Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game, naikumbuka kama jana, time inakimbia sana, ilikuwa ni 2012.

Abou Diaby, alikimbiza sana kiungo chetu hii game, Arsenal walishinda 2-0.

AND, that was USHINDI wa mwisho kwa Arsenal at Anfield, hawajawahi ku-sniff a win tangu 2012, baada ya hiyo game.

 
Hapo sawa mkuu, siunaona Kobbie Maino anavyo kichafua pale Man U? Anapewa game time saivi kaisha improve aisee.

Of course. Bajcetic ile injury imemrudisha nyuma sana na uzuri he is not english player hivyo angekiwasha ingekuwa ni muingereza ningepunguza matarajio kwake.

Atarejea January
 
Trent at the mido ni KDB mtupu

Nafikiri wengi humu wanataka kumuona TAA as MF lkn atalimiti namba za wengi sana pale kwenye mido, wakati hatuna quality defensively huko nyuma. Ila KLOPP walau anamtumia Gomez mambo yakiwa magumu as RB trent anaingia kati.

Kama tungepata quality DM Trent with inverted RB bado angekuwa balaa. Kumbuka our last 8 matches of the last season. Fabinho aliamka kidogo tu TAA akawaka.
 
Performance mbaya ya szobo,analaumiwa Trent

Ngumu kuelewa kwa nini TAA analauniwa.

Kwa mechi ya Westham jana TAA hakuwepo uliona Szobo was everywhere lile goli sio kwa bahati mbaya. Interception aliyofanya Quansah ilimkuta Szobo yupo juu kwa nini hakuwa na muda wa kurudi kusaidia majukumu ya TAA Endo, Gomez and Curtis walirahisisha mambo. Ila akicheza TAA mbovu kuzuia hivyo Szobo hulazimika kushuka chini sana kumsaidia TAA majukumu ya kuzuia.

Ila akipewa room juu afanye yake Szobo atakuwa among World class MF
 

Nakuwa worried na Konate nowadays. Kwa sababu anakosa utulivu wa akili katika kukaba hasa akiwa half ya opponents. Ilikuwa pengo kumkosa Matip mechi ya utd kwa kuwa ana uwezo wa ku dribble hivyo huwa anavunja some lines na kuuvusha mpira kwa dribble na passes.

But i feel kuna mtu atapasuka vibaya

Home advantage limits my fear.
 

Last 3-4 games Gomez Wowoh has been brilliant, what a performance as RB and LB. Na inampa Klopp option ya 11st eleven and sub too. Wish him injury free same to Elliot maana kuna wachezaji kama gundu, wakianza kuwa form injury hii hapa, inawatoa mchezoni hadi wajitafute. See Matip gave us Classic performance but [emoji17].

Sure Robbo kazi anayo. Tsimi namkubali uwezo wake offensively na quality crosses bad lack 1v1 humsumbua be he usually tries.

We need all them back aisee
Robbo
Macca
Jota
Thiago
Bajcetic

Maana Feb-early April kombe lipo hapo.
 
Front three hiyo ndio dream yangu…. Efficiency !!!
 
Fulham away in the 2nd leg ni very tricky.

Of course itategemea
1. Matokeo ya 1st leg
2. Squad health itakuwaje kwa wakati huo.
3. League position at that time.

Tukiwa na hawa wa sasa hivi na injury wamerudi wote, i think it wont bother to that extent.
 
Sio kwa asses

He is very strong and technical
Asses wana utoto wao
 
Hawa jamaa ni mashabiki wa LFC kweli?

Alikuwa anaifatilia LFC kweli msimu uliopita?

Mkuu tunasaidia hivyo hivyo. Kuna mtu anaipenda timu ile 1st eleven na subs zile baada ya hapo baaaaasi.

Mkuu so far academy imeanza kuleta matunda kwa kiasi chake sio level za Lamasia but atleast

Quansah
Bajcetic
Clark
McConnell
Bradley
Scanlon
Gordon (happy to see him back).

Atleast wakipata game time kwa LFC hata wasipofikia level hizo ila kuna hela nzuri kwa hawa vijana.
 
Jana Klopp started Nunez at LW, he's trying to find solutions.

Diaz is struggling a lot now.

Ngoja tuone, kama Klopp ataona inafaa kumuacha Diaz on the bench against Arsenal, and start with Nunez at LW again.

Klopp hana cha kujiuliza mara mbili, kwa LW Nunez ST Gakpo na RW Salah

Nunez kweli anakosa lkn kwenye kuyatafuta magoli kuanzia , runs, positioning, creating chances, assisting, walau he is better than current Diaz.

Diazi bado hajajipata alipoishia last season sijajua nini kinamsumbua, out current structure offensively? Sio Diaz tu Gakpo same wana struggle.
 

Lukas Podolski and Santi Carzola,

Carzola [emoji91][emoji91] alijua kuficha mali mguuni.
 
Huyu Nunez tumepigwa
Ni suala la muda tu
 
Pole sana Kwa ubaguzi Mkuu

Kelleher wangu😂
Wewe ignore tu ila Imani yangu ni kuwa Kelleher atakuwa kipa hatari sana akipewa airtime.
Kama nyie tu mnavyosema Nunez atakuwa mzuri sana tumpe muda.


Malafyale Liverpool halisi ughonile nkamu
Tuendelee kushikamana na timu 😂
Kumbe ulikuwa unamchukia Gerrard, heri sikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…