King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.
Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.
Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.
I wish him all the best.
He's playing under pressure kuprove his worthy jambo ambalo linamnyima utulivu.
Tactically yupo vizuri but psychological ndiyo shida ilipo.
Nadhani Klopp ampe Off ya wiki moja akaonane Mtaalamu wa Saikolojia amrudishie utulivu.
Jana nilitumia kwa umakini mkubwa kumuangalia kuliko siku zote zile nimebaini hilo tatizo lake! Kiukweli jamaa hana bahati tu lakini uwezo anao.
Nunez anahitaji Mwalimu kama Arsen Wenger mtaalamu wa Saikolojia nje ya uwanja.