Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu awalinde mabeki waliobaki wasiumieSeason and he might have played his last game for Liverpool.. Mkataba wake unaisha June 2024 hivyo sioni akipewa nyongeza hapa...
*Konate has had his share of injuries, *Robertson same ana edelea na kupona
*Matip ndio bye bye really sad for the Yaounde guy.
Mungu awaepushe VVD, Trent na huu upepo.
YNWA
Watu wanasubiri hadi tukose kombe ndo washtukeAmetukosesha 3 Points dhidi ya Luton
Ndio tabu yake tu hiyoShida ipo kwenye magoli anayokosa...yeye na mwamba anapiga nje
Muacheni Trent jamaniπ₯ΊDah! Kaka kunaka video group la Liverpool telegram sikaelewi mm
Mimi namsema Nunez kama Nunez na wala simfananishi na mtu wa timu nyingine yoyote.Ni kwa kua mark up ya Nunez hua ni Haland kwa wengi.. Tofauti ipo Haland alikuta set up that was for his strength.. KDB in top form.... lakin Nunez akikuta wakumpa ma assit ni Milner, Henderson, Kieta nk nk..
Akose magoli tu tuzidi kujikusanyie pointi pale juu...jana kwa mara ya kwanza Manchester City walipata shoti 2 golini tu gemu nzima ni rekodi Kipara kukutana na kisiki kile cha Aston Villa hajaamini kwamba pamoja na utajiri wa wachezaji wenye vipaji watazimwa vile na Unai....
Let's appreciate hard work ya hawa vijana wetu kuchimba negative vibes all the time ain't helping no body..
Sina imani when Trent get lazy defending lakin Klopp who i trust will still put him there n he has delivered time time again hivyo its all cool Klopp knows better....
We might have different ideas kwa hawa wachezaji lakin mwalimu wao anajua their weakness na strength n I stand with Klopp hata akinoboa kiasi gani I will still still stand with him after all tumekaa na Henderson miaka yote na tulichukia lakini waaa tumoo wala hatuedi kokote...
Miss Liverpool wewe ni sworn 'enemy" wa Nunez haijalishi lipi atafanya u ill always look the other way kipi hakufanya wakati ule... Its all cool maana Klopp atampanga tu nuna zima tv atapangwa tu ππππ
YNWA
Apply same opinion to Trent n crew and all is cool well we both know u ain't do soπ€£π€£π€£π€£...Mimi namsema Nunez kama Nunez na wala simfananishi na mtu wa timu nyingine yoyote.
Sina uadui na mtu anayefanya vizuri
Asiyefanya vizuri nitamsema tu
Si Kwa sababu namchukia, Bali ni Kwa sababu ya ushindi wa timu.
Apangwe tu, hakuna kinachoharibika
Ila tukikosa ushindi Kwa uzembe tutaugua tu wote pamoja.
Acha kabisa majeruhi Hapana kwa sasa hatuhitaji tena pale nyuma paanze kupwaya...Mungu awalinde mabeki waliobaki wasiumie
Wakiumia tu mmojawapo aisee, mkeka wetu unakuwa umechanika.
Hahaha kwamba ubinfasi wa Mane na Salah haujatunyima makombe na tuliona its part of the game wao kua greedy kutaka kufunga kwa kua ndio kazi yao kuu... Klopp alivyoulizwa akasema ma strika wake wapo na njaa ya kufunga hivyo hana tatizo.. baadae zikaja tetesi kwamba Mane na Salah walikua na mahusiano very tense hivyo haya mambo hua yanakuja kwa rangi zote strika asipokua clinical... Sio kwa Nunez tu yamekuwepo tangu enzi... Kuna kipindi Torres baada ya kosa kosa na kiwango kushuka baada ya kutua Chelsea ziliibuka tetesi Drogba kamwedea El Nino na kum fix kwa babu haha yaan ukiwa out of form n goals mengi yatasemwa tu left n right...Sasa subiri tukose kwanza kombe ndo mtaona hizi hasara za kugonga miamba
Mungu amponye Matip jamaniAcha kabisa majeruhi Hapana kwa sasa hatuhitaji tena pale nyuma paanze kupwaya...
Solid defense wins you titles.
YNWA
Mr Bearded Philosophical Samba GK.Niambie Bobby
Lile goli la tatu kipa yupi angezuia pale?
