Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤣 🤣 🤣 Kapteni wa dunia ipi hiiiiioooo.

Huo uwezo hana usimpaishe sanaaa.

Boy wa Miss Liverpool... Ngoja afunge dread umkimbie tena🤣🤣

YNWA
Dunia ipo uingereza.
Trent Captain handsome,
Mwamba wa kucharanga Kona,,nani anabisha?
Ingekuwa bongo hapo pembeni tunaimba Kona iwe na maana😂😂😂

Trent ndiye Star 🌟 wa kufunga magoli ya vipanga.

Trent main captain ajaye na kocha mkuu wa liver kufa na kupona.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool ni moto sanaaa yupo in da house settled.

Asante sana braza ni mapambano aisee hata mwenyewe kuna kipindi sikuwepo kabisa lakin sasa nipo japo sio kama zamani angalau jukwaa lisilale kabisa....

Don Clericuzio kuna kipindi cha mwisho alitoa ofa ya jezi baada ya hapo sijamuona tena aisee. Popote alipo may Lord protect him.

YNWA
Kama mwaka jana na vile vipigo vyote bado sikukimbia
Basi sitakimbia.

Don mara ya mwisho sijui alikuwa na varangati huko Chitchatini🤣
Watu wabaya.

Ila tajiri hana baya,tuna Imani atarudi kwa kishindo na ofa nyingine ya jezi 🔥
Chondechode jamani safari hii nisikose ofa
Ladies first.
 
Naomba niwe wa kwanza kuwawisha Marry christmass and happy new year.

December tukaribishane kwenye viti virefu wandugu😄
Captain Marvelous
Saint Anne
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana Deseba ishafika aisee na krismasi hii hapa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Tumshukuru Mungu kwa hii zawadi ya maisha mpaka sasa.

BARDIZBAH asante sana mkuu. Merry Xmas pia in advance.

Saint Anne haya sasa makeki ndio uanze kuweka listi sawaaa 😋😋😋ni mwendo wa keki zenye nembo ya Liverpool 🙃🙃🙃

YNWA
 
Huyu nani vileeeee...

Screenshot_20231127_081326_com.android.chrome~2.jpg

Guess who is this player...
Zamani akivaa jumu za under armour na sasa mazima Adidas.

YNWA
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana Deseba ishafika aisee na krismasi hii hapa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Tumshukuru Mungu kwa hii zawadi ya maisha mpaka sasa.

BARDIZBAH asante sana mkuu. Merry Xmas pia in advance.

Saint Anne haya sasa makeki ndio uanze kuweka listi sawaaa 😋😋😋ni mwendo wa keki zenye nembo ya Liverpool 🙃🙃🙃

YNWA
Pale juu naweka topper ya Trent.pembeni logo inajaa majogoo
Nyie acheni tu🔥
 
Back
Top Bottom