Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ilikua kudogo tuu atupe ushindi thidi ya united baada ya kurudi katikati

Reason kubwa ya ku-draw game ya Utd, ni kwasababu our RHS was dead & we failed completely to progress/move the ball from the middle.

And, was Inverting the whole game, at what time alitaka kutupa ushindi katika zoezi lake la ku-invert? na ilikuwaje akarudi kati? wakati he was roaming hapo kati + right the whole game?
 
Wakuu Kopites nadhani mnasikia kelele za usumbufu wa arsenal fans siku hizi, tunaomba mtutulizie wale wahuni jumamosi ijayo.
 
Kwamba, unamjua Trent personally kuliko mimi?

And, ni lini Trent alitoa "wazo" la kucheza kati?
Ni kweli kabisa simjui Trent kuliko wewe..
Siyo kwamba tu simjui kuliko wewe, lakini pia simjui kabisa.

Ila naamini Klopp anayempanga anamjua vizuri Trent personally kuliko wewe.
 
Ishu ya Trent ni very SIMPLE.

If he WANTS to play in the middle, stick him there, buy another RB, or for the time-being play Gomez at RB.

Ishu ya Trent ku-invert, inaumiza team, na inaondoa balance ya team, especially kwenye MF.

Na, inaumiza team, KWASABABU, tunakuwa tunakosa Width kwenye flanks, na kama unajua mpira, ni rahisi sana kuelewa changamoto za kukosa width kwenye flanks, katika mpangilio mzima wa ku-generate chances.

Game ya Jana, ilikuwa simple indications, a bland 433, inayo-support width na suitable midfield 3 (Interceptor/disruptor - Holder/tempo setter/recycler - Progressor/Creator (Endo-Jones-Dom).), and we were fluid from start to finish, na hata alipoingia Trent, alienda kati as DLP, kulikuwa na RB & LB ambao wote walibakia ku-hold width na kumaintain the same shape. hakukuwa na masuala ya Ku-INVERT.
 
Simjui Trent kuliko wewe..
Siyo kwamba tu simjui kuliko wewe, lakini pia simjui kabisa.

Ila naamini Klopp anayempanga anamjua vizuri Trent personally kuliko wewe.

Oh, so why huwa unam-belittle Nunez hapa ambaye Klopp anamjua personally kuliko wewe?

Inauma, mchezaji wako favorite akiwa subjected for criticisms?

Una-insinuate kuwa nina "chuki" na Trent, player ambae nimeanza kum-profile and kumfanyia data projection, since he was a kid, kabla hata hujamjua.

Ni sawa na baadae, nianze kuwakosoa kina Trey Nyoni, McConnell, Gordon etc, players ambao nipo tasked kuwafanyia data projections kila weekend na firms zinazowa-own. na uje kusema nina "chuki".

Trent ni vice-captain now, na hakuna mtu ambaye yupo against na yeye kucheza MF, na mimi nikiwa na tatizo na yeye kucheza MF itakuwa kichekesho because nimeanza kumfanyia data projection akiwa anacheza kama kiungo kwenye academy, kitu ambacho nipo against nacho, ni LFC kuiga set ups za Guardiola, hatuna DM, ambaye ataruhusu Trent awe free kwenye his DLP zone anapo invert, na hii ina-athiri our ball progression na speed ya ku-create chances. solution ni Trent acheze katikati COMPLETELY, let Gomez or other RB aendelee ku-hold width. narudia TENA, hatuna PROFILES za ku-master inverting drafts.

Sijui ambacho hakieleweki ni kipi?

Oh, and PLG will be recruiting me kuanzia February next year (2024), as a secondary Data Collector, and guess what, it happens to be Trent agency. and hii siyo mara ya kwanza nimefanya nao kazi, hence nikakwambia i know Trent, PERSONALLY.

And, kwenye kazi huwa nakuwa mnafiki, but hapa siwezi kuwa mnafiki, because profession inakuwa pembeni, i'm a LIVERPOOL FAN.
 
Liverpool fans wa Jamii Forums ni very naive.

