Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Doak injury,
 

Huenda akatolewa kwa mkopo tena. It seems Klopp anamuhitaji (pengine)
 

Mfano ni Rice, hao Jesus na Kai ni bei za kawaida Sokoni kwa sasa kwa average Players. Hapa ndiyo umekuja kucomfirm kuwa Arsenal hawapo vizuri kwenye usajili ndiyomana wanaokota average Players kama hao uliowataja.

Kusajili mchezaji mmoja kwa bei kubwa ni kawaida kwani hata sisi wakati huo tukiwa mafukara tulimsajili Andy Carroll kwa £35M iliyokuwa rekodi kwa bei za wakati huo.

Hivyo Arsenal kumsajili Rice kwa installation ni kawaida sana.

Arteta anawekewa hela mezani lakini asajili wachezaji wa kwa mafungu ndiyomana huishia kukimbilia kwa hao kina Jesus, anapokanyaga Manchester, Chelsea na Man City yeye anaishia kukimbia, hujaona tatizo? Akipewa £200M atatakiwa asajili wachezaji 7, lakini Wenzake wanawekewa £150M kwa wachezaji 2 tu, hapo nani mwenye Bajeti ya uhakika?

Wampe hela Arteta isiyo na masharti ya kusajili World Class Players au hata average ya kina Diego Jota au Luis Diaz au Szobo uone kama atashikika.

Lakini kwa kumpa Hela za masharti za kusajili rejects kama kina Jesus na Kai basi wasitarajie maajabu.
 
Yes.!! Uwepo wa Thiago sio lazima atupe 70’ per game ila uwepo wake uwanja kuna quality kubwa sana. Huyu akiingia mnaongoza mbili au tatu utaenjoy mpira
Mkuu Thiago kipaji chake MF might be the best we have kikosini lakini ukitazama uchezaji wetu kwa sasa tumesha evolve new boys to new playing style mzee hakuna kupoza mpira like Thiago style ni one two touches mbele kwa mbele....
Unless Klopp alter the way we are playing now sioni how he will fit with this speedsters boys...
The more he hold the ball the more pressure he creates for us and the more tackles he will get na mwisho unajua nini kitatokea...
If he can raise his game iwe less take ons nk nk man he is very much welcome lakin kama ni yule yule aisee hapana apoe kwanza tuweke gap ya kutosha kileleni.

YNWA
 
Endo gone so tutabaki na Domy, Jones na Macca probably double pivot DM... FSG wasipoingia sokoni naona kipara akinyanyua kwapa tena.. We have been here before Jones aint winning us the EPL, to win the EPL elite DM is a must maana he provides solid cover kwa defence na extra cover kwa Trent when he goes higher up the pitch we all know Fabinho when on song provided that with so much success...
Mzunguko wa pili utakua survival of the fittest elimination of th weakest hivyo there is no margin for error if we are serious thinking of winning the EPL..

So no in January Salah, No Endo, No Robertson well that tooo much quality we are losing man, Klopp has to be smart asiwachekee ma Yankees tumeshaona Kipara kikosi kimepwaya hivyo ni wakati wa kumkimbiza haswa wasipate kumpumzika..
Umeona how slight off the pass can change games tazama Arsena losing twice hiv hivi hii ndio EPL bhana haina huruma

YNWA
 
Suala la kuomba tusiwe na majeruhi wa muda mrefu tu. Sub msimu huu zimetunufaisha kutokana na depth na quality sio kubwa but atleast inaonekana unlike last season.
Klopp has never been blessed akiwa Liverpool kua na like for like quality sub so ame mix top quality(Fabinho) with medium quality(Henderson) he has won n won n won n won meaning he is a good teacher pamoja na jopo lake....
Whats we need most at Liverpool ni maintaining the football basics and courage rest will come... That why Klopp can make Robbo best LB in EPL kwa kumnunua tu bei chee lakin akampa shule kwa kutumiwa what's the boy is blessed with. Quality subs will cost a million man n FSG won't sanction that.

Kikubwa msimu huu hakuna anaenuna kubaki benchi especial hawa madogo wameelewa mapema kila dakika kuvaa uzi huu should count that why we see th highest harmony, cohesion in the team... Kutokua Champions League this term pia kumewapa elimu kwamba team work is the key.

YNWA
 
2018/19 mlifungwa mechi 1 tu msimu mzima na hamkuchukua kombe, mechi za kufungwa zisikupumbaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…