Achana na habari za kina Torres Mane, SalahHahaha kwamba ubinfasi wa Mane na Salah haujatunyima makombe na tuliona its part of the game wao kua greedy kutaka kufunga kwa kua ndio kazi yao kuu... Klopp alivyoulizwa akasema ma strika wake wapo na njaa ya kufunga hivyo hana tatizo.. baadae zikaja tetesi kwamba Mane na Salah walikua na mahusiano very tense hivyo haya mambo hua yanakuja kwa rangi zote strika asipokua clinical... Sio kwa Nunez tu yamekuwepo tangu enzi... Kuna kipindi Torres baada ya kosa kosa na kiwango kushuka baada ya kutua Chelsea ziliibuka tetesi Drogba kamwedea El Nino na kum fix kwa babu haha yaan ukiwa out of form n goals mengi yatasemwa tu left n right...
YNWA
Pale tu ameanza kuka sawa kiwango kilianza kupanda aaafu limekuja hili duuh anatia huruma sana msomali wako...Mungu amponye Matip jamani
Roho imeniuma sana
Na anavyotiaga huruma,atakuwa anatia huruma sana
Jamaa ni mtu mpole sana kimuonekano.
Ndio useme angezuia vipi mpira umepigwa huku na kuleMr Bearded Philosophical Samba GK.
YNWA
Acha tu.Pale tu ameanza kuka sawa kiwango kilianza kupanda aaafu limekuja hili duuh anatia huruma sana msomali wako...
YNWA
Kiingereza kiswahili huelewekiNi kwa kua mark up ya Nunez hua ni Haland kwa wengi.. Tofauti ipo Haland alikuta set up that was for his strength.. KDB in top form.... lakin Nunez akikuta wakumpa ma assit ni Milner, Henderson, Kieta nk nk..
Akose magoli tu tuzidi kujikusanyie pointi pale juu...jana kwa mara ya kwanza Manchester City walipata shoti 2 golini tu gemu nzima ni rekodi Kipara kukutana na kisiki kile cha Aston Villa hajaamini kwamba pamoja na utajiri wa wachezaji wenye vipaji watazimwa vile na Unai....
Let's appreciate hard work ya hawa vijana wetu kuchimba negative vibes all the time ain't helping no body..
Sina imani when Trent get lazy defending lakin Klopp who i trust will still put him there n he has delivered time time again hivyo its all cool Klopp knows better....
We might have different ideas kwa hawa wachezaji lakin mwalimu wao anajua their weakness na strength n I stand with Klopp hata akinoboa kiasi gani I will still still stand with him after all tumekaa na Henderson miaka yote na tulichukia lakini waaa tumoo wala hatuedi kokote...
Miss Liverpool wewe ni sworn 'enemy" wa Nunez haijalishi lipi atafanya u ill always look the other way kipi hakufanya wakati ule... Its all cool maana Klopp atampanga tu nuna zima tv atapangwa tu ππππ
YNWA
π€£ π€£ π€£ π€£ Bla bla haziodoi ukweli kwamba just may be just may be some slim chances zao ambazo walikua a bit greedy zilifanye tukose ubingwa...Achana na habari za kina Torres Mane, Salah
Tatizo ni Nunez kulengesha miamba
Ndo tatizo la kutatua.
Acha hizo blah blah zingine.
Powaa ndugu nimekusoma.Kiingereza kiswahili hueleweki
Hii ishu ya Cruciate ligament tear imekua tatizo kubwa sana mpaka kwa soka la wanawake kiasi wameamua kuunda kikosi kutazama upya shinda inaanza wapi na namna bora kuishughulikia.Acha tu.
Sitamani hata kuona picha zake akiwa anaugua...ntalia bure π
π€£ π€£ π€£ Who cares about personal accolade kwa sasa.. Tunamsaka Arsenal namna atatua pale juu... Asuburi Salah tu hakuna namna rekodi atapata.Ujue mechi ya juzi Salah hajaweka record ya assist hivihivi kwa sababu ya Nunez kukosa goli
Salah yupo kujenga historyπ€£ π€£ π€£ Who cares about personal accolade kwa sasa.. Tunamsaka Arsenal namna atatua pale juu... Asuburi Salah tu hakuna namna rekodi atapata.
YNWA