Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mpira katikati unapeperuka mnoLiverpool imejengwa kwa mechi za aina hii tumefurahi ushindi wa leo lakini hali ilikuwa mbaya.
Yaani sijui hata nimeonaje
Sisi tunapenya kwa tabu..
Wao wakishika mpira wanapeperuka chap mara hao golini