Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jota akiwepo angalau mambo yatakwenda sawaKuna kipindi waliondoka Salah, Mane na Keita kwa ajili ya AFCON na tulitembeza vipogo hatukupoteza hata game moja.
Mama cita tulia hivyohivyo acheni kutingisha wakubwa walipokaaSalah anaenda afcon mtatafutana humu.
Livakuku mna false hopes kama wale mazombi wa arteta tu, endeleeni kusafisha chumba wenye nyumba tupo njiani.Mama cita tulia hivyohivyo acheni kutingisha wakubwa walipokaa
Siti tumekalia na hatunyanyuki.
AiseeLivakuku mna false hopes kama wale mazombi wa arteta tu, endeleeni kusafisha chumba wenye nyumba tupo njiani.
Mabingwa wa dunia tukikaa tumekaa sasaView attachment 2859755YNWA. Nisalimieni Mikel Arteta hapo namba 4
Nimeona post moja mwenzako anapiga ramli anatuhesabia mechi za sisi kuja kufungwa 🤣🤣🤣 inaonyesha mlivyo waoga mkikumbuka kipara the mastermind anawapumulia hapo kisogoni na ndo kwanzaa january na sie ligi huwa tunaanza February na gap ni 5 pts kwa msaada wa kiporo...hapo lazma mchanganyikiwe.Aisee
Kama unajijua timu yako haipo top 2 ,sijadiliani na watu wa timu ndogo.
Ukiona timu yako unaanza kusubiri ishinde Kwa ramli,eti inasubiri Mabingwa wafungwe, ujue hakuna timu ya kubeba kikombe chochote
Akina mama Sita nyie labda mbebe ndoo za kuteka maji ya kunywa, Mabingwa tukiwa tunanyanyua makwapa.
Salah anaenda afcon mtatafutana humu.
Jota akiwepo angalau mambo yatakwenda sawa
Ila wakibaki akina Nunez pekeyao sijui!
Hamtoamini mpka salah arudi kutoka afcon kuku mtakua wa sita na sisi tunawaombea Egyptians wafike hata nusu fainali
Kuna kipindi waliondoka Salah, Mane na Keita kwa ajili ya AFCON na tulitembeza vipigo hatukupoteza hata game moja.
Nilikuwa nikimlaumu sana Nunez lakini naona niache kumlaumu bali niseme tu Nunez pia hana bahati amepatwa na kama nuksi hivi.
Huenda hii nuksi ikamuondokea akarudi mchezoni.
Natamani kusema tuna defensi dhaifu… Lakini stats zinanizomea. We have leaked the fewest goals
Maybe tuna mido nzuri inatulinda na mabaya. Lakini hata defensi imeimprove
TOPU OFU ZE TEBO
[emoji1593]Ni umahiri tu wa Martin Dubravka ndio umefanya Liverpool kufunga magoli 4 lakini siku nyingine yoyote basi inakuwa hata 7 kama sio 8 kabisa, kwa aina bora za nafasi walizotengeneza leo dhidi ya Newcastle
[emoji1593]Kuna muda tunaongea sana kuhusu mifumo na mbinu lakini kuna vitu ambavyo ni muhimu sana vikifanyika kwa usahihi timu inakuwa imara uwanjani .... walivyofanya Liverpool leo
1: Runs nzuri sana kwenye spaces zilizo wazi ( Salah , Diaz , Darwin , Jones , TAA )
2: Kukabia juu haraka sana pale mpira ukipotea kwa idadi kubwa ya wachezaji ( risk sana lakini inalipa . Maana ukikabia juu sana maana yake nyuma unaacha walinzi wawili tu wa kati )
3. Pass and Move : achia mali halafu tembea kwenye nafasi ni ngumu sana kukabiliana nayo maana kama Newcastle unashindwa kujua nani yupo wapi wa Liverpool
4: Piga mpira golini unapopata nafasi ya kufanya hivyo badala ya kuongeza pasi ( stop overplaying )
Hivi vyote Liverpool walifanya kwa usahihi sana , mapungufu yalikuwa sehemu tatu tu leo kwao
1: Kuna nyakati kadhaa walikuwa wanapoteza mali kirahisi sana tena hata bila kwenye presha : Hasa Szobo : katika mechi kama tatu hivi amekuwa chini sana ya kiwango
2: Umaliziaji wao : hii inamuangukia Darwin Nunez nafasi kama tatu nzuri sana . Amuangalie mwenzake Alexander Isak
3: Walipokuwa wanakabia juu sana : TAA na Gomez nao wanasogea juu sana maana yake wanaacha space kubwa ambapo mara kadhaa Newcastle walipokuwa wanaishinda pressing ya Liverpool walikuwa wanatumia space ambayo wanaiacha TAA na Gomez .
[emoji1593]Newcastle kiukweli leo ilikuwa ishu ya kucheza kwa matumaini , kwamba Dubravka kwenye ubora wake na wao wafunge magoli ya counter attacks au mipira iliyokufa .
NOTE
1: Gordon dribbling yake na kasi yake [emoji91]
2: Isak kama haendi vile kumbe anaenda aisee
3: Ile pasi ya Mo Salah kwenye goli la tatu " Outer Pass " [emoji91]
4: Luis Diaz leo nimeona kile kiwango kama alichokuja nacho [emoji91]
5: Jones kama alivyocheza dhidi ya Arsenal na leo hivyo hivyo [emoji91]
6:Martin Dubravka saves za leo [emoji91] kapunguza sana idadi ya magoli
7: NIMEFURAHI ( mtajua wenyewe kwanini nimefurahi ushindi wa Liverpool ) [emoji3] wale wana kelele sana
FT: Liverpool 4-2 Newcastle
AMBANGILE