Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli la tatu na la nne umeona kazi ya Nunez.. Ni kwel inapofika swala la yeye kufunga anapata sana wenge lakin his involvement pale front is next level..

Salute kwa Endo na Trent

YNWA
Mambio kama ya Salah
Finishing sasa,, utadhani layman ambaye ndio kwanza mguu unaingia kupiga mpira
Anazingua sana.
 
Kwa Nunez kinacho badilika ni msuko wa Nywele tu [emoji1787][emoji1787], Hzo goli Mbili alizo fungwa kelleher angekuwa ni Allison angeokoa hata moja hapo. Beki zetu zipo exposed sana leo [emoji24][emoji24] Cha mwisho huyu Leno kaikamia game [emoji1787][emoji1787]
Na alizookoa Kelleher angekuwa Allison angeshindwa
 
Liver tuna jambo letu. Sifa kubwa na dalili za timu kuhitaji ubingwa ni jinsi wanavyochukulia kila game msimu huu nimeona upambanaji mkubwa sana kuna game km ya Newcastle, ya Jana fulham ya mancity na hata ile ya totenham tuliopoteza unaona timu inacheza game km ndo fainali human erros zinatokea lakn vijana hawakati tamaa kirahisi.

Hizi ni dalili za ubwingwa tizama game ya Newcastle kushinda kwa timu. Km ile huku una kadi nyekundu na uko nyuma kwa goli 2 . Ni dalili za ubingwa kunukia anfield huu msimu kuna jambo litatokea mark my words
 
Back
Top Bottom