How come unaona trend/numbers za ku-create chances kwa Dominik, zimepungua na kushuka kwa kiasi kikubwa, tangu tuanze na hii tendency ya ku-implement inverting drafts, na unashindwa kuelewa kinachosababisha? na unaangalia gamss za LFC kila siku? i can understand female's judgement(s) because huwa zinakuwa clouded na sentiments sana, but mwanaume unashindwaje ku-judge mpira?

Numbers za chances za Dom zilivyoshuka, na our attack imekuwa butu, hatu-create chances kama mwanzo, tumekuwa flat na so passive & direct for the past 5-7 games, na imetu-cost games kadhaa along the way, tutakuwa tunawalumu kina Salah, Nunez, Diaz, Gakpo etc kila siku?

Our primary chance creator anacheza so deep na yupo tasked na different combinations, but una-question hili, ambalo ni very valid kwa maendeleo ya team, watu wanaanza kumdogosha Dominik, we spent £60m, for him, tena tumelipa outright because ilikuwa ni RC, why cant we question Klopp, Dom akiwa misused? Extent ya talent aliyonayo Dom sijui kama hawa watu wanaijua.

Hii thread imekuwaje Aisee?.

Tuna 38 points now, whether you like it or NOT, we are TITLE challengers msimu huu, so we need to win as many games as possible.
 
At LFC, player ambaye nilitakiwa nimchukie sana ni JORDAN BRIAN HENDERSON, because ile tendency ya kumkosoa na ku-question his footballing ability, iliniletea matatizo makubwa sana ya kiakili/kisaikolojia.

Nimeanza kumkosoa Henderson kabla hata sijajiunga na Jamii Forums, na naweza kusema, tabu niliyokuwa naipata kwenye other platforms kutokana na my stance on Henderson ndiyo illiyonifanya nijiunge na Jamii Forums.

Nilikuwa ni subject wa racial abuses/slurs kwenye zile platforms za whites/scousers, na baadae nilikuwa napata direct racial abuses, especially uwanjani/pubs, ishu ya ubaguzi isikie kwa mtu mwingine, hakuna kitu kibaya na kinachoumiza duniani kama ubaguzi, na inaumiza zaidi pale unapooma you cant do nothing about it (hence nilikuwa namtetea sana Keita humu, because nilikuwa naona anachopitia).

Sasa, hata humu Jamii Forum, ishu yangu ya Henderson ilinitelea shida kubwa sana kiakili, because nilikuwa subject wa petty abuses kila siku, sometimes mpaka abuses kwa wazazi zlikuwa involved, and for what? football? white person?

Lakini, God knows, i have never hated Henderson, na kama utaweza ku-dig deeper, utakutana na a good article (sold), ambayo i wrote about his journey kwenye football and how his move to Saudi should be respected.

so, chuki kwa Trent? huyu huyu Arnold? mtoto wetu Arnold? bado nacheka.

Back in the days, kulikuwa na jamaa anaitwa Janjaweed, huyu alikuwa hataki hata kumsikia Steven Gerrard, na ilikuwa ni agenda yake yenye valid points kabisa, sasa Jamii Forums ya siku hizi ingekuwaje? unakuwaje na agenda na SG? but zamani ilikuwa ni another day in the office, now una show some slight concerns tena kwa mchezaji unayemjua IN & OUT, mtu anakuja kukwambia una chuki, Janjaweed ulikuwa ukimwambia kwanini humtaki SG, anakupa VALID points, hawa LFC fans wa siku hizi JF hawana hata materials za kutetea hoja zako, you cant even challenge them, because huwezi kupata mjadala.

i rate NUNEZ, na nina materials za ku-protect my points about him.

I rate TRENT, but ikifika muda wa kumkosoa, nitamkosoa because i have materials ya kutosha ya kufanya hivyo na kuwa na mjadala wenye afya kabisa.

Ukiachana na jazba zake, ni Mnyakatari tu ndiye anaweza ku-come at Nunez with valid points, na siyo Nunez tu, ni EVERY single LFC player, but again ni OLD SCHOOL member wa JF, so anaelewa how to structure his arguments, though zinakuwa na jazba za hapa na pale.

