Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oh basi tukiwa tunamsema Nuniez Kwa kukosa msitulaumu
Maana tunamlipa ili akafunge magoli,yeye anaenda kuyapaisha nje yote.

Tofauti ya Nunez & Trent ni ndogo sana.

Nunez yupo at LFC, kwa mwaka mmoja na miezi mitatu mpaka sasa, & the funny part is ame-improve every part of his game, except ishu ya utulivu mbele ya goal, maana nikisema finishing nitakuwa nakosea, because he's recording good amout of goals msimu huu.

He's 22.

Ukiondoa ishu za academy, Trent amekuwepo kwenye first team/squad for 7 years now, katika kipindi chote hicho ameshindwa ku-improve/adjust his defensive actions at RB.

If you know me, na kama unasoma my past threads, nilikuwa the biggest advocate wa Trent, he was a kid, and was still growing kwenye role, na nilichagua ku-ignore mapungufu yake yote na ku-concetrate na kila anacholeta kwenye team, na ilikuwa easy kufanya hivyo, because we had good defensive MFs (Fabinho & Gini), kitu ambacho kilifanya kazi ya Trent kuwa na uwepesi kiasi chake.

And, ungejali zaidi ku-notice, nimeanza kum-call out Trent at times msimu uliopita, na zaidi ni msimu huu, now team haina World class defensive MFs, namba 6 tunaemtegemea ni makeshift, as a player unajua kuwa hautapata defensive cover ambayo ulikuwa unatapata awali, why cant you up your defensive game? Trent ni senior kwenye team, na one of the longest serving members kwenye squad, kwanini usi-step up kulingana na circumstances zilizopo? as a senior and a vice captain?

And, then i support LFC not players, and as a football man and sports student, nilifundishwa, na pia ni norm kwenye football, kumpa mchezaji 2-season adjustment period, ndo maana universal contracts kwa Clubs nyingi duniani ni 3 years, ili 2-season adjustment period iki-fail ili rahisi ku-cut losses.

Nunez bado ni raw talent, na kulingana na norm za football bado yupo kwenye his adjustment period, na kama akishindwa ku-up his game baada ya hapo, then i'll be the first one to call him out, i support LFC.

Trent unayemsema hapa, alianza his career at LFC (senior team) kama experimental RB, na aliingia kwenye first team baada ya Nathaniel Clyne kuumia, na baadae kupata scandal ya kutumia cocaine, na his flaws alizonazo Trent now ndiyo alikuwa nazo wakati anaanza his career at LFC, mbona tulikuwa hatumsemi? mbona tulikuwa tunamu-encourage? now unashangaa, nalalamika kuhusu weaknesses zile zile za Trent akiwa na miaka 25 now? ni senior kwenye squad, anatakiwa ku-step up.
 
Nyota za assist kama zote
Ni mpiga kona mzuri

Wewe tatizo unaangalia madhaifu yake tu.
Huna tofauti na sisi tunaoangalia madhaifu ya Nunez.

Sasa unataka niangalie nini?

Madhaifu yake, ndiyo yana-cost flow ya team, na ndiyo ambayo yanaweza kuamua maendeleo au ukwamo wa team.

kushinda titles, ni suala la small margin.

Allison is a world class keeper, but huwa nakosoa kila siku his feet game, ubora wako golini, haufanyi tufumbie macho weaknesses zako ambazo zinaweza ku-cost team, against City bila wenzake ku-step up, tayari alikuwa kishatu-cost, and you know whats the difference? siwezi kuja hapa kuanza kum-call out Kelleher kwa avoidable errors, because he's still a rookie (bado wanaishi na mistakes), but unategemea nitakaa kimya, Allison akifanya mistakes? a 31 year-old footballer? NO.

kati ya Salah, Jota, Diaz, Nunez, Gakpo, ni lazima nitawa-regard Salah, Jota & Diaz katika high accountability, kwasababu wote ni above 26 (kwenye football, hiyo ni age ya Senior pro), its not a rocket science, mtu kama Diaz (27) ni late bloomer, but amecheza mpira kwa muda mrefu kuliko Nunez (22), na Gakpo (24), so lazma uweke uwiano wa uzoefu, na maturity uwanjani.

Trent, kwa umri aliofikia anatakiwa ku-take na ku-up accountability aliyonayo.

He's an all-round good and talented footballer (hakuna anayekataa), but anatakiwa ku-master eneo analocheza ili kupunguzia team, mzigo.
 
Of course too much Confidence over what he has. Gravenberch proved it Jones shouldnt have started

Endo could easily play better as an Anchor (his primary role) then Macca as a deep lying playmaker.

What Grav did for our goal at Etihad, Jones asingeweza.

Wote ni good players, na ni muhimu kulingana na opponents, but tofauti kati ya Jones na Grav ni talent & potential level, at only 21, Grav potential is second to none.
 

We need a DM, in january.

But, kuna siku nilisema itategemea zaidi na utayari wa Bajcetic na on tje outside, return ya Thiago, hivi vitu viwili vita-factor kama tuta-shop for a ready made DM au a kid with mad potential.
 

If i were Klopp i will choose Marcelo Pitaluga as 3rd GK.

Kelleher Form sio nzuri. But you cant blame him less game time and mostly hachezi na Solid teammates. But he is good to cover Beckor over Honorable Miguel.

It will be Kelleher and Adrian for now.

Kuna new reports zinasema, injury siyo serious, inaweza kuwa 3 games max.

But, ngoja tusubiri official update.
 

Trent kucheza kwenye pivot bila ya typical 6 ni suicide.

At City, Stones and now Akanji are inverting (forming a pivot) bacause they have the most intelligent/complete 6 in the world right now, who is good at retaining the ball, press resistant, dispruting attcaking actions (tackling, interceptions etc), defending spaces, progress the ball etc.

Sasa, Trent akii-invert na Macca, shape itakuwaje? unlike Rodri, Macca is not good on the ball, and unlike Stones, Trent is not good on the ball.

Trent is a good progressor (passing), he's not a good carrier, not a good holder, and has no pausa. long passes, long switches, huwa zinafanya kazi ukiwa unatengeneza attacks or avoiding pressing traps, but zinakuwa zinaku-limit kukaa na mipira, zinakuwa zinaku-limit kwenye kutengeneza possessional shapes ambazo ni muhimu sana kwenye football.

Njia, nzuri ya Trent ku-invert, ni kama tukiwa na a good and physical 6.
 
We need a DM, in january.

But, kuna siku nilisema itategemea zaidi na utayari wa Bajcetic na on tje outside, return ya Thiago, hivi vitu viwili vita-factor kama tuta-shop for a ready made DM au a kid with mad potential.
nina mashaka na Klopp kama atampa Bajcetic muda wa kutosha

Ila kijana yupo vizuri mno akipewa muda

Bora tununue beki wa kati ndio pananipa utata mwingi kila nikiwa kibanda umiza
 
Which player you think is best to replace Fabinho. ..?
 

Mtaje tu,

Ila kaangalie mechi ya Newcastle huyo mtu ndio magoli yake.
 
What Grav did for our goal at Etihad, Jones asingeweza.

Wote ni good players, na ni muhimu kulingana na opponents, but tofauti kati ya Jones na Grav ni talent & potential level, at only 21, Grav potential is second to none.

Jones his play pale angecut in nyuma ya rodri, Grave. Chosen ku run mbele ya Rodri na ku cut in, kumuweka Rodri nyuma yake.

Kwani Jones pace yake sio kubwa compare kwa Gravern. Matter of time Gravern will surpass Jones in the team soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…