Yuko very efficientView attachment 2855599
Washikaji wanamkaribisha Diogo Jota kwa upendo mwingi π
Dogo ameonyesha kiwango ausee ajabu hatumii mguu wa kushoto lakini hata kupanda na ku shoti ameongoza kasi kujiamini tangu aanze kupangwa kule LB...Anafaa zaidi LB
The shooting boots have arrived... π₯ π₯View attachment 2855883
The move for Darwin's opener against Burnley π«Άπ₯
Miss Saint Anne akikusikia πππ atatoa maneno ya kutuponda wote hapa.Dogo ameonyesha kiwango ausee ajabu hatumii mguu wa kushoto lakini hata kupanda na ku shoti ameongoza kasi kujiamini tangu aanze kupangwa kule LB...
The shooting boots have arrived... π₯ π₯
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukifundishwa na MosDef wewe ndio utaelewa maana wengine umetuzoea sana na Captain Marvelous ndio mnyonge wako humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona game ya basketballers Leo Haina mbeleko ya refaUkiona huyu mnyama yupo kileleni, ujue The Arsenal hawajacheza bado
View attachment 2855289
Nakuuliza tena temboUkiona huyu mnyama yupo kileleni, ujue The Arsenal hawajacheza bado
View attachment 2855289
Vijana wa Moyes hawataki kutuangusha leo πππ
Nilikwambia jana kuwa asenyani akishinda niite Poppy nipo paleVijana wa Moyes hawataki kutuangusha leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu pandeni hapo juu tuoneHii ndiyo ile waswahili wanaita 'kukaimu nafasi kwa muda'?
Nisamehe Miss Liverpool ππππ
Tupo palee
Akirudi niite Poppyππππ
Kesho Arsenal anarudi tena juu πππ
Timu inategemea janjajanja za draw ya manyumbu ili ikae kileleniWewe ni Mchawi [emoji51]