Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wataifikia,wanaivunja na wataitengeneza ya kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado miaka mingapi wafikie ile rekodi ytetu ya bila kombe walitucheka sana n kutubeza duni ani hii hiii na bado sana
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Yaaaaaani wewe haya. Naku zoom tu."alipewa sub akadiss kumpa mkono Klopp kwa hasira eti katolewa when he was just loitering uwanjani kama headless chicken ooh dude nilimuona kabisa huyu ni mwana mpotevu "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alichemsha atauzwa tuKupwaya walipwaya wote bwana,.siyo Trent pekeyake.
Hlafu mnataka eti auzwe Captain wetu[emoji1787]
Nyie hebu tulieni..
Dogo na Liverpool ni atakaa maisha yote.
😂 😂 😂 😂 Yupo Brighton.Hizi sasa ni chuki kwa Le Captain [emoji23]
Hendo hakuwa mzuri sana ila pia hakuwa mbovu sana.
Kuna mechi alikuwa anaziotea sana.
WC pia nadhani imembeba anaweza kuonekana.
Hivi jomba Milner yeye yupo timu gani vile?
Nitammiss kwa ufundi wake wa kuchakata penati.
Kutesa kwa zamu. Huu mchezo hautaki hasira.bado miaka mingapi wafikie ile rekodi ytetu ya bila kombe walitucheka sana n kutubeza duni ani hii hiii na bado sana
Bobby kumbe una maneno hivi😂😆😂 😂 😂 😂 😂 😂 Yaaaaaani wewe haya. Naku zoom tu.
YNWA
Niachieni Trent wangu jamani[emoji3064]Alichemsha atauzwa tu
Aliuzwa Fowler to “god” ijekua Huyu tege?
Ngoja tupate mechi za matuta,hasa fainali.😂 😂 😂 😂 Yupo Brighton.
YNWA
Zamu ya man u ni noma sana aisee😂😂😂😂Kutesa kwa zamu. Huu mchezo hautaki hasira.
YNWA
😂 😂 😂 😂 Remembering em old days when Klopp upped the standards badala ya Yankees wampe sapoti wao wakawa bizy kuwapa wazee mikataba kama vile VVD, Milner, Henderson, Matip nk nkBobby kumbe una maneno hivi😂😆
Toka jana naona unavyomdis le super Captain Hendo 😁
KabisaIla tuwe wakweli Liverpool kushiriki Europa haijakaa sawa kabisa.
Klopp mwenyewe si alikuwa anajiona baba miujiza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Remembering em old days when Klopp upped the standards badala ya Yankees wampe sapoti wao wakawa bizy kuwapa wazee mikataba kama vile VVD, Milner, Henderson, Matip nk nk
Haya unayaona sasa ni poor planning by FSG, pale tu tulivyoshinda UCL na EPL basi ilitakiwa chap sana kikosi kila idara kiboreshwe lakini tazama walivyokua wananunua wachezaji utadhan Klopp ni miracle worker..
I wish one day Edwards na Julian Ward wafunguke nini haswa kiliwasukuma kumkacha Klopp na Yankees aisee hii ishu japo haisemwi lakini nayo imetugharimu maana saa sasa Klopp amekua very powerful hana wa kumfunga speed governor.
YNWA
Wamteke wa Nunez, ili asicheze apunguze kutukeraWe are delighted by the news of Luis Diaz's father's safe return and we thank all those involved in securing his release .
.......
Kama ni habari ya kweli basi tunamshukuru Mungu
Glory to God [emoji119]
Lol😂Wamteke wa Nunez, ili asicheze apunguze kutukera
Mahaba ya simba hayaNiachieni Trent wangu jamani[emoji3064]
Haondoki huyu mtoto.