Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mpira katikati unapeperuka mnoLiverpool imejengwa kwa mechi za aina hii tumefurahi ushindi wa leo lakini hali ilikuwa mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nileteeni Nunez , nileteeni Nunez, nileteeni Nuneeezi
Hiyo shout ni kwa ajili la goli la ushindi la kipenzi chetu Trent Alexander Arnold [emoji7]
Hakuwa mchoyo
Kabisa mkuu. Nifikishie salam kwa Mikaeli Arteta ni swala LA muda nitamshusha hapo juu alipoUshindi mzuri wa jasho na damu. Hongera kwa kops wote.
YNWA
Trent Our Saviour[emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]View attachment 2832385
Epic.
Epl makes Football really edgy u can't tell what's will happen next...
YNWA
Mambio kama ya SalahGoli la tatu na la nne umeona kazi ya Nunez.. Ni kwel inapofika swala la yeye kufunga anapata sana wenge lakin his involvement pale front is next level..
Salute kwa Endo na Trent
YNWA
AminHii ni Kwa Familia yote ya Liverpool hapa Jf Nawapenda sana na Mungu Atupe Maisha Marefu. Nimefurahi tu Leo na Timu yetu. YNWA
Na alizookoa Kelleher angekuwa Allison angeshindwaKwa Nunez kinacho badilika ni msuko wa Nywele tu [emoji1787][emoji1787], Hzo goli Mbili alizo fungwa kelleher angekuwa ni Allison angeokoa hata moja hapo. Beki zetu zipo exposed sana leo [emoji24][emoji24] Cha mwisho huyu Leno kaikamia game [emoji1787][emoji1787]
Wale juu tumewaweka wenyeweKabisa mkuu. Nifikishie salam kwa Mikaeli Arteta ni swala LA muda nitamshusha hapo juu alipo
Hatimaye kamfikia my babeboo Steve 😍🔥🔥
Trent
Nyumbu ugulieni maumivu ya janjajanja zenu
Huyu dogo namkubali Sana Mungu Amwongoze mkuu. Unakumbuka ile game ya Barcelona champions league anakufa Huyu dogo alikiwasha mpaka Lamasia wakalalana viatuTrent
The game changer
Mr of scoring impossible goals
Pep Mbaguzi acha karma imtafune mkuuMpira jana umemfanyia ukatili City.
Yani First half tu amekosa nafasi 3 za wazi kabisa achilia mbali 2nd Half halafu kaishia sare.
Kabisa kakaHuyu ni Goalkeeper wa Carabao, FA na Makundi ya Europa.
Yeah! Amjaribu tuoneKlop amjaribu pitaluga tuone
Ndo tunaye kwa mechi takribani 4 hivi.Kabisa kaka