Leo sitaki kuwa muongo wala mnafki
Johnson
For the first time he impress me nimeipenda kazi yake to the maximum he is perfect and clear today I give him 98.8%
Sterring
Huyu dogo this season EPL - Carling cup - uefa hakuna game aliyowahi nivutia hata moja afu karibia kila game namuona anacheza 90mnts I hate this sababu he is stupid, stupid and stupid. Akiuzwa kwenye dirisha dogo sitalalamika, I pray to Madrid to come and take this stupid player away
BR
Hahahaha eti sub: Coutinho out-Lambert in stupid for what purpose yaani hapa unategemea kushinda afu mwisho wa siku useme " we play well but we didn't score" f*cking BR kwa hii stupid play ya kila siku I didn't see a light, end of the tunnel
Nilisema kwa formation ile ushindi wetu utakuwa draw au tunapigwa leo timu yote imecheza ovyo except Mignolet. BR ni arrogant yaani hakuona umuhimu wa 4-4-2 mapema ambapo countinho anagekuwa na room ya kusupply mipira kwa forwards.
Balotelli ni shit alikuwa na touch moja tu kwenye opponets' box pamoja na mapungufu yake ndo anatafanywa scape-goat
Sterling mi nadhani angeshushwa tena kwa watoto wenzake apate akili vizuri maana mpira anao cheza ni mbovu kweli
Allen hajawahi ni impress hata mara moja tangu ametua pale anfield sina hata la kusema juu yake
Moreno, he should learn this is epl siyo la liga wanacheza kwenye nafasi hapa ni man to man fanya makosa nikuadhibu naona Flanno ameanza mazoezi atachukuwa nafasi yake
SG sina la kusema
Countinho was no lively kwenye game hata alivyotoka labda lallana angeingia to build up attacking
Yaani leo hii tumempita newcastle point 1 tu na ni timu ilikuwa kwenye mkia kashinda mechi tatu mfulululizo tayari yupo nyuma yetu
Halafu BR anasema tumecheza vizuri wakati sissoko was bullying our midfield the way he wanted and he was marking SG. Hivi countinho akishindwa ku-perform na una SG uwanjani na kwenye bench una Can unashindwa kweli kumpandisha babu mbele hawa vijana wenye nguvu na speed Can na hendo wafanye kazi pale katikati???? Kwa performance hii tusitegemee decent signing kabisa labda rejects kama balotelli.
Nafasi ya BR kupata decent player ilikuwa hili dirisha kubwa kabla ya ligi kuanza na Januari sidhani kama wale wa marekani watatoa hela ya maana instead Aspas type will be brought