Hawa ni crucial for us to finish in top four
Mosdef hapa umekuwa mkali kidogo ingawa naelewa sababu ya kuwa mkali hivi..
Hata hivyo usivunjike moyo kutushirikisha experience yako ndani ya Anfield. Ni muda binafsi nimekuwa nikifuatilia makala zako hapa ambazo si za kishabiki.
Mkuu sisi miaka yote ya karibu tuliyopoteza ubingwa kwa 1 points udhaifu wetu ni kuruhusu mno sarePia, as fans hatutakiwi kusahau kuwa few months ago tulikuwa ni laughing stock, msimu uliopita ulikuwa ni wa kuusahau kabisa, one of the worst seasons under Klopp reign.
Lakini sana, tupo kwenye 17 games deep in the league, na tumepoteza game moja tu, tena nayo tulikuwa robbed na VAR.
We are heading in the right direction, kuna few holes tunahitaji kuzi-plug tu, but tuko vizuri kuliko tunavyohisi.
So, credit kwa Klopp, his technical bench na players wote kwa ujumla.
Mkuu sisi miaka yote ya karibu tuliyopoteza ubingwa kwa 1 points udhaifu wetu ni kuruhusu mno sare
2019 tulipoteza game moja tuu dhidi ya 3 za City ila sare zikatunyima kombe
0 0 vs united
2 2 vs brighton
1 1 vs luton
Hizi sare zishatutafuna point 6 hadi sasa
Bado tupo kwenye Title race licha ya hizi changamoto zinazojitokeza
Hatukati tamaa mkuu. Matarajio mara nyingi huleta huzuni. Tulienda kwenye game ya united tukiwa na uhakika wa ushindi, tena wa kishindo. Tumeenda ku stragle ku unlock backline inayofungwa ni mid table team kila game!! Tukaambulia sare. Sasa kwa nini tusisononeke.But we lost more clear chances jana kuliko wao
Utulivu sio mzuri
Kuhusu defense, statistically we have the best defense (together with Asses)
Sijui kwanini tunajikatia tamaa
Juzi asses walipona kimtindoHatukati tamaa mkuu. Matarajio mara nyingi huleta huzuni. Tulienda kwenye game ya united tukiwa na uhakika wa ushindi, tena wa kishindo. Tumeenda ku stragle ku unlock backline inayofungwa ni mid table team kila game!! Tukaambulia sare. Sasa kwa nini tusisononeke.
Miaka ya nyuma Fabio Capelo coach wa kitaliano alifukuzwa pale Real madrid japokuwa aliwapa kikombe cha laliga. Sababu zilizotolewa ni kwamba timu inashinda lakini haichezi mchezo mzuri. Hivyo hivyo kwa liverpool. Wanashinda lakini wanacheza hovyo. Ni mbinu ya mwalimu, lakini washabiki tunataka pia burudani.
Pale primier league Arsenal, Brighton, City ndio timu zinashinda huku wakitoa burudani kwa mashabiki zake. Wakati sisi tunakuja kushinda huku tumeminya pumbu. Luton kama nitakuwa sahihi ndio team ambayo ina wastani mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa. Lakini ni wachanga na wanapaswa kuchukuwa tahadhari. Sababu malengo yao makuu ni kubaki primier league. Tusipokuwa makini tutamaliza nyuma ya
1. Arsenal
2. City
3. Villa maana hawa kwao kila game ni fainal. Majeruhi tu ndio watakao watoa kwenye reli.