Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukitaka ucheke mpaka ufe basi pitia jukwaa la Arsenal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2858854
Ubingwa tuushindwe wenyewe tu. Arsenal Ana mechi kama 3 za kupigwa huko mbele. City hakosi hata mechi 2 za vipigo huko mbele ingawa kdb karudi. Na Hakuna ambaye wamechukua epl akiwa kafungwa mechi 5 kwa msimu.
Arsenal ashalamba nyasi mara 4 tayari
City mara 3
Liverpool mara 1 tena kimagumashi pale kwa Tottenham.
Tukaze kidogo tu.... Ingawa salah anapoondoka AFCON na Ile winger isipate mtu WA kuichangamsha tutapata shida.
LABDA atamuamini Elliot..... Au yule dogo doak
 
Doak bdo sana labda wabadilishane tu kwenye sub
 

Yes.!! Uwepo wa Thiago sio lazima atupe 70’ per game ila uwepo wake uwanja kuna quality kubwa sana. Huyu akiingia mnaongoza mbili au tatu utaenjoy mpira
 

Suala la kuomba tusiwe na majeruhi wa muda mrefu tu. Sub msimu huu zimetunufaisha kutokana na depth na quality sio kubwa but atleast inaonekana unlike last season.
 

Hapo tu kumwaacha Dommy na Macca huru ndio napawazia. Kuwabana defensively ni kuwapunguza ubora wao. Give them proper DM na waachwe huru tutakuwa hatari. So far Endo na Jones wamesaidia defence vizuri bahati mbaya Endo anaondoka kwenda mashindano ya Asian Cup wakati kiwango kimekubali. Macca atacheza as 6 bado, labda tusajili DM (by surprise)
 

Kwa uliowataja, Viera ndio wasijipe matumia ni bora.

Hao wanahitaji kuzungukwa na World Class players utaona ubora wao ila sio wao wawe WC bora.
 

Una point. Lakini kwa ishu ya pesa kwa Arsenal hapana. Rice aliyegombewa hadi na City Arsenal wametoa £105m wakamchukua. Kina Jesus walitoa 57m, kina ben white 50m, Haverts 50m.

Kama hiyo haitoshi Arsenal yupo top three ya timu zenye wage bills kubwa

United.
City.
Arsenal.
Chelsea.
Liverpool.

Ishu ya pesa kwa Arsenal sio kweli ni sababu kuu. Binafsi sio kama Arteta ana cha kuwapa Arsenal, miaka mitano lkn hajaonesha dominance kwa ukubwa aliofanya Pep na Klopp. Ni kama project imekataa after five years.

Arsenal wanakosa right players kufit kwa Arteta. Kuna shida kwenye Scouting na nafikiri bado ile uwengernism unawasumbua. Kikosi hiki cha Arsenal apewe Klopp atakufanyia maajabu. Atleast Arteta should had taken EPL last season.

Muda upo nafasi ipo tusubiri tuone things might change
 

Hiki ndicho namaanisha na mie kwa nini tunamuhitaji Thiago.

Elliot kwa sasa anacheza vizuri mno na amekuwa involved na magoli msimu huu, who expected this? Same na Gomez as LB and RB.

We need everyone too many games squad management is important (rotation).
 
Fabio Carvalho amerejea Liverpool akitokea RB Leipzig kwa mkopo. Mshambuliaji huyo anarejea tena Liverpool baada ya kutumia kipindi cha kwanza cha 2023-24 akiwa kwenye ligi ya Bundesliga na kucheza mechi 15 akiwa na Die Roten Bullen, ambao alikuwa amejiunga nao kwa mkataba wa msimu mzima.
 

Elliot Szobo and Jota can do better there RW.

Ni suala Klopp achague kuachana na Inverted RB apige flat 4-3-3 ili kuongeza strength upande huo wa RHS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…