Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Na imetupa rhythm nzuri ya kujijenga hiyo kutokuwa Chsmpions league. Maana kuanza msimu na Mf wageni wote its a risk thanks wame adapt very fast as if they were here before.
 
Nunez ni average player [emoji23][emoji23] hamna striker hapo anavitu vya kujifunza kutoka kwa Jota. Kunagoli Gakpo kafunga angekuwa ni yeye angebutua tu [emoji23][emoji23] hana skills kabisa yeye anacho waza ni kufumania nyavu tu

Kuna muda unahitaji bahati. Ule mpira Gakpo aliumis ukaingia tu nyavuni kwa kumgonga eneo na asilokusudia.
 

Nimefurahishwa na performance ya Diaz imeleta matumaini.
 
[emoji599] Klopp confirms Dominik Szoboszlai suffered hamstring injury: “He wanted to take him off, that was the plan… but unfortunately it was somehow a minute late because in the last situation he felt the hamstring”.

"Wedon’t know the extent of it, obviously, so we have to wait”.
 
Egypt ni fainal au nusu final anaweza zuiliwa na ivorycoast au senegal tena kwa tabu njia yake asipokutana na hao ni fainali maombi yako kiufupi ni dua la kuku. Football Africa inatabirika.Team Bora kama Morocco hawezi mfunga Egypt hata friend match
 
Game ni nyepesi sema Liverpool kama kawaida ina kitete pindi inapoongoza ligi

Refer mechi na united, ndio kama hii

Panic za ajabu ajabu na kukosa nafasi za wazi na penati

Hakuna timu ya ubingwa humu kwa hali hii hata masihi ashuke

Muda bado unao jaribu kubadilika ndugu, do your best.
 
Natamani kusema tuna defensi dhaifu… Lakini stats zinanizomea. We have leaked the fewest goals

Maybe tuna mido nzuri inatulinda na mabaya. Lakini hata defensi imeimprove
 
TOPU OFU ZE TEBO

[emoji1593]Ni umahiri tu wa Martin Dubravka ndio umefanya Liverpool kufunga magoli 4 lakini siku nyingine yoyote basi inakuwa hata 7 kama sio 8 kabisa, kwa aina bora za nafasi walizotengeneza leo dhidi ya Newcastle

[emoji1593]Kuna muda tunaongea sana kuhusu mifumo na mbinu lakini kuna vitu ambavyo ni muhimu sana vikifanyika kwa usahihi timu inakuwa imara uwanjani .... walivyofanya Liverpool leo

1: Runs nzuri sana kwenye spaces zilizo wazi ( Salah , Diaz , Darwin , Jones , TAA )

2: Kukabia juu haraka sana pale mpira ukipotea kwa idadi kubwa ya wachezaji ( risk sana lakini inalipa . Maana ukikabia juu sana maana yake nyuma unaacha walinzi wawili tu wa kati )

3. Pass and Move : achia mali halafu tembea kwenye nafasi ni ngumu sana kukabiliana nayo maana kama Newcastle unashindwa kujua nani yupo wapi wa Liverpool

4: Piga mpira golini unapopata nafasi ya kufanya hivyo badala ya kuongeza pasi ( stop overplaying )

Hivi vyote Liverpool walifanya kwa usahihi sana , mapungufu yalikuwa sehemu tatu tu leo kwao

1: Kuna nyakati kadhaa walikuwa wanapoteza mali kirahisi sana tena hata bila kwenye presha : Hasa Szobo : katika mechi kama tatu hivi amekuwa chini sana ya kiwango

2: Umaliziaji wao : hii inamuangukia Darwin Nunez nafasi kama tatu nzuri sana . Amuangalie mwenzake Alexander Isak

3: Walipokuwa wanakabia juu sana : TAA na Gomez nao wanasogea juu sana maana yake wanaacha space kubwa ambapo mara kadhaa Newcastle walipokuwa wanaishinda pressing ya Liverpool walikuwa wanatumia space ambayo wanaiacha TAA na Gomez .

[emoji1593]Newcastle kiukweli leo ilikuwa ishu ya kucheza kwa matumaini , kwamba Dubravka kwenye ubora wake na wao wafunge magoli ya counter attacks au mipira iliyokufa .

NOTE

1: Gordon dribbling yake na kasi yake [emoji91]

2: Isak kama haendi vile kumbe anaenda aisee

3: Ile pasi ya Mo Salah kwenye goli la tatu " Outer Pass " [emoji91]

4: Luis Diaz leo nimeona kile kiwango kama alichokuja nacho [emoji91]

5: Jones kama alivyocheza dhidi ya Arsenal na leo hivyo hivyo [emoji91]

6:Martin Dubravka saves za leo [emoji91] kapunguza sana idadi ya magoli

7: NIMEFURAHI ( mtajua wenyewe kwanini nimefurahi ushindi wa Liverpool ) [emoji3] wale wana kelele sana

FT: Liverpool 4-2 Newcastle
AMBANGILE
 
Ndugu zetu akina HENRY14 ,verifaidi yuza na mkorea na makubwa jinga ya kufunga na kufungulia mwaka, nawatakia heri ya mwaka mpya.

Tufuateni basi pale juu..
Mlisema January ndio mnaanza ligi.

Wakubwa wakikaa kwenye siti huwa hawanyanyuki wala kunyanyuliwa hadi mwisho wa safari.
 
Na imetupa rhythm nzuri ya kujijenga hiyo kutokuwa Chsmpions league. Maana kuanza msimu na Mf wageni wote its a risk thanks wame adapt very fast as if they were here before.
Wamejitahidi sana hawa watoto,
Tuwape maua Yao

Mechi za mwanzo tu walianza kukiwasha, utadhani ni wenyeji wa miaka nenda rudi..
Hata wakifanya vibaya mimi siwalaumu maana kwanza bado ni wageni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…