Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee.... Liverpool kwenye hili Dirisha Dogo kama kweli tunautaka Ubingwa tutafute striker mzuri, huyu Nunez siyo kabisa nafasi Kumi anapata Moja, hivi hivi hatuwez fika.
Nunez ni average player [emoji23][emoji23] hamna striker hapo anavitu vya kujifunza kutoka kwa Jota. Kunagoli Gakpo kafunga angekuwa ni yeye angebutua tu [emoji23][emoji23] hana skills kabisa yeye anacho waza ni kufumania nyavu tu
 
Jones has been Fabolous tuombe Mungu wasimuumize Tena maana injini yake ni ya Diesel Inachelewa kuchanganya

Diogo Jota that's someones you can count on (mchezaji ambaye ukimuona benchi wakati mambo ni mabovu kidogo unapata tumaini)he is giving Dirk kuyt vibes

Diaz had ana amazing performance Leo

Ndugu yetu Nunez good runs shida Iko palepale beef lake na "Target" halijawahi kuisha


Salah to be honest tutuammiss Egyptian King.....mm Dua zangu Egypt atupwe nje kwenye makund[emoji855]
 
Nunez ni average player [emoji23][emoji23] hamna striker hapo anavitu vya kujifunza kutoka kwa Jota. Kunagoli Gakpo kafunga angekuwa ni yeye angebutua tu [emoji23][emoji23] hana skills kabisa yeye anacho waza ni kufumania nyavu tu
Yule ni mzigo
 

Bado naitetea Arsenal kwa kumwaga pesa. Ishu ni Arteta mwenyewe. Yaani iwe vipi Arsenal iwe ya tatu kutumia pesa kwenye usajili toka aje, na ya tatu kwenye wages bill bado useme bajeti ndogo?? BIG NO to me. Ukimuondoa Haverts the rest were doing good walipotoka.

Ishu sio pesa ishu ni right players watakaofit kwenye falsafa yake. Arteta sio mbaya kwa ubaya anaopewa na wengi na sio mkubwa kwa ukubwa anaopewa na wengi.

See Emery bajeti ndogo ila collection ya players na mbinu zake zinaifanya Villa kuwa hatari. Mcheki Eddie Howe anavyotoa changamoto nzuri na Newcastle yake, De zergbi na B&A yake. Arteta anafeli kwenye recruitment. Hata ile Liverpool pesa ilitoka ila tulifeli kwenye recruitment ya players na hatukuwa na kocha mkubwa. Sometimes budget bila mtumia budget vizuri utafelisha sherehe.

Embu ona Benitez na Mou walipoenda Madrid kikosi bajet kubwa ila hawakufanya aliyofanya Zidane.

Kwangu Arteta anajifelisha mwenyewe tu, kwa kuwa na bad recruitment na kushindwa kuwatumia players wake. Kikosi alichokishindwa Gerrard cha Villa, Emery alikitoa huko kugombania nafasi ya kushuka daraja kwa wachezaji wale wale akaipandisha mpka top ten.

Steve Bruce aliiongeza Newcastle mpka huko tano wa mwisho, Howe akaichukua timu akamaliza top ten. Last season top four.

Arteta sio mkubwa sio mdogo anahitaji timu zisizo na pressure ya mafanikio ya mataji makubwa (EPL & CL).
 

Huwezi kucheza intensity game throught the season. We have many games

FA
Carabao
UEL
Are there, we can use him there.
 

Wasi wasi wangu, kumpata huo World class DM january ni ngumu sana. Yule Palhinha is a good modern DM ila ataenda bayern im guessing. Huyu ingekuwa big deal sana for 3-4 good seasons he is 28 by now, hana muda wa kujifunza kuhusu EPL. Huku tukimpika Bajcetic, he has potential as our future DM.

Fabio Carvalho karudishwa ila atatolewa kwa mkopo and S’ton have shown some interest. Owen Beck amerudishwa kutoka Dundee alipokuwa kwa mkopo. He is a Left footer karejeshwa kusaidiana na Gomez (finger crossed Gomez to stay fit untill the end of the season). Tayari huoni possibility ya kusajili defender. Nami nitakuwa sawa na Klopp otherwise aumie Gomez (God forbid). Kikubwa ni kupata DM wa maana a monster from latinAmerica kama ulaya basi Ureno au Ufaransa na Italy hata Uholanzi sio mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…