Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu awalinde aiseeHii ishu ya Cruciate ligament tear imekua tatizo kubwa sana mpaka kwa soka la wanawake kiasi wameamua kuunda kikosi kutazama upya shinda inaanza wapi na namna bora kuishughulikia.
Matip anahitaji subira sana...
Tangu ametua Liverpool amekosa gemu 129 kutokana na majeruhi hivyo utaona pamoja na ubora wake hua ni mwepesi wa kuumia maana gemu 129 aisee nyingi sana tangu ametua July 2016.
YNWA
Sema wewe ndio huelewi🤣Kiingereza kiswahili hueleweki
Wewe huoni tofauti?🤣 🤣 🤣 🤣 Bla bla haziodoi ukweli kwamba just may be just may be some slim chances zao ambazo walikua a bit greedy zilifanye tukose ubingwa...
Wewe komaaaa na Nunez mpaka msimu uishe n just may be his crucial goals n assist will win the league high on points won on club level Liverpool...
Kuna tofauti gani hapa Miss Liverpool... Nunez kazi yake kufunga lakin sasa anatoa ma assist kwa wengine wafunge aidha last pass ama second last pass na hili la Trent ambae by trade ni Right Back lakin hilo limeshinda ametu cost makombe kama UEFA Champions League nk nk lakin Trent huyo huyo akicheza kati AM ametuletea pointi muhimu haswa...
Trent can't defend yet he cracks up crackers just when we need him most ... Nunez can't score yet he pulls crazy stuff when needed most..
YNWA
Bwana yupo vizuri [emoji23]
Kwani nyie hamjaona mipira aliyookoa?
Hata yeye anajua kuwa ni mwamba
Namkubali sana dogo [emoji91]
Ametukosesha 3 Points dhidi ya Luton
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Naheshimu sana view zako juu ya Nunez na members wengine wote wanaoona mapungufu yake kwa sasa after all wote tunahitaji pointi 3 muhimu zipatikane na ushindi kusogea kunyanyua kwapa...
Kwangu any day of the week Nunez is 1st team starter as he brings lots of dynamics to the team regardless Klopp mara amtupe LW boy is there doing whats he does best.. Fighting spirit is next level... Kosakosa zake hazimshushi morali n that whts defines potential quality players
YNWA
Hii ishu ya Cruciate ligament tear imekua tatizo kubwa sana mpaka kwa soka la wanawake kiasi wameamua kuunda kikosi kutazama upya shinda inaanza wapi na namna bora kuishughulikia.
Matip anahitaji subira sana...
Tangu ametua Liverpool amekosa gemu 129 kutokana na majeruhi hivyo utaona pamoja na ubora wake hua ni mwepesi wa kuumia maana gemu 129 aisee nyingi sana tangu ametua July 2016.
YNWA
Lkn kwa Newcastle alitupa 3 clean points
Kiingereza kiswahili hueleweki
Two seasons za Klopp za mwanzo Liverpool alikandwa fainali 3
FA
CL
UEL
watu wakasema he is not a Champion manager, sio mwamba wa makombe hasa zihusuzo fainali. Watu wakasahau hizo fainali tu tulizisikia redioni hata CL ushiriki wake kwa mashaka matupu. Akavumiliwa na sasa kila mtu anajivunia.
Hii scenario kama ya Nunez this dude will become a monster soon.
Kama NUNEZ anaweza kujiposition vile na kupewa pasi za mwisho basi hili linatosha kusema jamaa ni mzuri, ni swala la muda tu.Lkn kwa Newcastle alitupa 3 clean points
Sasa anakuwaje na ubora mnaotaka wakati hapewi muda wa kutosha[emoji81] uliona save-able goals alizofungwa vs Fulham lkn? Nafikiri Kelleher amepungua ubora. Anahitaji mechi ya mikiki kiki akiichomoa atapata confidence na atarejea walau kwenye ubora.
Kwa sababu alitupa basi tumuache akipaisha ni sawa tu!Lkn kwa Newcastle alitupa 3 clean points
🤣 🤣 🤣 🤣 Ngoja June 2024 Salah huyo Saudia sijui utahamia huko huko au namna gani.Salah yupo kujenga history
Mbona yeye Nunez kapewa miassist
Kama hujali hilo utakuwa mbinafsi.
Kwa umri wake inaweza kua career breaker aisee.Jamaa ana bahati mbaya sana, akifikia kwenye kiwango bora linamkuta jeraha.
Season is over kwake
Klopp said he will turn doubters to believers and i can see same scenario kwa dogo Nunez.Two seasons za Klopp za mwanzo Liverpool alikandwa fainali 3
FA
CL
UEL
watu wakasema he is not a Champion manager, sio mwamba wa makombe hasa zihusuzo fainali. Watu wakasahau hizo fainali tu tulizisikia redioni hata CL ushiriki wake kwa mashaka matupu. Akavumiliwa na sasa kila mtu anajivunia.
Hii scenario kama ya Nunez this dude will become a monster soon.
Pep muache kama alivo, point 6 tuu, chache Sana, mwaka Jana zilifika 8 Hadi januari na akabebaNiliwaambia mwaka huu pep anacheza ndomboro
Ona sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alishawaambia timu ikifungwa tuwe pamoja pia
Hakuna picha wataacha ona
Lewadoski was worse when Klopp poached at him at DT few seasons after boy was bagging 20 goals + per season.Kama NUNEZ anaweza kujiposition vile na kupewa pasi za mwisho basi hili linatosha kusema jamaa ni mzuri, ni swala la muda tu.
Mchezaji kuwa na mechi mbaya hiyo ni kawaida, ila inapofika week by week unagongesha miamba chance za wazi au kupaisha, hiyo sio kawaida tena[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Naheshimu sana view zako juu ya Nunez na members wengine wote wanaoona mapungufu yake kwa sasa after all wote tunahitaji pointi 3 muhimu zipatikane na ushindi kusogea kunyanyua kwapa...
Kwangu any day of the week Nunez is 1st team starter as he brings lots of dynamics to the team regardless Klopp mara amtupe LW boy is there doing whats he does best.. Fighting spirit is next level... Kosakosa zake hazimshushi morali n that whts defines potential quality players
YNWA