Well, Ngwaba, siku hizi amepoa, but Ngwaba wa zamani, if he hates the player, he HATES the player, na anakuambia why na a lot of structured evidence, kama ni mtu wa emotions, unaweza kum-mute.

You see, watu wengi wame-slow down baada ya LFC kushinda PL, kipindi kile tulikuwa tunataka hili kombe kwa hali na mali, lilivyopatikana watu wakaamua ku-lay low, but negative ni kuwa JF kwenye thread ya LFC, imeanza kuzalisha fans wasiojua ku-reason, kutengeneza positive mijadala, and inakuwa dissapointing because unakuwa hata male fans wanaingia kwenye huu mtego, you're a man, you should be able to judge football & footballers without emotions and sentments.

I see, Captain Marvelous, a very good and wonderful human-being, i dont know this dude, but Mungu amemjaalia sana uwezo kwa ku-control mijadala, na kikubwa trolling mindsets za the "so called LFC fans", Captain, offers you everything kama shabiki wa LFC, knows the club in & out, and most impotantly, knows how to talk & interact na different sets of fans, LFC & non-LFC fans, may God continue to bless you brother, i'd like to meet you one day for a cup of coffee.


Then, suala la kuwa Alisson Becker yupo level moja na Kelleher, haikuni-suprise, haikunikata, but i thought, "this is not a football mind, needs to be ignored completely", and i wasnt suprised, because kuna siku humu, MALAFYALE, was shameless enough kuwaambia watu kuwa Henderson was a better captain than Steven Gerrard, ndiyo maana nikaanza kumuita STONE HEAD.

I just take LFC very seriously, na hakuna sehem nzuri ya ku-grow number ya LFC fans kama hapa JF, so its ok kwa rival ku-troll, but new set ya JF LFC fans kuwa na trolling-mindsets, uwezo mdogo wa ku-set up mijadala, haipendezi.

Football is ALL about OPINIONS, but you SHOULD be able to BACK your OPINIONS.
 
Against Arsenal.

Alisson
Trent
Konate
VVD
Tsimikas

Endo
Dominik
Jones

Salah
Gakpo
Nunez

SET UP.
Alisson
Trent-Konate-VVD-Tsimikas
Dominik-Endo-Jones
Salah-Gakpo-Nunez.

I'd be tempted to start Nunez at LW, Gakpo at ST, (i'd like to see Nunez & Gakpo play these roles intechangeably).

Concern ni kuwa, Jones played 90 minutes against West Ham, so inaonesha kuwa Klopp bado hayupo sure kama, ataanza na Gravenberch au Jones at LCM.

But, Dom-Endo-Jones, ni very balanced MF with Macca still out.
 

Dominik ni BIG, BIG, BIG TALENT.

LFC fans, hawajui wana mchezaji special kiasi gani at their club, he'so so special.

But its not suprising, it took LFC fans a season, kuelewa ni kiasi gani Fabinho alivyokuwa special, ni suala la muda tu.

Gomez, ananifurahisha sana, yupo kwenye very good form, its high time apate his goal sasa.

Man, personally, naona Robertson atahitaji ku-earn his LB spot akirudi, Tsimikas yupo kwenye form nzuri sana pia.
 
Mtaalam Kuna tatizo kwa Endo?

Wataru Endo, tidy player.

It was so obvious, ingemchukua muda kidogo kuzoea demands za mpira wa PL, but now his development is off the roof.

Amekuwa msaada mkubwa sana, nadhani ali-struggle sana against Palace, but he was our top 3 performer against Utd, na one of our best performers against West Ham.

He got subbed off mapema against WH, indications ni kuwa ataanza against Arsenal.
 
Alishindwa kumuamini Bajcetic kwenye mido saiv anamuamin Nunez kwenye Foward [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

At one point last season, Klopp benched Fabinho, freaking FABINHO, for Bajcetic, na he continued to be a starter throughout the season, mpaka alivyopata injury, inayomuweka nje mpaka sasa.

Bozo.
 

Hawa jamaa ni mashabiki wa LFC kweli?

Alikuwa anaifatilia LFC kweli msimu uliopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…