MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
When Salah or Mane joined non had been near as clinical as they turned hapa Liverpool that why i bank on Khavicha any day of the week as he is fast with acute passee in this case zitue kwa Nunez just like anavyofanya kwa Osimen pale Napoli hivyo kama Klopp ataamue kwenda na dogo basi we are on th same page na kingine just like Salah he has tricks na anajilinda sana kutoumia hovyo hovyo...
To get th3 best of Nunez he is the right candidate, msimu uliopita Serie A Khavicha alipata goli 12 na assist 10 na kadi moja ya njano katika mechi 30 akianza na mechi 4 akitokea benchi
Salah msimu uliopita EPL alipata goli 19 na assist 7 akicheza mechi 34 na moja akitokea benchi huku akipata kadi 2 za njano...
Kwa mbali unaweza kuona japo Salah msimu uliopita timu ulimwangusha kwa kua hatukucheza vyema lakini yeye na Khavicha hawajaachana sana out put with Khavicha still being 22 years bado ana miaka kibao kujiweka sawa.. Salah alijunga Liverpool akiwa na miaka 25 hivyo huyu dogo kwa umri huu bado potential na peak hajaweka kufika elite level kwa kua kipaji kipo he is worth a try, changamoto na ku negotiate na Napoli President Aurelio de Laurentiis yaaani a hard nut kama Kipara wa Spurs.
YNWA
I dont know, but i'm not that solid on him.
Salah/Mane situations were so different, we were creating a team kipindi kile, so hawakuja na big expectations au mzigo wa mategemeo, so hakukuwa na huge pressure ya ku-perform kwa ukubwa straight-away.
Kama akija, Khvicha, anakuja ku-replace na kubeba mzigo wa Salah, so lazima kutakuwa na huge expectations, ambapo sometimes huwa inaleta positive/negative reactions kwa players.
Khvicha, is 22, ni kama Nunez, and theres no way Napoli will sell him chini ya £80m, so atakuja na expectations, LFC fans expected Nunez kutupa numbers/play like Firmino straight-away, which is impossible, some players needs room ya development, itakuwa ni same kwa Khvicha, but unfortunately, tuna fans ambao they just cant wait to bash these young talents, ili ku-prove tu their points.
So, i fear same outcome kwa Khvicha, because i'm 100% sure, he will need a lot of coaching and patience, especially kwenye suala la goals-output. fans watasubiri? au wataelewa kuwa replacing Salah is just hard?