Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu awalinde aiseeHii ishu ya Cruciate ligament tear imekua tatizo kubwa sana mpaka kwa soka la wanawake kiasi wameamua kuunda kikosi kutazama upya shinda inaanza wapi na namna bora kuishughulikia.
Matip anahitaji subira sana...
Tangu ametua Liverpool amekosa gemu 129 kutokana na majeruhi hivyo utaona pamoja na ubora wake hua ni mwepesi wa kuumia maana gemu 129 aisee nyingi sana tangu ametua July 2016.
YNWA
Inaumiza sana