Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ulivyokomaa Klopp asepe mpaka raha... Fahamu kwamba kwa bajeti za FSG hakuna kama Klopp ishu kuu kwake ana huruma sana hayupo brutal kwa ajili ya makombe anatanguliza sana ubinadamu mbele kuliko mafanikio ya klabu.Klopp out
Gerrard In
Laana ya Mane
Akiyanani mimi nilishika bango[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mubebe wangu anashabikia wale kenge🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ulivyokomaa Klopp asepe mpaka raha... Fahamu kwamba kwa bajeti za FSG hakuna kama Klopp ishu kuu kwake ana huruma sana hayupo brutal kwa ajili ya makombe anatanguliza sana ubinadamu mbele kuliko mafanikio ya klabu.
YNWA
Muda si mrefu yanaanza kukata mauno😂mwenyewe nawazoom tuu siku zaozinahesabika wajue nafasi za wanaume waendelee kujishaua.
Sawa bwana🤣 🤣 🤣 🤣 1st 11 ya Klopp namba 9 wake yumoooo... Boy ain't for warming the bench haha...
YNWA
Umesahau 2018/19Sisi siyo aseno
🤣 🤣 🤣 🤣 Vipi tena tunakosa kunyanyua kwapa miss Liverpool. Be a believer.Sawa bwana
Nunez mwamba
Tukikosa makombe aisee hakuna rangi mtaacha ona na huyo manyunyuzi
Bado tuna nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa mkuu, nikiangalia hapo kwenye draw za arsenal na liverpool ,hizo draw za liverpool 4 ugenini ,pale anfield ni point 12 tayari tunachukua kibindoni,wakati arsenal atachukua points 3 kwenye draw yake moja hiyo,licha ya arsenal kushinda mechi nyingi ugenini lakini utofauti liverpool wa point 3 tu inaonekana arsenal pia nyumbani hayuko vizuri. Liverpool ananafasi kubwa kuchukua point nyingi round ya pili ,aliopata sare nao ugenini wanakuja anfield hizo sare nne ni za luton,man city,brighton,chelsea anfield wanakufa wote hao. Table ya pili inaoneha liverpool ushindi anfield ni lazima yaani 100%.Msimamo wa ligi mechi za ugenini
View attachment 2836951
Klopp hapa inabidi kuongeza maarifa zaidi hatuwezi ligi kutegemea kushinda tu Mechi za nyumbani
YNWA
Amka asubuhi imefika acha kuota utajiharibia mkuu....Bado tuna nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa mkuu, nikiangalia hapo kwenye draw za arsenal na liverpool ,hizo draw za liverpool 4 ugenini ,pale anfield ni point 12 tayari tunachukua kibindoni,wakati arsenal atachukua points 3 kwenye draw yake moja hiyo,licha ya arsenal kushinda mechi nyingi ugenini lakini utofauti liverpool wa point 3 tu inaonekana arsenal pia nyumbani hayuko vizuri. Liverpool ananafasi kubwa kuchukua point nyingi round ya pili ,aliopata sare nao ugenini wanakuja anfield hizo sare nne ni za luton,man city,brighton,chelsea anfield wanakufa wote hao. Table ya pili inaoneha liverpool ushindi anfield ni lazima yaani 100%.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawamjui pep wale na msimu ulio isha pep alipitwa point nyingi lakin alianza kuja juu, bdo klopp aloo sijui kama wataendelea kukaa pale juuKuna wale nyau wamekalia kuti kavu kule kileleni
Wanaona maisha wameyapatia
Nadhani tutashinda Leo ugenini. Nayo itasaidia kuongeza kujiamini.Msimamo wa ligi mechi za ugenini
View attachment 2836951
Klopp hapa inabidi kuongeza maarifa zaidi hatuwezi ligi kutegemea kushinda tu Mechi za nyumbani
YNWA
Mpaka ligi ilipo sasa ni dhahiri ipo wazi japo bado Manchester City wapo book makers favourite lakin wameruhusu sana magori sare na vipigo na hio inawapa morali zaidi Arsenal na Liverpool n wengine kupambana zaidi...Bado tuna nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa mkuu, nikiangalia hapo kwenye draw za arsenal na liverpool ,hizo draw za liverpool 4 ugenini ,pale anfield ni point 12 tayari tunachukua kibindoni,wakati arsenal atachukua points 3 kwenye draw yake moja hiyo,licha ya arsenal kushinda mechi nyingi ugenini lakini utofauti liverpool wa point 3 tu inaonekana arsenal pia nyumbani hayuko vizuri. Liverpool ananafasi kubwa kuchukua point nyingi round ya pili ,aliopata sare nao ugenini wanakuja anfield hizo sare nne ni za luton,man city,brighton,chelsea anfield wanakufa wote hao. Table ya pili inaoneha liverpool ushindi anfield ni lazima yaani 100%.
Hakuna namna ushindi lazima vijana wameanza kuamini kwamba ligi ipo wazi... Klopp hataki kuwavuruga anasema mpaka April tutakapokua kwenye msimamo ndio atasema kama tupo kwenye mbio za ubingwa ama hapana.Nadhani tutashinda Leo ugenini. Nayo itasaidia kuongeza kujiamini.
Tukiendelea kupaisha kombe tutalisikia.🤣 🤣 🤣 🤣 Vipi tena tunakosa kunyanyua kwapa miss Liverpool. Be a believer.
YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Accepted.Tukiendelea kupaisha kombe tutalisikia.
Yaani iwe bahati tu tupate yaani
Tukikosa aisee,patachimbika hapa 😂