Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ulivyokomaa Klopp asepe mpaka raha... Fahamu kwamba kwa bajeti za FSG hakuna kama Klopp ishu kuu kwake ana huruma sana hayupo brutal kwa ajili ya makombe anatanguliza sana ubinadamu mbele kuliko mafanikio ya klabu.Klopp out
Gerrard In
Laana ya Mane
Akiyanani mimi nilishika bango[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA