Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Afcon kwani Saliba haendi?bila Saliba mna beki ?
France kumbe ipo Africa sikuhzi🤠🤠...nlikuwa sijui mkuu...beki wako mnayesema kitasa bwana Konate na Saliba ni timu ya taifa moja...wacha nikusaidie kwa hyo taarifa mkuu🤠🤠...ndo Maana Mos def huwa anawalamba spana kumbe....taarifa ndogondogo kama hzi hamzifahamu ndugu zangu
 
Diaz anacheza position yake ile ile ya asili( swala la kubadilishiwa position hapa sio excuse)

Hawezi ku drible past defenders

Hafungi

Hatoi assist

Ni mzuri kidogo kwenye kukabia juu

Passing accuracy yake ipo chini

Maana yake huyu mchezaji ni wa kiwango cha kawaida kuliko hata Nunez
Thank you

Jamaa Amedrop in form

Nunes could be explored kule Maana ana defensive commitment as well
 
Endelea kutamba wakati umeponea kwenye tundu wa sindano
Jana mnalialia kwenye uzi wenu namna Salah amewajambisha

Na tukija,mtu mbad Jota atakuwa ndani
Aisee,mtajuta mbona.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuponea tundu la sindano ndo nn...kama vp Salah asiende huko Afcon...halafu mkija pale tunamuweka na mtaalamu Super Tomiyasu🤠🤠...tuone kama atapiga shuti hata moja....tulisema ligi tunaanza January ndugu zetu...miezi hii ilopita ilikuwa mazoezi tu....January majeruhi wte wanarudi na tunatafuta striker mmoja wa kuteleza na tap ins kama Haaland...maji mtaita mma....halafu mwaka jana mlivyokuja pale Emirate Jota hakucheza kwni....na matokeo yalikuwaje....swali la mwisho...tembo kaanguka au bdo ananing'inia juu ya mti🤠🤠🤠
 
Kuponea tundu la sindano ndo nn...kama vp Salah asiende huko Afcon...halafu mkija pale tunamuweka na mtaalamu Super Tomiyasu[emoji1783][emoji1783]...tuone kama atapiga shuti hata moja....tulisema ligi tunaanza January ndugu zetu...miezi hii ilopita ilikuwa mazoezi tu....January majeruhi wte wanarudi na tunatafuta striker mmoja wa kuteleza na tap ins kama Haaland...maji mtaita mma....halafu mwaka jana mlivyokuja pale Emirate Jota hakucheza kwni....na matokeo yalikuwaje....swali la mwisho...tembo kaanguka au bdo ananing'inia juu ya mti[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Bingwa ni Man City 2023/24, jana washindani wake wote wamedrop point 2,

Akirudi kuanzia januari anashinda hata mechi 10 mfululizo kitu ambacho liverpool na Arsenal hawawezi
 
Q
Bingwa ni Man City 2023/24, jana washindani wake wote wamedrop point 2,

Akirudi kuanzia januari anashinda hata mechi 10 mfululizo kitu ambacho liverpool na Arsenal hawawez
Mnaishi kwa mazoea sana ndugu zetu....arudi kwanza pale juu🤠🤠...sio mnaishi kwa history tu
 
Q
Bingwa ni Man City 2023/24, jana washindani wake wote wamedrop point 2,

Akirudi kuanzia januari anashinda hata mechi 10 mfululizo kitu ambacho liverpool na Arsenal hawawez
Mnaishi kwa mazoea sana ndugu zetu....arudi kwanza pale juu🤠🤠...sio mnaishi kwa history tu
 
The last 10 visits to Anfield [https://abs-0][https://abs-0][https://abs-0] #LFC
GBaPsnBWsAERdn1.jpg
 
Defensive action amefanya vizuri, ila katika kujenga mashambulizi anapoteza poteza mipira since game ya United, ile ndio ilokua worse game yake zaidi, labda tusubiri Macca apone tuone position yake itakavyokua

Sasa, Choza, jipe mfano wewe, ukiwa upo so good at what unachojua kufanya best, na ghafla ukabadilishiwa roles/kupewa task mpya, ambayo hujawahi fanya, huwezi kupoteza one or steps along the way?

Maana yangu ya kuileta hiyo Action Map, ni kuonesha why our best 8 and chance creator msimu huu, anacheza so deep now? maana hiyo action map, inaonesha hizo drafts zote kafanya akiwa kwenye our zone, ina maana new role/shape inam-limit kwenda mbele.

