Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu inategemea janjajanja za draw ya manyumbu ili ikae kileleni

Dezo imeisha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani Manure kakamia sare kwa Liverpool akaishia kuliwa na West Ham goli 2 kwa sifuri, Na Arsenal kakamia sare kwa Liverpool akaishia kuliwa goli 2 kwa sifuri πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii ni Karma sasa πŸ˜…πŸ˜…
 
Yani Manure kakamia sare kwa Liverpool akaishia kuliwa na West Ham goli 2 kwa sifuri, Na Arsenal kakamia sare kwa Liverpool akaishia kuliwa goli 2 kwa sifuri πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii ni Karma sasa πŸ˜…πŸ˜…
Hata city alikamia na Sisi akaliwa game iliyofuata

It’s not easy playing against LFC
 
Two horse race... City na Liverpool
Hivi Kuna Wana Aseno wanajiaminisha kwamba nao wapo kwenye mbio za ubingwa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mkorea dili na movie za kikorea, hakuna ubingwa wa dezo

verifaidi yuza baba matumaini hewa.

HENRY14 ,Montserrat weka maji kwenye birika,mpeni maji ya kunawa mwamba Ramsdale
Hili ndilo kombe/jagi pekee mtakalonyanyua msimu huu
 

Attachments

  • 20230317_140105 (1).jpg
    71.4 KB · Views: 4
Hata city alikamia na Sisi akaliwa game iliyofuata

It’s not easy playing against LFC

Ningekuwa ninasoma PhD basi ningeandaa research na kukusanya Data zinazoonesha ili Timu zipate sare na Liverpool ni lazima zitumie nguvu kubwa ndiyo ziweze kufanikiwa kupata sare kiasi ya kwenye next game zinakuwa zimeshaishiwa nguvu kwasasababu zote zilitumika kwa kutafutia sare na Liverpool ndiyomana lazima mchezo unaofuata zipoteze.

Case Study:
1) - Liverpool 0 - 0 Manure
- Manure 0 - 2 Westham

2) - Liverpool 1 - 1 Arsenal
- Arsenal 0 - 2 Westham

#YNWA
 
title race

Arsenal na Liverpool ni wafukuza upepo tu !

City anafunga busta zote round ya pili, hapa ndo anapokuwa serious, pia ana depth,,,,

Msisahau Kdb yupo anapasha huko bado kidogo mtamuona kwa ground !!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…