The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Ubingwa tuushindwe wenyewe tu. Arsenal Ana mechi kama 3 za kupigwa huko mbele. City hakosi hata mechi 2 za vipigo huko mbele ingawa kdb karudi. Na Hakuna ambaye wamechukua epl akiwa kafungwa mechi 5 kwa msimu.
Arsenal ashalamba nyasi mara 4 tayari
City mara 3
Liverpool mara 1 tena kimagumashi pale kwa Tottenham.
Tukaze kidogo tu.... Ingawa salah anapoondoka AFCON na Ile winger isipate mtu WA kuichangamsha tutapata shida.
LABDA atamuamini Elliot..... Au yule dogo doak
Doak injury,