Tuanze tena yale ya Gini? ambapo tukawa tunasema ni "ghost"? kwasababu ya new role aliyopewa na Klopp? tunachomlaumu Dom, now si ndiyo kile kile tulichokuwa tunamlaumu Gini? kuwa he's not showing up for accurate & forward passes? but Gini alikuwa tasked na role ipi? NOW, Dom amekuwa tasked na role ipi?

Tunachoki-mask ni kipi hapa? hiyo action map, inaonesha hizo defensive actions, zote amefanya kwenye right flank/RB zone, he's playing so deep, hakuna suprise yeyote kuwa he cant impact our attack, and Dom is not a controller/possessional oriented footballer, so usitegemee possessional/link-up passes from him, ni PROGRESSIVE oriented footballer.

Then, nakuwekea heat maps za Dom, against Wolves na game ile West Ham ya September, halafu tuangalie ni kipi kimebadilika, na why form yake imekuwa affected.

20231224_124205.jpg
20231224_124158.jpg
 
Diaz anacheza position yake ile ile ya asili( swala la kubadilishiwa position hapa sio excuse)

Hawezi ku drible past defenders

Hafungi

Hatoi assist

Ni mzuri kidogo kwenye kukabia juu

Passing accuracy yake ipo chini

Maana yake huyu mchezaji ni wa kiwango cha kawaida kuliko hata Nunez

LUIS DIAZ.

1. Dribbling/beating defenders was his best attribute kabla ya ile injury.

2. He was scoring goals kabla ya ile knee injury.

3. He was a decent assister kabla ya his injury.

4. Hajawahi kuwa a good passer kabisa, his weakest point.

So kipi kimebadilika?

Ni kuwa some players huwa wanachukua muda mrefu kurudi kwenye form baada ya kupata BIG injuries, Lucho amekaa nje kwa muda gani? 7 months? sasa unategemea atakuwa ni straight hitter? players wanatofautiana kwenye kukabiliana na injury traumas.

It took VVD what? a whole season kurudi kwenye his form, mbona msimu uliopita ni ulikuwa ni m-baya sana kwa VVD? na ukiweka unafiki pemben tulikuwepo tulio-question his form, but he was making a slow return baada ya his long battle na Injury.

Same, kwa Gomez, it took him YEARS, mpaka amerudi kwenye his form now.

Players ambao long-term injuries huwa haziwaathiri ni Thiago & Matip, na hiyo ni GIFT.

I know we are struggling kwenye attack, hence form ya Diaz imekuwa ni concern, na pia my personal views (bila ku-sound monopoly), ni clear, kuwa tukipata a good offer tumuuze, but mpeni jamaa a BREAK.

And, how about your manager, kuendelea kumuanzisha mchezaji ambaye yupo out of form? Nunez put a good show at LW against West Ham ile mid-week, but against Arsenal kaja kumuanzisha Diaz, ambaye yupo out of rhythm kabisa, badala ya ku-captalize na ile momentum performance ya Nunez at LW, mtakuwa mnalaumu wachezaji bure tu sometimes.
 
Kwanini nowadays tunapocheza na top six teams ...hatuko fearless kama zamani?...tunakuwa a bit nervous hivi?

Nakumbuka first rebuild tulipomfunga Man city 4-1. ...city alichukua ubingwa but alipoteza mechi hiyo moja tu na Liverpool....timu ilikuwa ina Tisha Tisha Sana tukicheza na top six teams kuliko sasa...what happened?

Mkuu, nikiongea au niki-share my views on this, nitaonekana kama natupia lawama wachezaji wengine.
 
Kama umeanza ku accept Arsenal wachukue title...?

The night is still young sana.

City are not at any point out of the title race.

Kuna sehem, nimesema kuwa, our project ipo ahead na our projections, na kama tukifanya good decision in january, tunaweza kuwa firm challengers mpaka mwisho.

The reason why, na-limit my expectations, ni kwasababu siamini kama FSG watam-back Klopp hii january, we need a DM & LCB, ili ku-plug holes ambazo zinaonekana kwenye hii project.
 
MosDef my braza, umejaribu kujieleza sana, tukubaliane kutokubaliana kwamba liverpool ni homa za mara kwa mara. Inacheza vizuri leo kesho wanakuwa na game mbovu. Siwezi kuwalaumu kwa game ya jana. Jana Arsenal walikuwa bora kuliko sisi kila idara.
Mimi nachokiona, na kinachonifanya nilaumu ni aina ya uchezaji wa timu yetu. Back line yetu +goalkeeper ndio wachezaji wanaokuwa na touches nyingi kuliko midfilder wetu pale kati. Hii tafsiri yake ni kwamba tunakuwa na tahadhari sana na tunachukua mda mrefu kucheza kwenye half yetu badala ya kwenda kushambulia.
ANgalia Jinsi Brighton wanavyocheza , waone Arsenal, Villa na city. Ni tofauti kabisa na sisi. Wale jamaa wana cheza mpira wa kushambulia. Wakati sisi mashambulizi yetu mengi lazima mpira uanze kwa long ball. Zile one two kwa liverpool hazipo.
VIlla kwa sasa ni serious tittle contender kuliko sisi. Tukubaliane, kutokubaliana. Klopp naye anamapungufu. Wakati mwingine sio lazima kuanza na Salah, Mbona Elliott ni mzuri akicheza pembeni.? Ana ile akili ya kushambulia. Anauwezo sawa kabisa na Salah. Ila Klopp hamwamini. Ndio maana anampa dk chache ambazo anaonyesha mambo mazuri.

