Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool leo mnatembelea "choke" hali c nzuri. Wapi RRONDO? Tufike mahali tukubali kuwa timu ni mbovu.

mkuu mi nipo huwa naingia humu naongea machache tu nakimbia maanake huchelewi kupewa maneno magumu hapa....
nilisema mwaka huu hamna chenu,huwezi kuuza FERRARI ukanunua FIAT mbili utegemee kupata perfomance ya ferrari.
 
Pamoja na yote, I'll get stuck with BR. I'll give him time to sort the mess out, I know he will as he's a smart bloke. Lakini angalizo langu kwake ni kuwa it's not me (tisha-TOTO) who calls the shots @ Anfield. It's Henry & co....so he must focus on hitting the right buttons.

Vipindi vigumu kama hivi hata makocha magwiji wana(me)vipitia....Fergie, Mourinho, Wenger, Anceloti, Klopps etc..
 
hahaha hata goli moja ya kusingizia



Mkuu yani hii Timu majanga tu.... Lkn mimi niliwaambia kua safari hii top four hawaioni.....!

Khe Khe Khe Khe Khe tulichoka na kelele zao Mara BR kocha mzuri Mara sijui nani lkn leo kimyaaaaaaa.

Khe Khe Khe Khe........!
 
Mkuu yani hii Timu majanga tu.... Lkn mimi niliwaambia kua safari hii top four hawaioni.....!

Khe Khe Khe Khe Khe tulichoka na kelele zao Mara BR kocha mzuri Mara sijui nani lkn leo kimyaaaaaaa.

Khe Khe Khe Khe........!
kuna thread ile ya kubet,wazee wa kubet,akaja jamaa moja akasema anaweka laki liverpool wanashinda,nikamwambia ila wapo ugenini usibet kwa mapenzi au hisia,akabisha madhara kaliwa na kakiri
 
ufungwe na na new castle uje ufunge chelsea,piga magoti sali miujiza yatokee



BR Uko alipo sasaivi Ana mawazo sn kwasababu game ya Leo alipaswa asipoteze. Sasa akiangalia tarehe 8 anakutana na chelsea na ukumbuke msimu uliopita tulimuharibia mbio zake za kuwania ubingwa na alivyo BR Hana akili atapania kumfunga Mourinho ili atuharibie au alipize kisasi.... Hapo ndio atapigwa vibaya...!
 
kuna thread ile ya kubet,wazee wa kubet,akaja jamaa moja akasema anaweka laki liverpool wanashinda,nikamwambia ila wapo ugenini usibet kwa mapenzi au hisia,akabisha madhara kaliwa na kakiri



Ukaweke mzigo kwa loserfool kweli hujipendi???

Khe Khe Khe Khe
 
hawa sikuwaogopa niliwaogopa man city,nikaja kuhakiki waliyocheza za roma,ska moscow,bayern,yote draw,hawana kitu,sasa ndo liverpool watufunge?
 
hawa sikuwaogopa niliwaogopa man city,nikaja kuhakiki waliyocheza za roma,ska moscow,bayern,yote draw,hawana kitu,sasa ndo liverpool watufunge?


Wakati Sisi tukiwa ktk mteremko wa game yetu ya UCL na Marbor huku tukiwa tunaongoza kundi letu, loserfool watakua na Kz pevu siku ya j4 kwa kuwavaa Madrid ugenini... Hii itaongeza idadi za kupoteza Michezo kwa loserfool. Maana mpk Sasa ktk UCL wamecheza Michezo mitatu na kushinda mmoja na kufungwa miwili...!

Komaeni na Madrid kwanza then mje mkutane Na Kisiki tarehe 8.....,!

Khe Khe Khe Khe loser..!
 
ongea kwa mifano na tafsida watu watazimia kaka,zungukia points ikiwa clear noma
 
ongea kwa mifano na tafsida watu watazimia kaka,zungukia points ikiwa clear noma


Tumeitwa CUNTS mkuu.

Ngoja tupige story mkuu kwa uwazi.

Leo Newcastle kawagonga hawa loser

J4 Madrid anawagonga hawa loser

Terehe 8 Chelsea anawagonga hawa loser...!

Hakuna matumaini ya kufuzu ktk hii hatua ya makundi ktk UCL.

Ktk EPL matumaini ya kua top four yamepotea......!

Na ktk capital one tukikutana na wewe iwe Nusu fainal au fainal jua huna chako.....

Wiki ya msiba na majonzi kwa Loserfool.... Khe Khe Khe Khe Khe Khe

Cc: Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Nilisema hapa back in March kuwa hii timu is bogus na hawana jipya kwani kila baada ya miaka 5 au 6 wanakujaga na kasi kama ya mwaka jana then wanayayuka kinoma mpaka watu wanajiuliza hivi hii ndiyo timu ile ile? Wadau mkalia na wengine kudiriki kunitukana kwani mlikuwa hamtaki ukweli. Poleni lakini ila hamjifunzi, angalieni rekodi yenu ya PL toka ianze mwaka 1992/1993....mtaona kuwa ni jadi yenu kupiga kelele then mnayayuka mpaka miaka 6 mingine ijayo. Kuleni maumivu tu, Liverpool timu? Utaishije kwa sifa ya mavi ya kale?
 

Hahaha hawa majamaa heri wanyamaze tu,wanaishi kwa matumaini
 
Last edited by a moderator:
Khe Khe Khe Khe nani atarithi hiyo mikoba km wachezaji wakubwa Mmeshindwa kununua ndio mtaweza kuchukua makocha wakubwa????

Benitez ni kocha sahihi Liverpool... jamaa kapewa hela yy kaamua kuzitumia hivyo lkn kocha makin kama benitez asingeweza kufanya ujinga huo... alaf Benitez hakupewa hela ya usajil lakn tim ilikua inakomaa mno... benitez ana mapenz na Liverpool na hadi leo familia yake inaish liverpool
 

*Nigga* tryna get some attention!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…