Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kafanyaje?Saint Anne ulilalamika sana kipa wako apewe game time
Haya tayari tumeona Leo katupiga na kitu kizito
Anatibiwa mpaka mkataba utapoisha after that anakua huruKlopp alivyo baba huruma,lazima aongezewe muda.
Itakuwa si uungwana kumdampo mtu wakati wa matatizo...
Kiukweli nilitamani Matip aondoke kabla ya msimu kuanza lakini kwa hili lililomkuta lazima tuonyeshe ubinadamu.
No way, lazima abaki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio akasake ugali timu nyingine muda wake klabuni ulishafika mwisho hakupi gemu hata gemu 10 kwa msimu mfululizo lazima utasikia huyoo wodini, yeye na Konate wanapishana kwa dokta...Tumuache wakati mgonjwa?
Apone kwanza
Katuponza kwa kweliMiss Liverpool Saint Anne helooo... Tazama live score ubora wa wa kipa wako uone ngapi ngapi huko.
YNWA
Soma ubao wa matokeoKafanyaje?
Huyu nae wa kuondoka,anachukua mshahara wa bure tu.msimu mzima yuko nje.Anajiandaa kwenda kuumia
Trent Hana defensive qualities mkuuEndo naona akiwa mzuri endapo akatokea sub aloo [emoji39][emoji39]
Endo apewe tu maua yake
Ni kitasa kizuri hasa kwa physical nature ya manure mido yule mwarabu na mctominnay
Kafanyaje?
Huyu nae wa kuondoka,anachukua mshahara wa bure tu.msimu mzima yuko nje.
Kiaz nunez katika ubora wake
Mechi bado sijaicheckYani madam kumbe unamsifia kipa ambaye humuoni akicheza?
Nimekumbuka ile kauli ya kuuza mbuzi kwenye gunia.
Mimi nikimponda naambiwa sijui mpira😆Huyu tunaambiwa ni Bull Striker wakati ni BALEKE anayelipwa vizuri tu.
Nipo pamoja naww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu tunaambiwa ni Bull Striker wakati ni BALEKE anayelipwa vizuri tu.
Atakuwa bado hajaponaAnatibiwa mpaka mkataba utapoisha after that anakua huru