Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.

Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.

Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.

I wish him all the best.

He's playing under pressure kuprove his worthy jambo ambalo linamnyima utulivu.

Tactically yupo vizuri but psychological ndiyo shida ilipo.

Nadhani Klopp ampe Off ya wiki moja akaonane Mtaalamu wa Saikolojia amrudishie utulivu.

Jana nilitumia kwa umakini mkubwa kumuangalia kuliko siku zote zile nimebaini hilo tatizo lake! Kiukweli jamaa hana bahati tu lakini uwezo anao.

Nunez anahitaji Mwalimu kama Arsen Wenger mtaalamu wa Saikolojia nje ya uwanja.
 
Kuna muda no zinakukatalia uhalisia. Ila aina ya magoli tunayofungwa kila siku mengi tunayatoa kama zawadi tu. Vvd kaongezeka ubora msimu huu kutoka atoke majeruhi yale. Last six match Endo played very well. Na sasa hivi both short and long passes anazipiga vizuri. Amejiamini na ameingia kwenye mfumo.

  • Ukiangalia game Live ya Liverpool basi utaona wazi kiwa tuna tatizo kwenye deference yetu.
  • But ukiangalia takwimu kwa kulinganisha na Timu nyengine za EPL basi takwimu zitakwambia tuna defence bora EPL.
  • But ukiangalia Takwimu bila ya kulinganisha na Timu nyingine ya EPL basi takwimu zitakuonesha kiwa defence yetu haipo sawa.

Hivyo tusiangalie Takwimu kwa kulinganisha na Timu nyingine za EPL kwasababu Defence zao ni mbovu zaidi kuliko ya kwetu, hivyo tuangalie takwimu in term of performancewise basi utapata majibu kuwa defence yetu haipo sawa.
 
Alitutapeli sana bwana KEITA, mbaya zaidi Klopp kama kawaida yake akautoa msimu mzima sadaka ili amsubirie Keita
Dogo ana nuksi sana kabla hajahamia Liverpool alikua moto sana RB nakumbuka timu kadhaa zilituma ma scout kumfuatilia walikuwepo Bayern Munich, Barcelona, Manchester United nk lakin dogo kaa kuongea na Klopp na ahadi kem kem akajitosa Anfied kuridhi jezi ya Gerrard namba 8 na yaliyomkuta naamini anaona bora angechagua kwingine kabisaaaa.

YNWA
 
Opta stat..

According to Opta, Liverpool set a Premier League expected goal record, with the tally of 7.27 representing the highest figure since records began in 2010/11. The margin between the Reds’ xG and Newcastle’s (6.68) was bigger than in all-but-three matches in FiveThirtyEight’s database, and that contains over 36,000 games from across the globe.

Kudos Klopp and the boys... Now turn those chances to goals and we are safe at the perch..

YNWA
 
Nunez ni average player [emoji23][emoji23] hamna striker hapo anavitu vya kujifunza kutoka kwa Jota. Kunagoli Gakpo kafunga angekuwa ni yeye angebutua tu [emoji23][emoji23] hana skills kabisa yeye anacho waza ni kufumania nyavu tu
Wazungu wanamuita unlucky player
 
IMG-20240102-WA0048.jpg
 
Kuna chance moja Nunez alipata yeye na kipa nikasema Bismillah Mungu jaalia afunge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona post moja mwenzako anapiga ramli anatuhesabia mechi za sisi kuja kufungwa 🤣🤣🤣 inaonyesha mlivyo waoga mkikumbuka kipara the mastermind anawapumulia hapo kisogoni na ndo kwanzaa january na sie ligi huwa tunaanza February na gap ni 5 pts kwa msaada wa kiporo...hapo lazma mchanganyikiwe.
Kipara aliye vichochoroni huko sisi tuwawaze watu wanaotegemea jini lililoflop kushinda 😂
 
Mechi ijayo wananyolewa vipara
City, city, city...hawa ndio wapinzani wetu wakubwa kwenye ubingwa. City wanapokupa pressure si sawa na sisi tukiwapa wao pressuure. Kwa maana kwamba wanatulazimisha sisi kushinda game zetu na wao wanashinda zao.
Ukiangalia tuna tofauti ya piont 5 sisi tukiwa pale juu na city wana game 1 mkononi. Wakishinda tofauti itakuwa points 2.
Siku tukitoa sare tu na city wakashinda tunakuwa sawa. Na wao wanakwenda kukaa pale juu. Wallah naapa hatuwezi kuwashusha tena.
NAtamani kuiona liverpool kwenye kiwango walichoonyesha jana kwenye kila game.
 
Ngoja tuone labda mwamba wa miamba Nunez strika wa dunia atajizolea maujiko kwa mabao kama mvua.
Salah's position will be fixed, not Salah's ability.
So, without even Jota hakuna kitakachoharibika as long Klopp ataplay his part.
 
Nilikuwa nikimlaumu sana Nunez lakini naona niache kumlaumu bali niseme tu Nunez pia hana bahati amepatwa na kama nuksi hivi.
Huenda hii nuksi ikamuondokea akarudi mchezoni.
Mimi kuna muda hadi namuonea huruma
Sema dogo anapambana sana,ni vile bahati huwa haipo upande wake
 
Huyu awapigie simu kwao aulize vizuri, huenda wamemfanyia manuva
Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.

Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.

Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.

I wish him all the best.
 
Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.

Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.

Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.

I wish him all the best.
Hizi ni zile comments anazipendaga Captain Marvelous 😂
Happy new year bro
 
Its football bro. Same kwa anavyokaangwa Nunez ila drought of goals ilivyokuwa kwa Diaz and Gakpo hawakuwa wakiguswa.

Pressure inakuwa kubwa mno kwa fans. Kama Salah alivyokosa PK jana, kelele zikawa Salah asipewe tena PK tutafute mwingine. Mechi imeisha all praised him hahah.

Sasa inabidi uwaelewe watu na uwezo wao wa kuhimili vishindo vya EPL.
Mimi siyo bro,ni Bibi yenu😁

Salah licha ya uwezo wake mkubwa ila kwenye penati mimi binafsi huwa siyo chaguo langu.
Penati zilikuwa zake Fabinho na Babu Milner nyani mzee.

Sasahivi tuwajaribu na akina Nunez kwenye penati,kwani sh ngapi 😁
 
Back
Top Bottom