Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

.
FB_IMG_1704296236632.jpg
 
Mpira ni magoli, magoli ndio yanaleta 3pts, mechi na Newcastle, sub zile zilikuja kufanya kitu ambacho Nunez alitakiwa kufanya dk 20 tuu za mwanzo game ilivokua,

When our starting number 9 (Firmino) alivyokuwa anastrech games 5-7 bila kufunga, ulikuwa unasema haya?

We won PL, CL, FA, EFL, CWC etc, na Striker ambaye ilikuwa ni mbinde kukusanya 12-15 kwenye league kwa msimu, ulikuwa unasema mpira ni magoali?

Kipindi kile, wakati nashinda humu kumtetea Firmino kuhusu umuhimu wake kwenye teams wakati fans wengine wakikosoa ubutu wake kwenye kufunga, mbona nilikuwa sikuoni ukisema kuwa mpira ni magoal?

Salah, msimu uliopita alistruggle sana, kwasababu tulikuwa tunajaribu kumdeploy as a touchline winger, ili kumuaccomodate Nunez, but msimu huu Nunez game has evolved, he can play/contrubute anywhere across the front three, pressing/hold-up play/link up play/streching the pitch/available for second balls/dropping deep kucollect mipira/starting counters etc, na yote ndiyo alikuwa anafanya Firmino.

Juzi, baada ya kumset up Dom, he drifted wide (Salah area), ili kumruhusu Salah ku-attack the middle area, au ulikuwa unataka Nunez anashinda kwenye box tu? tunacheza na 433, huu mfumo now unahitaji a dynamic ST, siyo orthodox ST.

Nunez, angenufaika zaidi kama tungekuwa tunacheza 4231, but hiyo formation inamlimit our best player, so as a coach you need to find shape/formations ambayo itakuwa inampa uhuru best player wa team, hence Nunez/Diaz/Jota/Gakpo wanatakiwa ku-adjust their game, ili kucompansate runs/movement za Salah kwenye 433 au 3-2-5 tukiwa tuna-attack.
 
Klopp hakutoa msimu sadaka.

Tunasahau mapema sana.

Naby Deco Keita, had Barcelona, Bayern Munich, Manchester United, Juventus, PSG, on his ear, they all wanted him, na walijaribu, haikuwa tu INTEREST.

Mike Edwards (Ex-Liverpool DOF na DATA guru) was the one ambaye ali-engneer na kufaciltate the whole move, huyu ni data guru ambaye ndiyo alikuletea kina Coutinho, Sturridge, Robertson, Firmino, Matip, Fabinho, Wijnaldum, Van Djik, Alisson, Mane, Salah, Konate, Shaqiri etc,

Tunasahau kuwa Klopp choices zilikuwa ni Jonas Hector at LB (we signed Robertson), Gotze, Brandit, Draxler (We signed Mane & Salah, tena hawa walikuwa ni second choices, achana na mane, Edwards & Fallows had to seat down with Klopp in his office na kumconvince kuhusu Salah), Klopp liked Zielinski (We signed Gini) hizi siginings zote zimefanyika kwa kutumia data/sample size, na ndiyo zimetupa PL & CL.

We wanted Keita, but Leipzig hawakuwa tayari kumuachia kipindi kile, wakati huo DOF wa Leipzig alikuwa ni RALF RANGNICK, na unajua jinsi alivyo msumbufu, hence tukakubali ile deal, na the reason ya kufanya vile ilikuwa ni ku-wave competition kali ya Barcelona, na tulilipa a record fee kipindi kile, sasa kama Mike Edwards, one of the best negotiators in the game, alikubali kulipa record fee, na tena kumuacha at Leipzig for a season, unatakiwa ujue Keita alikuwa ni mchezaji wa aina gani.

Keita career at LFC took a bad turn baada ya injury aliyoipata against Barcelona (tackle ya Ivan Rakitic), tangia hapo akaanza kupata muscular injuries, injury iliyokuwa inamsumbua Keita, ni kama hii ya Bajcetic, but ilikuwa ngumu kwa Keita kuheal, because lets be honest his actual age is not 28, so hakuwa 22 wakati Ivan Rakitic anamfanyia ile tackle at Camp Nou, so Injuries ndiyo zimemkwamisha Keita at LFC, kwa suala la umri, factor yake ni ndogo sana, wenzake kina Mane, Yaya Toure, Falcao, Luis Suarez, Fabinho etc, wamecheza kwa mafanikio makubwa tu, despite kudanganya umri halisi.

Naby Keita, was a WORLD CLASS player kabla ya his injuries, ndiyo maana your World class coach hakuwahi kumkatia tamaa, na hata Keita kuondoka LFC ni yeye aliamua, because Klopp alimpa offer ya extension.

Klopp got rid of Gini & Hendo, the minute walivyosema wanataka kuondoka, but he had 2 extension offers kwa Fabinho & Tapeli Keita on the table.

But, maybe Klopp hajui kitu kuhusu football.
Nilimpenda sana Nigger sema majeraha mbaya sana

Btw aya ya mwisho nimeipenda
 
Perspectives.

DARWIN NUNEZ, mpaka sasa ana miezi 18 at LFC.

Tufanya kulinganisha miezi yake 18 na ile 18 ya LUIS SUAREZ at LFC? ni kwaajili ya perspectives.

