Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Klopp baba huruma,nategemea hili kutoka kwake.Itapendeza sana kwa kweli. Tuombe afanyiwe mpango aongezewe mkataba.
Kweli sevilla sasa imejaza wazee tupu ndio maana wanafeliHalafu vijana. Naiona Sevilla flan ile ya Europe mfululizo ilisumbua La liga sio kwa level za ubingwa ila kuchallange top four.
He'll be back🥺
Akipona kabisa atarudiMchezaji akifika kufanyiwa kufanyiwa surgery ya ACL basi imepata tear yani inawezekana imekatika kabisa hivyo hapo ni baada ya Miezi 9 mpaka 12 ndiyo aanze kufanya mazoezi na sio kurudi uwanjani.
Hivyo ni Vigumu kurudi tena huyu
Matip na Konate ni ma pacha muda mwingi aisee tuache kua extra sentimental na haya mambo naamini taratibu zipo wazi kwamba kama Klabu inamhitaji haisubiri kutoa mkataba mpaka aumie ni kwamba mpaka sasa kashajulishwa muda wajipanga ligi ikiisha...Klopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.
Itakuwa si uungwana kumdampo mtu wakati wa matatizo...
Kiukweli nilitamani Matip aondoke kabla ya msimu kuanza lakini kwa hili lililomkuta lazima tuonyeshe ubinadamu.
No way, lazima abaki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakileta 500 bado hatutaki
Tunamtaka Salah wetu tu
Jota wodini
Nunez Mzee wa kupasua miamba
Elliot utani mchana kweupee
Nunez chenga nyingi
Ingekuwa kilio na kuomboleza hapa
Milner na Hendo,Ox mbele
Anakuwaje golikipa bora kwenye hicho kikosi?
Timu tofauti ndio inabamba sasa
Ila tukishinda aisee mpinzani atanichukia..nashangilia goli kwa nguvu zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I can't lower my expectations
Kwa uweza wa Mungu atarudi kabla ya muda
Madaktari hutibu,Mungu anaponya.
Sema tungemuuzaga mapema msimu kabla haujaanza.
Huruma za Klopp.
Hatushiriki UEFA Mkuu tupo EUROPA sisiMsimu huu lzm Liverpool tuchukue UEFA champions league
Mie huwa nalia sanaMpinzani awe utd, labda. Ila hapo ukutane na short temper ni kilio.
Basi tizama live matches
Nyie si ndo mlikuwa mnasema auzwe😂Salah angezewe mkataba, Saudi kwenyewe upepo umekata
Tumuache wakati mgonjwa?Matip na Konate ni ma pacha muda mwingi aisee tuache kua extra sentimental na haya mambo naamini taratibu zipo wazi kwamba kama Klabu inamhitaji haisubiri kutoa mkataba mpaka aumie ni kwamba mpaka sasa kashajulishwa muda wajipanga ligi ikiisha...
Klopp ameonesha kuleta huruma lakin Matip na VVD wapo other side of 30 hio not soo coool kwetu mapema tuanze kuleta waridhi wao waanze kucheza nao waelewe playing Liverpool way..
Matip aachiwe tu akasake maisha kwingine..
YNWA
Endo apewe tu maua yakeView attachment 2842176
Wakati Mac hatokuepo dhidi ya Manure basi nashauri FBR acheze Gomez TAA asimame kama DM mbele yake acheze Szobo na Jones.
Mnataka ageuke fenicha?Salah angezewe mkataba, Saudi kwenyewe upepo umekata
Huyo sio wa kumjibu mkuu akili zake zimeishia hapo [emoji23]Hatushiriki UEFA Mkuu tupo EUROPA sisi
Endo naona akiwa mzuri endapo akatokea sub aloo [emoji39][emoji39]Endo apewe tu maua yake
Ni kitasa kizuri hasa kwa physical nature ya manure mido yule mwarabu na mctominnay