Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp out
Gerrard In

Laana ya Mane

Akiyanani mimi nilishika bango[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ulivyokomaa Klopp asepe mpaka raha... Fahamu kwamba kwa bajeti za FSG hakuna kama Klopp ishu kuu kwake ana huruma sana hayupo brutal kwa ajili ya makombe anatanguliza sana ubinadamu mbele kuliko mafanikio ya klabu.

YNWA
 
Kuna mubebe wangu anashabikia wale kenge
Nilivyokuwa naongea naye stori za Klopp out,akasema we dogo bwege sana,,tupeni Klopp afanye crop cultivation pale madarajani palipobomoka.
 
Msimamo wa ligi mechi za ugenini

Screenshot_20231208_220340.jpg

Klopp hapa inabidi kuongeza maarifa zaidi hatuwezi ligi kutegemea kushinda tu Mechi za nyumbani

YNWA
 
Macca ni dhahiri anazidiwa pale DM. Salute kwake kwa kutomwangusha Klopp hakika kwa kutazama msimamo wa EPL amejitahidi
Screenshot_20231208_220136.jpg

YNWA
 
Msimamo wa ligi mechi za ugenini

View attachment 2836951
Klopp hapa inabidi kuongeza maarifa zaidi hatuwezi ligi kutegemea kushinda tu Mechi za nyumbani

YNWA
Bado tuna nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa mkuu, nikiangalia hapo kwenye draw za arsenal na liverpool ,hizo draw za liverpool 4 ugenini ,pale anfield ni point 12 tayari tunachukua kibindoni,wakati arsenal atachukua points 3 kwenye draw yake moja hiyo,licha ya arsenal kushinda mechi nyingi ugenini lakini utofauti liverpool wa point 3 tu inaonekana arsenal pia nyumbani hayuko vizuri. Liverpool ananafasi kubwa kuchukua point nyingi round ya pili ,aliopata sare nao ugenini wanakuja anfield hizo sare nne ni za luton,man city,brighton,chelsea anfield wanakufa wote hao. Table ya pili inaoneha liverpool ushindi anfield ni lazima yaani 100%.
 
Amka asubuhi imefika acha kuota utajiharibia mkuu....
 
Kuna wale nyau wamekalia kuti kavu kule kileleni
Wanaona maisha wameyapatia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawamjui pep wale na msimu ulio isha pep alipitwa point nyingi lakin alianza kuja juu, bdo klopp aloo sijui kama wataendelea kukaa pale juu
 
Bado tuna nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa mkuu, nikiangalia hapo kwenye draw za arsenal na liverpool ,hizo draw za liverpool 4 ugenini ,pale anfield ni point 12 tayari tunachukua kibindoni,wakati arsenal atachukua points 3 kwenye draw yake moja hiyo,licha ya arsenal kushinda mechi nyingi ugenini lakini utofauti liverpool wa point 3 tu inaonekana arsenal pia nyumbani hayuko vizuri. Liverpool ananafasi kubwa kuchukua point nyingi round ya pili ,aliopata sare nao ugenini wanakuja anfield hizo sare nne ni za luton,man city,brighton,chelsea anfield wanakufa wote hao. Table ya pili inaoneha liverpool ushindi anfield ni lazima yaani 100%.
Mpaka ligi ilipo sasa ni dhahiri ipo wazi japo bado Manchester City wapo book makers favourite lakin wameruhusu sana magori sare na vipigo na hio inawapa morali zaidi Arsenal na Liverpool n wengine kupambana zaidi...
Kwa sasa kwanza Klopp akomae na rotation bora ya wachezaji ili kupunguza sana majeruhi kwa key players,
Kingine January DM hakuna sijui sokoni hawapo nk nk mapema sana soko linafunguliwa basi waingine sokoni.. DM kwa sasa imekua ni moja ya namba yenye uhitaji utulivu sana kununua maana wamekua ghali sana wale established.. My pick ni Thuram.

Tukiedelea na ushindi huu pale Anfied huu huu basi ni suala la muda na ugenini nako sare zitageuka kua ushindi tu... Winning is addictive.

Dalili zinaonyesha msimu huu hata aliepo nafasi ya 5 anaweza kua bingwa hivyo every point do count.

YNWA
 
Back
Top Bottom