Maana, LFC fans tunaongea as if Suarez alihit the ground running at LFC, tuonaongea as if, LFC fans walikuwa hawasemi/kuponda kuwa he wasnt good enough kumreplace Torres at LFC, tunasahu na kujisahaulisha sana.

Then, miezi 18 ya kwanza at LFC ya Luis Suarez.

15 goals
3644 minutes

Miezi 18 ya kwanza at LFC ya Darwin Nunez.

14 goals
2949 minutes

Means katika miezi yao 18 ya kwanza, Nunez amecheza fewer minutes kuliko Suarez.

Msimu wake wa kwanza (ofcourse alikuja Janury) 2010/11 alifunga goals 4 katika 13 apps, msimu wake wa pili full, (2011/12) alifunga goals 11 katika 31 apps, msimu wake wa 3 sasa ndiyo akaanza kuevolve, 23 goals in 31 apps, na msimu alioexplode ni 2013/14 ambapo alifunga goals 31 kwenye apps 33, sasa hapa sifananishi ubora wa Suarez na Nunez, nafananisha projections zao, Suarez had to find his feet kwenye league, it took him a while kuadjust his presence kwenye league, na tulikuwepo tuliompa muda.

Na ikumbukwe, kupindi kile ambacho Suarez anajaribu kufind his feet kwenye league, tulikuwa na record signing Andy Carroll, ambaye aliondoka LFC akiwa ni total flop, na baada ya Suarez kuondoka, we signed Balotelli, Origi, Benteke, Lambert etc, katika hizi signings zote aliyekuja kuwa na afadhali ni Origi pekee, then Klopp had to switch Bobby at #9 and the rest was history.

Now we have Nunez, the reason why naamini he will come good, ni vitu anavyo offer uwanjani.

Yes, he's not scoring goals, yes, he misses easy chances, but why hatuangalii vitu vingine anavyooffer? tuna a reliable goal scorer (Salah), na he compliment him a lot, si ndiyo alivyokuwa anafanya Firmino? complimenting Mane & Salah? why ni tofauti kwa Nunez?

Nunez is our counter-trigger, Nunez is one main/pivotal runner, Nunez is our pivotal chance generator, Trent/VVD/Alisson/Konate/Matip ndiyo wanamtumia ku-trigger counters.

Jana, he missed big chances (yes), but he was the PIVOTAL creator wa one first goal, na goal lilikuwa muhimu sana, kabla Newcastle hawajasettle kwenye their game plan, tena baada ya kumiss penalty in the first half.


Newcastle were attacking us kwenye our box, Jones intercepts, mpira unafika kwenye mguu wa Trent, Trent anainua jicho, na kupin-point mpira kwa Nunez, ambaye hapa ameshuka deep kwaajili ya kutrigger counter, mpira unamfikia Nunez, then anm-set up Dom, Dom anadrive/progress kwenda kushoto, sababu ya kudribble ni ku-drag Newcastle MFs/DEfs, anamuachia Diaz, na Dom anaendelea na false runs kwenye box na kufanikiwa kudanganya 3 newcastle defenders, Diaz anapata space ya ku-cut in, na kumpata Nunez, ambaye TAYARI ameshatengeneza a safe channel, mpira unamfikia Nunez, na anapress kwa Salah kwa easy tap in.

So, swali hapa ni kuwa, Haaland ni better goalscorer than Nunez, but Haaland anaweza kufanya alichofanya Nunez jana? yes anaboa kwenye kukosa magoli, but atleast hebu tuwe tunaacknowledge mchango wake mkubwa tu uwanjani, tunatamba na stats za Salah now, but Nunez amechangia kwa asilimia 70%, kitu ambacho Diaz/Jota/Gakpo hawawezi, na ndiyo maana Salah huwa anakuwa at his best akiwa na Nunez upfront.

Again, mbona Nunez anajituma sana uwanjani, anafanya kila alichokuwa anafanya Firmino, suala la kufunga litakuja tu, mpeni jamaa a break Aisee, anasaidia sana team, kama huoni msaada wake its fine.

Kuna msemo huwa anapenda sana kuutumia Gary Neville, "Dont watch the game, SEE the game".
dah nakubali mwamba

Sema nini, Nunez napenda mikimbio yake anawatesa sana mabeki kuliko akicheza Gakpo anakimbia kama anatembea
 
Vipi kuhusu tetesi za Mbappe?
mbappe interest ni firm.

But, financial package yake ni kubwa sana, FSG had to break wagebill ili kumpa salah extension ya 350k-400k p/w.

Mbappe anachukua region ya £800k p/w, yes anaweza kushusha kidogo for Madrid/LFC because ni big club na zinaoffer vitu vingi, but sidhani kama itakuwa chini ya £600k.

Current salary ya Mbappe ni sawa na 2 caps za our highest earners (Salah & Thiago), so nadhani the only way we can afford Mbappe ni kama Salah akiondoka for £100-150m na kucut off/kumuondoa Thiago kwenye wage structure.

Hiyo ni upande wa wages, kuna pesa nyingi sana itahitajika mpaka kuclose hiyo deal, our owners thought Jude deal was so expensive, and they had to use a third party firm kutrigger RC ya Dom, ndiyo maana nina ukakasi na hiyo deal.

But, Mbappe ana history na LFC/Klopp, his mother ni LFC fan through and through, but hivi vyote vinakuwa havina maana kama pesa inakuwa haipo.
 
Back
Top Bottom