Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumuache wakati mgonjwa?

Apone kwanza
Ndio akasake ugali timu nyingine muda wake klabuni ulishafika mwisho hakupi gemu hata gemu 10 kwa msimu mfululizo lazima utasikia huyoo wodini, yeye na Konate wanapishana kwa dokta...
Apishe nafasi yake aje mwenye njaa zaidi... Usitetegemee FSG waingie sokoni huyu dogo Matip akiwa klabuni.

YNWA
 
Mimi naona Tubadilishane na USG wao tuwape li Nunez sisi watupe Amoura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endo apewe tu maua yake

Ni kitasa kizuri hasa kwa physical nature ya manure mido yule mwarabu na mctominnay

Uwe unaangalia Mpira pamoja na wanaojua mpira wakueleweshe baadhi ya Vitu muhimu.

Kafuatilie ratiba ya LFCTV ujue muda wa kurejewa kuoneshwa game yetu dhidi Crystal Palace umuone kitasa wako umpe mauwa.
 
Huyu nae wa kuondoka,anachukua mshahara wa bure tu.msimu mzima yuko nje.

Yani game 17 hajakanyaga Uwanjani, anarudi game ya 20 anacheza dakika 10 then game ya 25 anaumia tena anarudi ya 34 anamaliza game 4 za mwisho.

Hapo unakuta Msimu mzima kacheza game 6 tu zilizokamilika.

Halafu amechukua Mshahara wa Ligi nzima. Huyu naye ni new version ya Keita na OX.
 
FB_IMG_17026525291315723.jpg
 
Back
Top Bottom