Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo ile waswahili wanaita 'kukaimu nafasi kwa muda'?
Ukiona huyu mnyama yupo kileleni, ujue The Arsenal hawajacheza bado
View attachment 2855289
Ukiona huyu mnyama yupo kileleni, ujue The Arsenal hawajacheza bado
View attachment 2855289
Timu inategemea janjajanja za draw ya manyumbu ili ikae kileleni
Dezo imeisha[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho ongezea westham 2- manyani 0Yani Manure kakamia sare kwa Liverpool akaishia kukiwa na West Ham goli 2 kwa sifuri, Na Arsenal kakamia sare kwa Liverpool akaishia kukiwa goli 2 kwa sifuri [emoji23][emoji23]
Hii ni Karma sasa [emoji28][emoji28]
Kihisia tuJuu ya nini Boss?
Hata city alikamia na Sisi akaliwa game iliyofuataYani Manure kakamia sare kwa Liverpool akaishia kuliwa na West Ham goli 2 kwa sifuri, Na Arsenal kakamia sare kwa Liverpool akaishia kuliwa goli 2 kwa sifuri 😂😂
Hii ni Karma sasa 😅😅
Hivi Kuna Wana Aseno wanajiaminisha kwamba nao wapo kwenye mbio za ubingwa?Two horse race... City na Liverpool
Ushindi pekee wangeupata leo labda wa kushinda njaaNisamehe Miss Liverpool 🙏😂😂😂
Kikombe watakachobeba msimu huu ni kikombe cha kumnawishia mikono mwamba anapogonga menu ,zile dakika zake mbili tatu za wazimu kupanda kichwaniArsenal wanalitaka kombe ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣 🤣 🤣 Bila shaka amekupata.Mwambie aje Inbox nimpe Lecture ya Offside inavyoamuliwa
Kwa sasa ana dili na Arsenal kwanza walimchokoza wenyewe🤣🤣🤣🤣...Miss Saint Anne akikusikia 😂😂😂 atatoa maneno ya kutuponda wote hapa.
Hata city alikamia na Sisi akaliwa game iliyofuata
It’s not easy playing against LFC