Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekua kama jongoo …. Miguu mingiii mwendo uleulearsenal kimeumana huko anatafutwa na yawafike mabaya tuu nyie na man city kama man u
Ubingwa tuushindwe wenyewe tu. Arsenal Ana mechi kama 3 za kupigwa huko mbele. City hakosi hata mechi 2 za vipigo huko mbele ingawa kdb karudi. Na Hakuna ambaye wamechukua epl akiwa kafungwa mechi 5 kwa msimu.Ukitaka ucheke mpaka ufe basi pitia jukwaa la Arsenal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2858854
Doak bdo sana labda wabadilishane tu kwenye subUbingwa tuushindwe wenyewe tu. Arsenal Ana mechi kama 3 za kupigwa huko mbele. City hakosi hata mechi 2 za vipigo huko mbele ingawa kdb karudi. Na Hakuna ambaye wamechukua epl akiwa kafungwa mechi 5 kwa msimu.
Arsenal ashalamba nyasi mara 4 tayari
City mara 3
Liverpool mara 1 tena kimagumashi pale kwa Tottenham.
Tukaze kidogo tu.... Ingawa salah anapoondoka AFCON na Ile winger isipate mtu WA kuichangamsha tutapata shida.
LABDA atamuamini Elliot..... Au yule dogo doak
We don’t need Thiago this season
Am okay with the status quo kaka... Actually with addition ya DM ili Macca na Domy wasifungwe pingu tena wasogee mbele kiasi ili kuongeza mashambulizi na magoli...
Thiago atakua anaingia dakika ya 70 au 80 huku tukiwa tumeshinda japo sina hakika kama kweli hata gemu 10 atacheza msimu huu EPL is aggressive haitaki soft boys inahitaji hard ones...
YNWA
[emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]Klopp akicheza karata vyema dirisha hili kupata DM tuko vizuri au Klopp aedelee na mipango ile ile ya mpangilio wa sub sahihi kwa wakati sahihi... Msimu huu sub wametuweka pazuri sana kwa ma assist, na magoli....
Tutamkosa Salah na Endo kwa mechi kadhaa EPL, Carabao na FA lakin kwa kua bado waliopo wakitulia wanauwezo magoli yatakuja tu ni wakati sasa wa Nunez na Gakpo kuonyesha wapo capable kuridhi majukumu ya Salah kwa vitendo.
YNWA
Am okay with the status quo kaka... Actually with addition ya DM ili Macca na Domy wasifungwe pingu tena wasogee mbele kiasi ili kuongeza mashambulizi na magoli...
Thiago atakua anaingia dakika ya 70 au 80 huku tukiwa tumeshinda japo sina hakika kama kweli hata gemu 10 atacheza msimu huu EPL is aggressive haitaki soft boys inahitaji hard ones...
YNWA
Wenyewe wakikuskia unamsema vibaya main striker wao[emoji23][emoji23]. Ila to be honest Jesus was never any good and that's why city binned him off, Arsenal fans just think every signing they make is a world beater, same as Zinchenko, white, viera etc etc
Picha ya chini Kwani huyu wa light blue hatakiwi kuzidi huo mstari?
ili unielewe kwa urahi ngoja nikuelezee kwa mifano.
Miaka ya nyuma tuliwahi kutumia hela nyingi sana katika usahili ambapo tuliwasajili kina Stewart Downing, Charlie Adam tukaja kina Andy Carroll, Jordan Henderson tukawa top 3 katika matumizi kama hao Arenal sasahivi lakini still tulikuwa ni miongoni mwa usajili wa kimasikini unajua kwanini?
- Siku zote Timu zenye Bajeti ndogo inaamini katika kusajili wachezaji wengi average kuliko wachache wenye uwezo ndiyomana tulisajili wengi wa £20 tukafika £150M huku mwenye bajeti kubwa anasajiki wawili tu kwa £150.
Ndiyo Arsenal ya sasa Bajeti yake ni ya kuungaunga ndiyomana Tokea Arteta aje utaona ametumia hela nyingi sana kumbe amesajili Rundo la average player wa £30M na wachache wa bei kubwa za kulipa kwa installation.
Bajeti yake nimesema ni ndogo kwasasababu hawezi kusajili Wachezaji wa £80M au £100M+ na kuwalipa £300K per week ili kujenga kikosi Imara badala yake anaokota average players ili apate wengi kwa wakati mmoja.
Hivyo Arsenal bajeti yake ni kama sisi tu sema Klopp kawa mjanja kidogo kwenye kutafuta wachezaji.
Arteta iwapo atapewa Bajeti kama Chelsea au Man City au Man Unite ya kuweza kuvuta mchezaji wa £90M muda wowote anaojisikia basi atakuwa na Bonge la Timu lisilogusika.
Nadhani umenielewa.
Msimu huu tunamhitaji kila mtu kwasasabau tumeshaona mwanga.
Ameumia Robbo, ameumia Tsimikas, sasa nafasi yao anacheza Gomez kwa ufanisi wa hali ya juu je kuna aliyetegemea hili? Nadhani kabla ya msimu tungeweza kusema "We don't nee Gomez" but sasahivi ni tofauti tunamuhitaji kuliko wakati wowote ule.
Hivyo kwasasa kila mchezaji amathamani mpaka pale tutakapobeba kombe.
Huyu jamaa angerudi tu Liverpool akapatiwa gametime View attachment 2858827
Asante sana Numbisa iwe heri na kwako pia.Happy New Year Captain marvelous and all Liverpool fans
Ubingwa tuushindwe wenyewe tu. Arsenal Ana mechi kama 3 za kupigwa huko mbele. City hakosi hata mechi 2 za vipigo huko mbele ingawa kdb karudi. Na Hakuna ambaye wamechukua epl akiwa kafungwa mechi 5 kwa msimu.
Arsenal ashalamba nyasi mara 4 tayari
City mara 3
Liverpool mara 1 tena kimagumashi pale kwa Tottenham.
Tukaze kidogo tu.... Ingawa salah anapoondoka AFCON na Ile winger isipate mtu WA kuichangamsha tutapata shida.
LABDA atamuamini Elliot..... Au yule dogo doak