Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi sielewi chochote
Ninachojua alinawa mpira, hatimaye goli zuri tu lile likakataliwa.

Kweli sisi ni wa kufungwa ligi za Europa kweli? πŸ₯Ί
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ndio mpira sometimes yes sometimes no.... Kesho wana chance kurejea winning ways EPL kabisa...

YNWA
 
Huyu dogo atuvumilie tu
Walioondoka hizo nafasi walikuwa vyuma
Lawama tutampa tu hadi aache kukosa super open chances

Attacker ambaye alikuja na ku-set his mark straight-away alikuwa ni Salah tu.

Mane, had to wait misimu miwili kufikia mark ya 20 goals, na katika misimu yote 7 aliyokuwepo LFC, alifikisha goals 20 (22 to be precise) katika msimu mmoja tu 2018/19, and that was his best scoring season.

Firmino hajawahi kufunga goals 20 per season kwenye PL, kuna msimu he had only 5 goals kwenye 20 outings (2021/2022), his highest scoring tally kwenye league kwenye league ilikuwa ni 15 goals in 2017/18, 2019/20 & 2020/2021 Firmino alifunga goals 9, 9 tu katika 35+ outings, and he was our out & out number 9, na hii misimu hakuwa na injuries zozote, because you can excuse his numbers msimu wa 21/22 kwasababu ya injuries, but misimu mingine? NO, so mlikuwa wapi kum-bash Firmino? number 9 aliyekuwa anasifika zaidi kwenye his defensive work kuliko kufunga goals? mbona mlikuwa hamsemi waliotoka nyuma yake walikuwa hatari? (Suarez, Torres etc?) when Firmino was recording low numbers of goals kila msimu, hakukuwa na fans waliokuwa wanam-bash humu, kwasababu kile alichokuwa anafanya uwanjani kilikuwa kinaonekana, umuhimu wake na how he kept & glued our attacking trio was magical.

Now, Nunez anafunga, assist, press, defend, etc (Salah & Jota ni wanufaika wakubwa sana wa Nunez runs/pressing work msimu huu), but akikosa 1 big chance, tunataka tuje ku-score points humu? how many big chances Mane alikuwa anakosa? achana na Firmino/Salah, Mane alikuwa alikuwa ana-record BCMs ngapi kwa msimu? kulikuwa kuna haja ya kushupaza vichwa? unataka ST ambaye ha-miss big chances? utampata wapi? LFC fans back then wasingekuwa patient na kina Torres & Suarez wasingefika kwenye level walizofika.
 
Sio kosa lake. Ana limitation pia kwenye ubora wake anavyopangwa.. Dogo sio DM wala HM wala invented HM kote huku Klopp anamfosi tu lakini sio mahala pale ujue....

Klopp hakutoa 35m+ kwa hiki unachokiona, poor boy.

Huyu ni AM by trade.

YNWA

People are blaming Alexis for his shortcomings at 6, na kumuacha Klopp ambaye anamchezesha an Attacking Midfielder at DM.

I've been saying for a little while, Macca ana good defensive actions, but he cant sit at 6 alone, we need to deploy a pivot kwa kipindi hiki.

People, wanafikiri kucheza lone 6 ni rahisi kwenye modern football, na as LFC fans mifano hai tunayo, Fabinho was finished at 29, (TWENTY NINE) kwasababu ya kuwa deployed as a lone DM, demands za kucheza as a lone DM kwenye set-ups za mpira wa sasa ni kubwa, you have to cover/defend big spaces/Voids, it needs a natural DM, ku-perfect this.

Having Macca at 6, siyo mbaya for the mean-time, but he needs a balancer (At Brighton he had Caicedo, Argetina mara nyingi its him + Enzo/De Paul/Paredes/Guido etc but its always in a pivot).

This was Klopp, akimuongelea Macca and his role mwanzo wa msimu, why cant fans accept kuwa suala la Macca kutochezeshwa on his stregth ni kosa la kiufundi na siyo mchezaji? these were the same fans waliokuwa wanasema Gakpo ni flop, because a winger/forward wasnt performing well at 8.

 
Macca didnt hand the ball, it was just a VAR blunder, the rules are wide open.

Na hata kama rules zingekuwa zinasema otherwise, after Macca incident, there were 6-7 passes zilizochezwa kati LFC na opponents kabla ya goal, and the rules about this are clear aswell.

This is UEFA (new rules about handball).
 
This is Trent.

Is this the Vice Captain? tujiulize HAWEZI ku-defend au HATAKI ku-defend? anajiona kama he's too good kuwa RB?

Kama ni mtu wa mpira, utaelewa kuwa gap/void na suala la ku-mark/time runs ni rahisi sana kuwa coachable, hasa kwa RB/LB, but what was Trent doing? ni kweli hakuona au ku-anticipate runs runs za huyu jamaa? how can you be a professional footballer na ku-defend kama hivi? tena ukiwa Vice captain? and this was the moment baada ya kurudisha goal moja (we were back in the game), then Vice-captain anafanya hivi.

This is just a player who doesnt want to DEFEND, hataki kucheza at RB, Trent wa zamani alikuwa ana shida kidogo kwenye ku-defend, but atleast angeweka efforts za kujaribu kuzuia/time runs, push the player kwenye corner flag, au ku-man mark his runs, but now, he wasnt even interested kwenye hii clip.

I have been following Trent since he was 14-15, and i always thought he was the next big thing kutoka kwenye our academy, Yes, he was a midfielder back then, but Klopp, saw something extra kwake, decided to mould him kama RB, japokuwa alikuwa na few weaknesses (understandable), he perfected the role vizuri sana, he changed the RB game, but at 25 he feels like ame-outgrow role yake at RB.


View: https://twitter.com/Fs_Laputa/status/1722730266941346190?s=19
 
Against, Toulouse, we made 9 changes, they needed it more, and we failed to get out kwenye our 1st gear.

our bad away form continues, but we are already set kwenye Europa, we need just one win, kwa ajili ya next round, and we will easily top the group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…