verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Kaka hii umeandika kama troll au uko serious kabisa?Afcon kwani Saliba haendi?bila Saliba mna beki ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hii umeandika kama troll au uko serious kabisa?Afcon kwani Saliba haendi?bila Saliba mna beki ?
France kumbe ipo Africa sikuhzi🤠🤠...nlikuwa sijui mkuu...beki wako mnayesema kitasa bwana Konate na Saliba ni timu ya taifa moja...wacha nikusaidie kwa hyo taarifa mkuu🤠🤠...ndo Maana Mos def huwa anawalamba spana kumbe....taarifa ndogondogo kama hzi hamzifahamu ndugu zanguAfcon kwani Saliba haendi?bila Saliba mna beki ?
Thank youDiaz anacheza position yake ile ile ya asili( swala la kubadilishiwa position hapa sio excuse)
Hawezi ku drible past defenders
Hafungi
Hatoi assist
Ni mzuri kidogo kwenye kukabia juu
Passing accuracy yake ipo chini
Maana yake huyu mchezaji ni wa kiwango cha kawaida kuliko hata Nunez
Kuponea tundu la sindano ndo nn...kama vp Salah asiende huko Afcon...halafu mkija pale tunamuweka na mtaalamu Super Tomiyasu🤠🤠...tuone kama atapiga shuti hata moja....tulisema ligi tunaanza January ndugu zetu...miezi hii ilopita ilikuwa mazoezi tu....January majeruhi wte wanarudi na tunatafuta striker mmoja wa kuteleza na tap ins kama Haaland...maji mtaita mma....halafu mwaka jana mlivyokuja pale Emirate Jota hakucheza kwni....na matokeo yalikuwaje....swali la mwisho...tembo kaanguka au bdo ananing'inia juu ya mti🤠🤠🤠Endelea kutamba wakati umeponea kwenye tundu wa sindano
Jana mnalialia kwenye uzi wenu namna Salah amewajambisha
Na tukija,mtu mbad Jota atakuwa ndani
Aisee,mtajuta mbona.
Sent using Jamii Forums mobile app
That was a shameMkuu united yenyewe ilikuja worst of the worst tukashindwa hata kufunga goli
Hii timu tunaipa expectation ambayo haipo
Afcon kwani Saliba haendi?bila Saliba mna beki ?
Bingwa ni Man City 2023/24, jana washindani wake wote wamedrop point 2,Kuponea tundu la sindano ndo nn...kama vp Salah asiende huko Afcon...halafu mkija pale tunamuweka na mtaalamu Super Tomiyasu[emoji1783][emoji1783]...tuone kama atapiga shuti hata moja....tulisema ligi tunaanza January ndugu zetu...miezi hii ilopita ilikuwa mazoezi tu....January majeruhi wte wanarudi na tunatafuta striker mmoja wa kuteleza na tap ins kama Haaland...maji mtaita mma....halafu mwaka jana mlivyokuja pale Emirate Jota hakucheza kwni....na matokeo yalikuwaje....swali la mwisho...tembo kaanguka au bdo ananing'inia juu ya mti[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Mnaishi kwa mazoea sana ndugu zetu....arudi kwanza pale juu🤠🤠...sio mnaishi kwa history tuBingwa ni Man City 2023/24, jana washindani wake wote wamedrop point 2,
Akirudi kuanzia januari anashinda hata mechi 10 mfululizo kitu ambacho liverpool na Arsenal hawawez
Mnaishi kwa mazoea sana ndugu zetu....arudi kwanza pale juu🤠🤠...sio mnaishi kwa history tuBingwa ni Man City 2023/24, jana washindani wake wote wamedrop point 2,
Akirudi kuanzia januari anashinda hata mechi 10 mfululizo kitu ambacho liverpool na Arsenal hawawez
Defensive action amefanya vizuri, ila katika kujenga mashambulizi anapoteza poteza mipira since game ya United, ile ndio ilokua worse game yake zaidi, labda tusubiri Macca apone tuone position yake itakavyokua
Diaz anacheza position yake ile ile ya asili( swala la kubadilishiwa position hapa sio excuse)
Hawezi ku drible past defenders
Hafungi
Hatoi assist
Ni mzuri kidogo kwenye kukabia juu
Passing accuracy yake ipo chini
Maana yake huyu mchezaji ni wa kiwango cha kawaida kuliko hata Nunez
Kwanini nowadays tunapocheza na top six teams ...hatuko fearless kama zamani?...tunakuwa a bit nervous hivi?
