Lini alikosea? Shida yake ni usloow tu Klopp angekua anampa dakika lamda angekua vizuli asa iviEndo leo kafanya makubwa , Klop amuamini
FSG ni wafanya biashara am double sure bila Klopp kukomaa Summer 2023 kwamba Salah hauzwi kabisa wale FSG wangekumbali ofa aise.Ntaroga watu aisee😆😆😆
Yaani ntaroga hadi Salah abaki
Turudi Kwa Babu😂
Hata Salah hataki ligi za matopeni uarabuni huko. Nani atamuangaliq?
EPL ni janga kucheza holding role mchezaji akiwa extra slow na Endo yupo a bit slow kwa kweli not really sure hilo anaweza aje kuboresha..Lini alikosea? Shida yake ni usloow tu Klopp angekua anampa dakika lamda angekua vizuli asa ivi
Haondoki aiseeFSG ni wafanya biashara am double sure bila Klopp kukomaa Summer 2023 kwamba Salah hauzwi kabisa wale FSG wangekumbali ofa aise.
Wewe komaa kwa babu mwenyewe atakujuza aaa this decided long time boy is leaving ni suala la nani aje akisepa huyu King...
Its a matter of when...
YNWA
Hahaha mapema uanze kuzoea next season may be he ain't be there....Haondoki aisee
Hizi habari za kuondoka Salah zinanipa kizunguzungu... Tuachane nazo tu[emoji1787]
Kwa kweli niacheniHahaha mapema uanze kuzoea next season may be he ain't be there....
Its a crazy world of transfers u never know what's next miss Liverpool... Be calm for enjoy his goals as they come🙏🙏🙏🙏👍👍👍
YNWA
Jamaa ni mzur mno ila anatakiwa acheze double pivot akicheza pale kati mwnyw anatukost km klope so muumini wa double pivot basi amchezeshe kiungo mshambuliaji ila so mkabaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hata simuelewi
Fabinho wetu jamani[emoji3064]arudi
Kumbe!Jamaa ni mzur mno ila anatakiwa acheze double pivot akicheza pale kati mwnyw anatukost km klope so muumini wa double pivot basi amchezeshe kiungo mshambuliaji ila so mkabaji
Kufunga sio kazi ya beki[emoji41]Trent,The most handsome boy in our team[emoji3590]
Ila Trent ni mzuri jamani.
Goal rush nilikuwa naangalia goals za Trent...Dogo goli zooote anafungia mbaali[emoji91]
Halafu mnasema eti auzwe!
Tafakarini upyaView attachment 2812393
Lakini si unaona alovyoyapachika