Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Performance mbaya ya szobo,analaumiwa TrentIlikua kudogo tuu atupe ushindi thidi ya united baada ya kurudi katikati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Performance mbaya ya szobo,analaumiwa TrentIlikua kudogo tuu atupe ushindi thidi ya united baada ya kurudi katikati
Bange sasa hizi 😂😂😂😂😂Trent at the mido ni KDB mtupu
Trent hausikiPerformance mbaya ya szobo,analaumiwa Trent
Trent at the mido ni KDB mtupu
Trent alipotoa wazo la kucheza kati,alionyesha hayupo happy kucheza nyuma
Kuna watu wakamuona kama mvuta bangi,eti bangi imekolea[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua kudogo tuu atupe ushindi thidi ya united baada ya kurudi katikati
Bange sasa hizi 😂😂😂😂😂
Ni kweli kabisa simjui Trent kuliko wewe..Kwamba, unamjua Trent personally kuliko mimi?
And, ni lini Trent alitoa "wazo" la kucheza kati?
Simjui Trent kuliko wewe..
Siyo kwamba tu simjui kuliko wewe, lakini pia simjui kabisa.
Ila naamini Klopp anayempanga anamjua vizuri Trent personally kuliko wewe.
Same Group la Whatsapp wa Cameroon huko I told them, Szobo leo yupo free kwa sababu Trent hayupo. Uwe wa Trent una mlimit Szobo offensively anakuwa chini sana.
See today
Endo, Jones, Gomez played well defensively kiasi cha Szobo kuwa free sana offensively.
Nakumbuka mechi iliyofanya Szobo aanze kutazamwa kwa jicho la talent kubwa ni Vs B’mouth.
Mtaalam Kuna tatizo kwa Endo?
Alishindwa kumuamini Bajcetic kwenye mido saiv anamuamin Nunez kwenye Foward [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2848626
Kuna ile fainali ya penalty 2021/2022 dalili za kujirudia hii hapa
Bajcetic aliumia mkuu, kabla msimu haujaisha, aliporudi msimu umeshaanza hakuwa na pre season, na kwa umri wake Klopp hakutaka kumpa majukumu makubwa, kuna games alicheza akaumia tena.
You cant blame Klopp kwa Bajcetic. Kama angemalizia zile mechi zilizobaki za msimu as our DM nafikiri season hii angeanza as our first or 2nd DM.
Klopp aliulizwa pia why hampangi Bajcetic alijibu “ ametoka injury hauwezi kumpa game time kwa haraka, na ukweli bado mdogo kuna muda wa kujifunza na ku recover”
Tungekua na fowadi iliounganika vyema tungeongoza 5 mpaka sasa