Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pia, as fans hatutakiwi kusahau kuwa few months ago tulikuwa ni laughing stock, msimu uliopita ulikuwa ni wa kuusahau kabisa, one of the worst seasons under Klopp reign.

Lakini sana, tupo kwenye 17 games deep in the league, na tumepoteza game moja tu, tena nayo tulikuwa robbed na VAR.

We are heading in the right direction, kuna few holes tunahitaji kuzi-plug tu, but tuko vizuri kuliko tunavyohisi.

So, credit kwa Klopp, his technical bench na players wote kwa ujumla.
 
Mosdef hapa umekuwa mkali kidogo ingawa naelewa sababu ya kuwa mkali hivi..
Hata hivyo usivunjike moyo kutushirikisha experience yako ndani ya Anfield. Ni muda binafsi nimekuwa nikifuatilia makala zako hapa ambazo si za kishabiki.

Mkuu, Jamii forums ni an open forum, na pia ni forum yetu sisi watanzania, hakuna kitu kizuri kama ku-enjoy ubunifu uliofanywa na watanzania wenzako, for years imekuwa ni forum nzuri sana ya kujifunza mambo mengi sana.

I know football ni mchezo wa emotions, na naelewa football ni mchezo wa opinions, na kila mtu yupo entitled kwa his opinions, i'm entitled na my own opinions, ni same kwa kila mtu, but as football fans, tunahitaji kuwa able ku-back our opinions, maana kama tunasema football ni mchezo wa opinions, basi ni lazima kuna wengine watakuwa na opinions tofauti za ku "challenge" your opinions, so unatakiwa kuwa able ku-defend, ku-back your opinions.

Pundits maarufu kwenye football, wengi wao huwa wana-fail sana kwenye u-manager/coaching, mfano Gary Neville, Tim Sherwood etc, but haifuti haki yao ya ku-voice kuhusu ubovu/ukosefu wa tactical approaches za WC coaches kama Klopp, Pep, Mourinho etc, ni part of the game.
 
Jürgen Klopp is anticipating facing a Burnley side with increased confidence when Liverpool travel to Turf Moor for the Boxing Day fixture.

The Clarets will go into the game on the back of a 2-0 win at Fulham on Saturday – and the boss wasn’t surprised by that result as he detailed the qualities he expects to encounter against them.
Elsewhere, Klopp discussed the left-back situation in his pre-Burnley media briefing, with Kostas Tsimikas joining Andy Robertson on the sidelines after sustaining a broken collarbone during the 1-1 Anfield draw with Arsenal, as well as the possibility of a potential return for Diogo Jota.
Read on to see what the manager had to say…
On the challenge of facing Burnley on the back of their win at Fulham…
I don’t need the Fulham result to understand Burnley’s quality. I think Burnley could have easily had much more points because they had so many good spells in the games where they then don’t finish these situations off. Young players in some positions. In the moment they finish these situations off, they can win football games, definitely. It was very often that they were really good in the game and I respect Vinny [Kompany] a lot for [the fact that] he keeps pushing his idea through.
I knew before that they are much better than the position and the points they have. I have watched quite a few Burnley games and I am pretty impressed by what they are doing – and on Saturday they got then the reward. We all know if you win once and you have a chance to play in three days again then you will want to win again and that’s exactly what we expect – and a pretty good atmosphere as well. We better be, and will be, ready.

On whether Joe Gomez will fill in at left-back while Robertson and Tsimikas are out…

We will see. Can Joey play all the games coming up now until – I don’t know when – Robbo will be back? Kosti is now definitely out for a while, so I don’t know, we have to see. I didn’t have time now to think it through, but somebody will play the position I am pretty sure. It is for us obviously really tough, it’s really tough. You have injuries sometimes and we accept all of them, but a broken collarbone is really bad because it just takes long. Same what Robbo had: a different injury but that takes long as well, how we all know. We all know we need luck in these moments to get through and now we will have Joey there and just have to make sure we put him in cotton wool and we have to make sure he is always ready for the games.
On whether Jota could return at Turf Moor…
I don’t want to rule out anybody now. We will see. He didn’t train with the team yet and we have only one proper session, so it would be a surprise – but maybe I will be surprised and all fine. I don’t know. I saw him [on Friday]; he didn’t train with the team but the session I saw was really intense, but I didn’t ask yet who will be available. The medical department will tell me and then I will know more.
 
