Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi nasubiri hilo lolote litokee
No way.

Kama najiona ntavyoangua kilio...hapa tu natype huku machozi yamekaa usoni.
 
You think its a good thing kwa your only senior RB kusema hivyo?

Klopp was so wrong kumpa U-Vice captain.
Role yake atafutwe pia mtu mwingine wa kurotate naye.
Mtoto wa watu achezaga non stop
Kila mechi yupo amepangwa

Na huwa hafanyiwi sub..anacheza mwanzo mwisho dakika zote.

....
Yeye kutaka kuhamishwa position haihusiani na yeye kupewa ucaptain..
Amepewa kwa sababu alistahili..

Kwahiyo uvice wangempa nani pale?
Salah?🤣
 
Trent, Elliott & Jones ni heavy weed smokers.

Think the weed is starting to take its toll on Trent.

We are slowly losing him.

Asipokuwa makini, atapoteana kama Dele Alli.
Eti heavy weed smokers😂😂, nimecheka
Mtoe Trent wangu🤣🤣🤣
 
KaSalah kalivyo kafupi[emoji23]
Utadhani sio kenyewe huwa kanachinja watu golini
 
Trent, Elliott & Jones ni heavy weed smokers.

Think the weed is starting to take its toll on Trent.

We are slowly losing him.

Asipokuwa makini, atapoteana kama Dele Alli.
Unamzungumziaje Jones?ame up his game au nae auzwe??

Vipi kuhusu Fofana wa Monaco?anaeeza kuja kufaa akija?au hafai??
 
Hii miBrentford inakimbia kama mibondia😂
Nina Imani itawakomesha Arse8

Huyu midevu kataka kupita na mguu wa Matip wetu🤣
Hawa Brentford wanajua karate bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…