Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Halafu vijana. Naiona Sevilla flan ile ya Europe mfululizo ilisumbua La liga sio kwa level za ubingwa ila kuchallange top four.
Kweli sevilla sasa imejaza wazee tupu ndio maana wanafeli
Kuna yule Douglas Luis mzuri sana yule
 
He'll be back🥺

Mchezaji akifika kufanyiwa kufanyiwa surgery ya ACL basi imepata tear yani inawezekana imekatika kabisa hivyo hapo ni baada ya Miezi 9 mpaka 12 ndiyo aanze kufanya mazoezi na sio kurudi uwanjani.

Hivyo ni Vigumu kurudi tena huyu
 
Screenshot_20231214-094612.jpg

Wakati Mac hatokuepo dhidi ya Manure basi nashauri FBR acheze Gomez TAA asimame kama DM mbele yake acheze Szobo na Jones.
 
Klopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.

Itakuwa si uungwana kumdampo mtu wakati wa matatizo...
Kiukweli nilitamani Matip aondoke kabla ya msimu kuanza lakini kwa hili lililomkuta lazima tuonyeshe ubinadamu.
No way, lazima abaki tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matip na Konate ni ma pacha muda mwingi aisee tuache kua extra sentimental na haya mambo naamini taratibu zipo wazi kwamba kama Klabu inamhitaji haisubiri kutoa mkataba mpaka aumie ni kwamba mpaka sasa kashajulishwa muda wajipanga ligi ikiisha...

Klopp ameonesha kuleta huruma lakin Matip na VVD wapo other side of 30 hio not soo coool kwetu mapema tuanze kuleta waridhi wao waanze kucheza nao waelewe playing Liverpool way..

Matip aachiwe tu akasake maisha kwingine..

YNWA
 
Timu tofauti ndio inabamba sasa
Ila tukishinda aisee mpinzani atanichukia..nashangilia goli kwa nguvu zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

I can't lower my expectations

Mpinzani awe utd, labda. Ila hapo ukutane na short temper ni kilio.

Basi tizama live matches
 
Mpinzani awe utd, labda. Ila hapo ukutane na short temper ni kilio.

Basi tizama live matches
Mie huwa nalia sana
Hata kunizomea ni ngumu😂😂
Aisee,humu ndani siku tuonane wote tuangalie mechi pamoja...itakuwa ni vituko hapo jamani🤣
 
Matip na Konate ni ma pacha muda mwingi aisee tuache kua extra sentimental na haya mambo naamini taratibu zipo wazi kwamba kama Klabu inamhitaji haisubiri kutoa mkataba mpaka aumie ni kwamba mpaka sasa kashajulishwa muda wajipanga ligi ikiisha...

Klopp ameonesha kuleta huruma lakin Matip na VVD wapo other side of 30 hio not soo coool kwetu mapema tuanze kuleta waridhi wao waanze kucheza nao waelewe playing Liverpool way..

Matip aachiwe tu akasake maisha kwingine..

YNWA
Tumuache wakati mgonjwa?

Apone kwanza
 
Back
Top Bottom