IMG_20231224_165151_181.jpg

The most assists for a defender in Premier League history...

Trent Alexander-Arnold 🤝 Andy Robertson
 
If Salah stays at Liverpool for coming three seasons he will definitely become the top scoerer in Premier league
 
Attachments

  • IMG-20231224-WA0046.jpg
    IMG-20231224-WA0046.jpg
    61.6 KB · Views: 2
Pia, as fans hatutakiwi kusahau kuwa few months ago tulikuwa ni laughing stock, msimu uliopita ulikuwa ni wa kuusahau kabisa, one of the worst seasons under Klopp reign.

Lakini sana, tupo kwenye 17 games deep in the league, na tumepoteza game moja tu, tena nayo tulikuwa robbed na VAR.

We are heading in the right direction, kuna few holes tunahitaji kuzi-plug tu, but tuko vizuri kuliko tunavyohisi.

So, credit kwa Klopp, his technical bench na players wote kwa ujumla.
Mkuu sisi miaka yote ya karibu tuliyopoteza ubingwa kwa 1 points udhaifu wetu ni kuruhusu mno sare

2019 tulipoteza game moja tuu dhidi ya 3 za City ila sare zikatunyima kombe

0 0 vs united
2 2 vs brighton
1 1 vs luton

Hizi sare zishatutafuna point 6 hadi sasa
 
Nikifikiria sare hizi, dah.! Hua Zinatumaliza sana na ubingwa tunaukosa kwa margin ya 1/2 point(s).

Plus Arsenal zitakuwa 8.
 
Ila nyie bhana mnafurahisha kwahio mlitaka mtufunge ili iwaje Yani mnaandamana kabisa..

Uwanja mlimwaga maji wenyewe sasa kilio Cha Nini!?

Tunawasubilia pale maghetoni kuku mdondo nyie.
 
But we lost more clear chances jana kuliko wao

Utulivu sio mzuri

Kuhusu defense, statistically we have the best defense (together with Asses)

Sijui kwanini tunajikatia tamaa
Hatukati tamaa mkuu. Matarajio mara nyingi huleta huzuni. Tulienda kwenye game ya united tukiwa na uhakika wa ushindi, tena wa kishindo. Tumeenda ku stragle ku unlock backline inayofungwa ni mid table team kila game!! Tukaambulia sare. Sasa kwa nini tusisononeke.
Miaka ya nyuma Fabio Capelo coach wa kitaliano alifukuzwa pale Real madrid japokuwa aliwapa kikombe cha laliga. Sababu zilizotolewa ni kwamba timu inashinda lakini haichezi mchezo mzuri. Hivyo hivyo kwa liverpool. Wanashinda lakini wanacheza hovyo. Ni mbinu ya mwalimu, lakini washabiki tunataka pia burudani.

Pale primier league Arsenal, Brighton, City ndio timu zinashinda huku wakitoa burudani kwa mashabiki zake. Wakati sisi tunakuja kushinda huku tumeminya pumbu. Luton kama nitakuwa sahihi ndio team ambayo ina wastani mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa. Lakini ni wachanga na wanapaswa kuchukuwa tahadhari. Sababu malengo yao makuu ni kubaki primier league. Tusipokuwa makini tutamaliza nyuma ya
1. Arsenal
2. City
3. Villa maana hawa kwao kila game ni fainal. Majeruhi tu ndio watakao watoa kwenye reli.
 
Juzi asses walipona kimtindo

Walishakaa kuliwa…. I alikua wet mnoooo

Basi tu tuna dip form ya our left wing nayo iliwapa pumzi and a few careless final balls Decisions
 
Contribution ya mafullback since 2000 🔥
Asante Jurgen Klopp kwa kumtengeneza Alexander Arnold
 
Attachments

  • IMG-20231225-WA0026.jpg
    IMG-20231225-WA0026.jpg
    147.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom