King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Msimu huu mechi zote mpaka sasa kila mechi lazima tufunge goli.
Hakuna mechi ambayo tumezibitiwa kufunga goli,wenzetu mechi inaisha hawafungi goli lolote.
Acha zako Ngwaba, Liverpool ni moja ya timu zilizonufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na inaendelea kunufaika. Liverpool na Man utd hazina tofauti linapokuja suala la marefa. Kuna United, Liver, Newcastle, City hawa ndio marafiki wa Pgmol.Kumbuka aliyekuwa anabeba ubingwa kwa favours za Marefa ni Manure ya Ferguson na Man City ya Pep tu.
Chelsea kipindi chote cha Abramovic hakuwahi kubeba ubengwa kwa Favours za Marefa bali alipigana kiume kivyake vyake.
Hivi na wewe Arsenal na sisi LiverpoolFC tusitegemee kubeba ubingwa kwa Favours za Marefa ndiyomana mpaka sasa tuna Red Cards 4 huku tukinyimwa points 3 za wazi dhidi ya Spurs.
Kiufupi ili ushindwe ubingwa unatakiwa uyashinde mazingira magumu kama hayo bila ya kutegemea huruma.
But Anfield hata aje achezesha Arteta nadhani unajua wazi kuwa huwezi kuondoka na points.View attachment 2838535
Hatuna mbambambaMwambie sisi hatuchani Mikeka bali tunang'arisha mikeka izidi kupendeza.
Matip wangu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kikosi cha ushindi hichoooo hahaha cha Miss Liverpool.
Too bad Jota, Matip wapo wodini polee.
YNWA
😂😂😂Good 👍
Kumbe my fellow Kop unazungumzia msimamo na sio facts?
Kama ni hivyo upo sahihi kwasababu hata Privaldinho anaamini Yanga ni bora kuliko Masandawana (Mamelody) kwasababu ndiyo msimamo wake.
Ni sawa na Malafyale anaamini kuwa Henderson ni bora kuliko Gerrard kwasababu ndiyo msimamo wake.
Ni sawa na wengi humu kuna kipindi waliamini Origi na Shaqiri ni bora kuliko Salah.
😅
Unajua hata jana kulikuwa na maelekezo. Sidhani kama Jarell alicheza faulo pale. Labda mnaojua mpira mnisaidie.King ngwaba hizi mechi za maelekezo, sisi huwezi kutufunga bila maelekezo, waliotufunga wote hakuna aliyetuzidi mpira ni support ya Marefa, sisi ni moto wewe.
Yaani hapa tulipofika mm sikutegemea kabisa gem dhidi ya Chelsea niliona shida ilivyo pale kati. Tuna mapungufu makubwa sana DM. Tujitahidi January tumlete yule dogo mbarazil na beki mmoja angalau tunaweza kimbizana na kipara maana akija fufuka KDB kipara hata poteza point tena wakati wakumuombea njaa ni sasa.DM muhimu aisee leo tazama Endo alivyo struggle vs Palace....
Tuna katika mno pale kati kati bila kuwapa ulinzi mabeki tutapata matatizo.
Kipara bila KDB kumlisha Halaand wanapata matatizo makubwa sana.
Cha msingi tujikusanyie pointi mapema za kutosha maana Kipara kuanzia Februari hua hatanii kabisa.
YNWA
Kijana Aliyekubaka jana sisi tulimuoa na Mahari ya Milioni 3 tukamtolea.
Sasa kama Mke wetu mpendwa alikunyanyasa hivi je sisi Waume tutakufanyaje utakapoingia Getoni kwetu Anfield?
Munapoanza kushabikia Mpira muwe munatuuliza sisi Wazee jinsi ya kushabikia mpira usionekane Mpumbavu.
View attachment 2838361View attachment 2838362
Kweli Mkuu ile gemu ya Chelsea ilichezwa kimtego sana kiasi pale kati palitoa picha ya ku struggle sana mbeleni lakin imekua tofauti... Vijana wamemwelewa Klopp anachokitaka japo huyu dogo Domy hasemwi sana kazi inayoifanya ila anapambana sana kusaidia MF kwenda mbele na kuharibu mipango ya wapinzani...Yaani hapa tulipofika mm sikutegemea kabisa gem dhidi ya Chelsea niliona shida ilivyo pale kati. Tuna mapungufu makubwa sana DM. Tujitahidi January tumlete yule dogo mbarazil na beki mmoja angalau tunaweza kimbizana na kipara maana akija fufuka KDB kipara hata poteza point tena wakati wakumuombea njaa ni sasa.
February anakuaga mwingine kabisa hapotezagi point hata kidogo
Yaani nyie mmempiga Crystal palace kweli. Timu inayougulia maumivu? Hata hivyo, kuna mtu atakuja kuwaadhibu kwa ajili yao kama Tottenham walivyowapiga Newcastle kwa ajili yetuMbio zenu za sakafuni zimefika ukingoni
Endelea kusubiri mbeleko za timu nyingine.Yaani nyie mmempiga Crystal palace kweli. Timu inayougulia maumivu? Hata hivyo, kuna mtu atakuja kuwaadhibu kwa ajili yao kama Tottenham walivyowapiga Newcastle kwa ajili yetu
Kwa haya maneno mbofu mbofu nawalaani. Kuanzia sasa mtapokea vipigo na mkikutana na sisi tutawapiga kipigo cha uuumbwa kokoEndelea kusubiri mbeleko za timu nyingine.
Mbeleko yetu ndo iliwaweka pale juu mkaona maisha mmeyapatia
EPL haina ushindi wa papatupapatu wa mbeleko
Ramli kama Ramli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani nyie mmempiga Crystal palace kweli. Timu inayougulia maumivu? Hata hivyo, kuna mtu atakuja kuwaadhibu kwa ajili yao kama Tottenham walivyowapiga Newcastle kwa ajili yetu
We mcheza kamari umekosea njia.Watu mnabet kimazoea na kila siku mnalia!! Yaan hajui kusuka mkeka wake anasubiri code za watu humu ili awake mkeka!!
Narudia kusema mtakua mnaliwa hivyo hivyo kila siku..huwa napigwa ila huwa nakula sana tu pia.
Ushauri achaneni na matren mnapoteza muda na pesa, Acha kuomba au kuchukua code hum unapoteza muda tu.
Unashindwa kutafuta mechi 5 tu ijumaa,jmos na jpil!!mtahama sana makampuni hakuna cha maana utakacho pata. Kama ww sio mtu wa football ni bora uachane ma haya mambo tu. Watu wanabet kimazoea tu na kufata mkumbo!
Ni hayo tu sina mengi ,endeleeni kupeana code za tren na ujinga mwingine wa aina hiyo.
Soka la ulaya linatawaliwa na karma balaa. Muulize Newcastle alivyopewa ushindi wa 1-0 dhidi yetu. Mpira ulitoka nje, offside na foul, vyote eti VAR wakasema 'inconclusive' na kuwapa goli. Kocha akalalamika ila tulichoambulia ni FA charge.Ramli kama Ramli
Generally in football the most difficult thing is creating scoring opportunities, sasa kama una mtu ambae ni natural opportunity creator tayari umetatua nusu ya tatizo la timu.Chance zake anazopata nyingi kuliko strikers wengine hazitatufundisha chochote kama haziwi magoli
Kama zinapaishwa na kugonga miamba work done then equals zero.