Nimalize kwa kusema, liverpoll inashindaga game zake hata kama wamecheza vibaya. Hii inawafanya waonekane wana bahati zaidi kuliko uwezo walionao.

Mkuu, nakuelewa sana.

Lakini, huwa tunaongea na kuzungumza kila siku, kuwa back bone ya a world class team, siku zote ni kuwa na a world class DM, unakumbuka tulikuwa na kina Salah/Mane/Firmino etc, despite magoal yao ya kutosha, tulikuwa tuna-come up short kwenyr titles, but when Fabinho alivyokuja, we went kwenye new level.

Kinachotufanya tucheze sana at the back, ni kutumia VVD &Trent ball playing ability, ku-sustain pressure/possession/press/retention, because MF yetu ina-luck a strong retainer/press resistant MF, and ni kichechekesho, but Klopp yupo right kutokiamini kiungo chake, kwenye kutengeneza volumes za possession & kusaidia build-ups kwenye first phase (ni kichekesho kwasababu kawa-sign yeye hawa MFs), Endo/Macca/Jones cant receive on half-turn, so ni risk ku-start our build-up/progression/attacks through the middle, kutokea kwenye pockects za VVD-Trent-Alisson. hence huwa tunajaribu sana ku-sustain possession/press kupita VVD+Trent+Alisson, Kwaajili ya kutafuta njia za ku-open channels za long balls through VVD, and mainly Trent, kwa kina Salah, Nunez, Diaz, Gakpo etc.

Eliott, at RW huwa ana-struggle sana kwasababu hana pace, now having pace ni one thing, but physical side of his game bado ni ndogo, hence kutokuwa na pace kuna-athiri sana his game at RW. Eliott should be used more as advanced RCM & a 10/SS.

Jana, we matched Arsenal kwenye kila aspect, hence ndiyo maana Endo had a very good game, because we managed to match and minimize Arsenal threats from the middle, and if that Trent chance gets converted we win the game, au kama ile blatant penality ya Odegaard tungepewa tungeshinda game.

I am not saying Arsenal were bad, but tangu 2013, nadhani hii ni best Arsenal team kucheza nayo at Anfield, its not a shame ku-admit kuwa they are a good side now.
 
Huyu Thiago anarudi lini anaweza kuja kuleta impact kubwa but jwa mechi ya jana laiti Diogo Jota angekuwepo magoli yangepatikana.

Thiago ameshaanza light gym sessions, Kuanzia january nadhani tutakuwa nae.

Jota & Macca nadhani watarudi kuanzia next weekend, but ngoja tuone game ya J4.

Robertson anarudi January pia.
 
Halafu nilikuwa uwanjani leo, at Anfield, watching your favorite team, unayoingalia kila siku kwenye TV.

Ni kawaida, but because bado si-earn a lot, huwa na-pick/kununua tickets za matches ambazo huwa natazamia zaidi kwenda kwa msimu wote (kabla ya msimu kuanza kabisa). na huwa nachukua za home zaidi, za away, mpaka itokee zali.

Game za Academy, ni "free-pass" tu, kama unafatilia my posts, utajua why.

Its not that much, but ni not less than 200k kwa kila game ninayoenda, as i like sana comfortable viewing, so you can imagine, na-hustle kiasi gani, just to see/watch my team kick the ball, every "selected" weekend.

Wewe, umeifanyia nini club yako? buying fake jerseys? au kupiga makelele JF? na kujiona ni good troll kwa strangers?

AU, unazifanyia nini local teams? Yanga, Simba, Azam etc?

Loser.
Mosdef hapa umekuwa mkali kidogo ingawa naelewa sababu ya kuwa mkali hivi..
Hata hivyo usivunjike moyo kutushirikisha experience yako ndani ya Anfield. Ni muda binafsi nimekuwa nikifuatilia makala zako hapa ambazo si za kishabiki.
 
Back
Top Bottom