At LFC, player ambaye nilitakiwa nimchukie sana ni JORDAN BRIAN HENDERSON, because ile tendency ya kumkosoa na ku-question his footballing ability, iliniletea matatizo makubwa sana ya kiakili/kisaikolojia.
Nimeanza kumkosoa Henderson kabla hata sijajiunga na Jamii Forums, na naweza kusema, tabu niliyokuwa naipata kwenye other platforms kutokana na my stance on Henderson ndiyo illiyonifanya nijiunge na Jamii Forums.
Nilikuwa ni subject wa racial abuses/slurs kwenye zile platforms za whites/scousers, na baadae nilikuwa napata direct racial abuses, especially uwanjani/pubs, ishu ya ubaguzi isikie kwa mtu mwingine, hakuna kitu kibaya na kinachoumiza duniani kama ubaguzi, na inaumiza zaidi pale unapooma you cant do nothing about it (hence nilikuwa namtetea sana Keita humu, because nilikuwa naona anachopitia).
Sasa, hata humu Jamii Forum, ishu yangu ya Henderson ilinitelea shida kubwa sana kiakili, because nilikuwa subject wa petty abuses kila siku, sometimes mpaka abuses kwa wazazi zlikuwa involved, and for what? football? white person?
Lakini, God knows, i have never hated Henderson, na kama utaweza ku-dig deeper, utakutana na a good article (sold), ambayo i wrote about his journey kwenye football and how his move to Saudi should be respected.
so, chuki kwa Trent? huyu huyu Arnold? mtoto wetu Arnold? bado nacheka.
Back in the days, kulikuwa na jamaa anaitwa Janjaweed, huyu alikuwa hataki hata kumsikia Steven Gerrard, na ilikuwa ni agenda yake yenye valid points kabisa, sasa Jamii Forums ya siku hizi ingekuwaje? unakuwaje na agenda na SG? but zamani ilikuwa ni another day in the office, now una show some slight concerns tena kwa mchezaji unayemjua IN & OUT, mtu anakuja kukwambia una chuki, Janjaweed ulikuwa ukimwambia kwanini humtaki SG, anakupa VALID points, hawa LFC fans wa siku hizi JF hawana hata materials za kutetea hoja zako, you cant even challenge them, because huwezi kupata mjadala.
i rate NUNEZ, na nina materials za ku-protect my points about him.
I rate TRENT, but ikifika muda wa kumkosoa, nitamkosoa because i have materials ya kutosha ya kufanya hivyo na kuwa na mjadala wenye afya kabisa.
Ukiachana na jazba zake, ni Mnyakatari tu ndiye anaweza ku-come at Nunez with valid points, na siyo Nunez tu, ni EVERY single LFC player, but again ni OLD SCHOOL member wa JF, so anaelewa how to structure his arguments, though zinakuwa na jazba za hapa na pale.
Well, Ngwaba, siku hizi amepoa, but Ngwaba wa zamani, if he hates the player, he HATES the player, na anakuambia why na a lot of structured evidence, kama ni mtu wa emotions, unaweza kum-mute.
You see, watu wengi wame-slow down baada ya LFC kushinda PL, kipindi kile tulikuwa tunataka hili kombe kwa hali na mali, lilivyopatikana watu wakaamua ku-lay low, but negative ni kuwa JF kwenye thread ya LFC, imeanza kuzalisha fans wasiojua ku-reason, kutengeneza positive mijadala, and inakuwa dissapointing because unakuwa hata male fans wanaingia kwenye huu mtego, you're a man, you should be able to judge football & footballers without emotions and sentments.
I see, Captain Marvelous, a very good and wonderful human-being, i dont know this dude, but Mungu amemjaalia sana uwezo kwa ku-control mijadala, na kikubwa trolling mindsets za the "so called LFC fans", Captain, offers you everything kama shabiki wa LFC, knows the club in & out, and most impotantly, knows how to talk & interact na different sets of fans, LFC & non-LFC fans, may God continue to bless you brother, i'd like to meet you one day for a cup of coffee.
Then, suala la kuwa Alisson Becker yupo level moja na Kelleher, haikuni-suprise, haikunikata, but i thought, "this is not a football mind, needs to be ignored completely", and i wasnt suprised, because kuna siku humu, MALAFYALE, was shameless enough kuwaambia watu kuwa Henderson was a better captain than Steven Gerrard, ndiyo maana nikaanza kumuita STONE HEAD.
I just take LFC very seriously, na hakuna sehem nzuri ya ku-grow number ya LFC fans kama hapa JF, so its ok kwa rival ku-troll, but new set ya JF LFC fans kuwa na trolling-mindsets, uwezo mdogo wa ku-set up mijadala, haipendezi.
Football is ALL about OPINIONS, but you SHOULD be able to BACK your OPINIONS.