Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Karibu sana Mkuu..Naomba niwe wa kwanza kuwawisha Marry christmass and happy new year.
December tukaribishane kwenye viti virefu wandugu😄
Captain Marvelous
Saint Anne
Hutamani tena kurudi Havard?Havard imenifanya niembrace knowledge ,, kuna watu nawatumikia wanataka kazi zao.
Nashukuru unatusaidia kuufanya uzi wetu uwe active.
Dunia ipo uingereza.🤣 🤣 🤣 Kapteni wa dunia ipi hiiiiioooo.
Huo uwezo hana usimpaishe sanaaa.
Boy wa Miss Liverpool... Ngoja afunge dread umkimbie tena🤣🤣
YNWA
HapanaKlopp asepe tu aje Alonso 🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈 Kabla Real Madrid hawajamnyatia.
YNWA
Kama mwaka jana na vile vipigo vyote bado sikukimbia🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool ni moto sanaaa yupo in da house settled.
Asante sana braza ni mapambano aisee hata mwenyewe kuna kipindi sikuwepo kabisa lakin sasa nipo japo sio kama zamani angalau jukwaa lisilale kabisa....
Don Clericuzio kuna kipindi cha mwisho alitoa ofa ya jezi baada ya hapo sijamuona tena aisee. Popote alipo may Lord protect him.
YNWA
Ile mijambazi ilitaka kumvunja miguu golikipa wetu
Acha tu goodluck enough kipind nipo havard LFC ndio tulikuwa wa moto, kwahyo nilikuwa naenda cafe nikiwa na maconfidence ya kutosha.Hutamani tena kurudi Havard?
Lile vibe Cafeteria siku za mechi 😂
Ni mapema sana aisee... Jokes aside bado bado kupewa mikoba ya Liverpool bado Klopp tunae.Sijafanikiwa kufuatilia bundasligakwa muda mrefu ila naoba Alonso anaimbwa sana,,yasije yakawa ya Gerrard😅
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana Deseba ishafika aisee na krismasi hii hapa.Naomba niwe wa kwanza kuwawisha Marry christmass and happy new year.
December tukaribishane kwenye viti virefu wandugu😄
Captain Marvelous
Saint Anne
Mbona kama Salah kwa hayo manyoya ya mguuni😄Huyu nani vileeeee...
View attachment 2826365
Guess who is this player...
Zamani akivaa jumu za under armour na sasa mazima Adidas.
YNWA
Alonso kakiwasha pale leverkusen ni balaaKlopp asepe tu aje Alonso [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] Kabla Real Madrid hawajamnyatia.
YNWA
Ili tege la trent kabisa hiliHuyu nani vileeeee...
View attachment 2826365
Guess who is this player...
Zamani akivaa jumu za under armour na sasa mazima Adidas.
YNWA
Sisi tunachojua miguu itupe magoli na mipira🤣💔Huyu nani vileeeee...
View attachment 2826365
Guess who is this player...
Zamani akivaa jumu za under armour na sasa mazima Adidas.
YNWA
Salah huyoIli tege la trent kabisa hili
Pale juu naweka topper ya Trent.pembeni logo inajaa majogoo🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana Deseba ishafika aisee na krismasi hii hapa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Tumshukuru Mungu kwa hii zawadi ya maisha mpaka sasa.
BARDIZBAH asante sana mkuu. Merry Xmas pia in advance.
Saint Anne haya sasa makeki ndio uanze kuweka listi sawaaa 😋😋😋ni mwendo wa keki zenye nembo ya Liverpool 🙃🙃🙃
YNWA
Toka niangalie fainali tuliyopoteza dhidhi ya MadridAcha tu goodluck enough kipind nipo havard LFC ndio tulikuwa wa moto, kwahyo nilikuwa naenda cafe nikiwa na maconfidence ya kutosha.
🤣 🤣 🤣 Kabisa ni Trent amewatema Under Amour na kujiunga na wakali Adidas.Ili tege la trent kabisa hili
🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe subiria Salah tu wakati miguu ya bebi wako ile.Sisi tunachojua miguu itupe magoli na mipira🤣💔
Alonso the New Sheriff in town tayari timu kadhaa zinamtupia jicho aisee.Alonso kakiwasha pale leverkusen ni balaa