Nakumbuka first rebuild tulipomfunga Man city 4-1. ...city alichukua ubingwa but alipoteza mechi hiyo moja tu na Liverpool....timu ilikuwa ina Tisha Tisha Sana tukicheza na top six teams kuliko sasa...what happened?
Kama umeanza ku accept Arsenal wachukue title...?
MosDef my braza, umejaribu kujieleza sana, tukubaliane kutokubaliana kwamba liverpool ni homa za mara kwa mara. Inacheza vizuri leo kesho wanakuwa na game mbovu. Siwezi kuwalaumu kwa game ya jana. Jana Arsenal walikuwa bora kuliko sisi kila idara.
Mimi nachokiona, na kinachonifanya nilaumu ni aina ya uchezaji wa timu yetu. Back line yetu +goalkeeper ndio wachezaji wanaokuwa na touches nyingi kuliko midfilder wetu pale kati. Hii tafsiri yake ni kwamba tunakuwa na tahadhari sana na tunachukua mda mrefu kucheza kwenye half yetu badala ya kwenda kushambulia.
ANgalia Jinsi Brighton wanavyocheza , waone Arsenal, Villa na city. Ni tofauti kabisa na sisi. Wale jamaa wana cheza mpira wa kushambulia. Wakati sisi mashambulizi yetu mengi lazima mpira uanze kwa long ball. Zile one two kwa liverpool hazipo.
VIlla kwa sasa ni serious tittle contender kuliko sisi. Tukubaliane, kutokubaliana. Klopp naye anamapungufu. Wakati mwingine sio lazima kuanza na Salah, Mbona Elliott ni mzuri akicheza pembeni.? Ana ile akili ya kushambulia. Anauwezo sawa kabisa na Salah. Ila Klopp hamwamini. Ndio maana anampa dk chache ambazo anaonyesha mambo mazuri.
Nimalize kwa kusema, liverpoll inashindaga game zake hata kama wamecheza vibaya. Hii inawafanya waonekane wana bahati zaidi kuliko uwezo walionao.
The last 10 visits to Anfield [https://abs-0][https://abs-0][https://abs-0] #LFCView attachment 2851447
Huyu Thiago anarudi lini anaweza kuja kuleta impact kubwa but jwa mechi ya jana laiti Diogo Jota angekuwepo magoli yangepatikana.
Mosdef hapa umekuwa mkali kidogo ingawa naelewa sababu ya kuwa mkali hivi..Halafu nilikuwa uwanjani leo, at Anfield, watching your favorite team, unayoingalia kila siku kwenye TV.
Ni kawaida, but because bado si-earn a lot, huwa na-pick/kununua tickets za matches ambazo huwa natazamia zaidi kwenda kwa msimu wote (kabla ya msimu kuanza kabisa). na huwa nachukua za home zaidi, za away, mpaka itokee zali.
Game za Academy, ni "free-pass" tu, kama unafatilia my posts, utajua why.
Its not that much, but ni not less than 200k kwa kila game ninayoenda, as i like sana comfortable viewing, so you can imagine, na-hustle kiasi gani, just to see/watch my team kick the ball, every "selected" weekend.
Wewe, umeifanyia nini club yako? buying fake jerseys? au kupiga makelele JF? na kujiona ni good troll kwa strangers?
AU, unazifanyia nini local teams? Yanga, Simba, Azam etc?
Loser.
Thiago ameshaanza light gym sessions, Kuanzia january nadhani tutakuwa nae.
Jota & Macca nadhani watarudi kuanzia next weekend, but ngoja tuone game ya J4.
Robertson anarudi January pia.