawa Manjesta tangu aodoke the Great Fergie wamegeuke ofisi ya upigaji yaaani all the investment done na bado team haeleweki inatumia mfumo gani uwanjani yaaani hawana identity kabisa wapo wapo na hatari zaidi ni kwamba wachezaji watatu Sancho, Maguire na Antony walionunua kwa ela ndefu sana wamekua super extra flop...utashangaa soon kusikia ETG nae anatimuliwa aodoke....

YNWA
 
Man u sasahivi ni kikundi cha wahuni
Kocha anajibizana na wachezaji[emoji1787],kocha anasimanga wachezaji
Wachezaji wanajibu mapigo
Sancho ameondolewa kwenye group la Whatsapp
Hakuna timu hapo [emoji23][emoji23]


E7Hag wenyewe ashasema hawezi kucheza mpira kama wa Ajax
Sasahivi janjajanja za msimu uliopita zimeshaishia ukingoni.

Nasubiri kwa hamu mechi ya man u Liverpool., yaani ntakua live..tutakavyojipigia magoli ya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukitaka strika asiekosa miss Liverpool labda waanze kutengeza ma robot lakini wengine wote kosa kosa zipo.

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua Bobby suala siyo kosa kosa
Ila sasa,ni kosakosa zipi?
Nyingine zinaumiza sana roho ujue.. yaani unaona kabisa Nunez yuleee na kipa,,unainuka unaanza kujiandaa kupiga kelele,ghafla pira linafumuliwa nje[emoji23]
Wengine tulio emotional tunaanza kulia.
 
Hizi sasa ni chuki kwa Le Captain [emoji23]
Hendo hakuwa mzuri sana ila pia hakuwa mbovu sana.
Kuna mechi alikuwa anaziotea sana.
WC pia nadhani imembeba anaweza kuonekana.

Hivi jomba Milner yeye yupo timu gani vile?
Nitammiss kwa ufundi wake wa kuchakata penati.
 
"alipewa sub akadiss kumpa mkono Klopp kwa hasira eti katolewa when he was just loitering uwanjani kama headless chicken ooh dude nilimuona kabisa huyu ni mwana mpotevu "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu dogo atuvumilie tu
Walioondoka hizo nafasi walikuwa vyuma
Lawama tutampa tu hadi aache kukosa super open chances
 
bado miaka mingapi wafikie ile rekodi ytetu ya bila kombe walitucheka sana n kutubeza duni ani hii hiii na bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…