MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Oh basi tukiwa tunamsema Nuniez Kwa kukosa msitulaumu
Maana tunamlipa ili akafunge magoli,yeye anaenda kuyapaisha nje yote.
Tofauti ya Nunez & Trent ni ndogo sana.
Nunez yupo at LFC, kwa mwaka mmoja na miezi mitatu mpaka sasa, & the funny part is ame-improve every part of his game, except ishu ya utulivu mbele ya goal, maana nikisema finishing nitakuwa nakosea, because he's recording good amout of goals msimu huu.
He's 22.
Ukiondoa ishu za academy, Trent amekuwepo kwenye first team/squad for 7 years now, katika kipindi chote hicho ameshindwa ku-improve/adjust his defensive actions at RB.
If you know me, na kama unasoma my past threads, nilikuwa the biggest advocate wa Trent, he was a kid, and was still growing kwenye role, na nilichagua ku-ignore mapungufu yake yote na ku-concetrate na kila anacholeta kwenye team, na ilikuwa easy kufanya hivyo, because we had good defensive MFs (Fabinho & Gini), kitu ambacho kilifanya kazi ya Trent kuwa na uwepesi kiasi chake.
And, ungejali zaidi ku-notice, nimeanza kum-call out Trent at times msimu uliopita, na zaidi ni msimu huu, now team haina World class defensive MFs, namba 6 tunaemtegemea ni makeshift, as a player unajua kuwa hautapata defensive cover ambayo ulikuwa unatapata awali, why cant you up your defensive game? Trent ni senior kwenye team, na one of the longest serving members kwenye squad, kwanini usi-step up kulingana na circumstances zilizopo? as a senior and a vice captain?
And, then i support LFC not players, and as a football man and sports student, nilifundishwa, na pia ni norm kwenye football, kumpa mchezaji 2-season adjustment period, ndo maana universal contracts kwa Clubs nyingi duniani ni 3 years, ili 2-season adjustment period iki-fail ili rahisi ku-cut losses.
Nunez bado ni raw talent, na kulingana na norm za football bado yupo kwenye his adjustment period, na kama akishindwa ku-up his game baada ya hapo, then i'll be the first one to call him out, i support LFC.
Trent unayemsema hapa, alianza his career at LFC (senior team) kama experimental RB, na aliingia kwenye first team baada ya Nathaniel Clyne kuumia, na baadae kupata scandal ya kutumia cocaine, na his flaws alizonazo Trent now ndiyo alikuwa nazo wakati anaanza his career at LFC, mbona tulikuwa hatumsemi? mbona tulikuwa tunamu-encourage? now unashangaa, nalalamika kuhusu weaknesses zile zile za Trent akiwa na miaka 25 now? ni senior kwenye squad, anatakiwa ku-step up.