Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpira ni magoli, magoli ndio yanaleta 3pts, mechi na Newcastle, sub zile zilikuja kufanya kitu ambacho Nunez alitakiwa kufanya dk 20 tuu za mwanzo game ilivokua,

When our starting number 9 (Firmino) alivyokuwa anastrech games 5-7 bila kufunga, ulikuwa unasema haya?

We won PL, CL, FA, EFL, CWC etc, na Striker ambaye ilikuwa ni mbinde kukusanya 12-15 kwenye league kwa msimu, ulikuwa unasema mpira ni magoali?

Kipindi kile, wakati nashinda humu kumtetea Firmino kuhusu umuhimu wake kwenye teams wakati fans wengine wakikosoa ubutu wake kwenye kufunga, mbona nilikuwa sikuoni ukisema kuwa mpira ni magoal?

Salah, msimu uliopita alistruggle sana, kwasababu tulikuwa tunajaribu kumdeploy as a touchline winger, ili kumuaccomodate Nunez, but msimu huu Nunez game has evolved, he can play/contrubute anywhere across the front three, pressing/hold-up play/link up play/streching the pitch/available for second balls/dropping deep kucollect mipira/starting counters etc, na yote ndiyo alikuwa anafanya Firmino.

Juzi, baada ya kumset up Dom, he drifted wide (Salah area), ili kumruhusu Salah ku-attack the middle area, au ulikuwa unataka Nunez anashinda kwenye box tu? tunacheza na 433, huu mfumo now unahitaji a dynamic ST, siyo orthodox ST.

Nunez, angenufaika zaidi kama tungekuwa tunacheza 4231, but hiyo formation inamlimit our best player, so as a coach you need to find shape/formations ambayo itakuwa inampa uhuru best player wa team, hence Nunez/Diaz/Jota/Gakpo wanatakiwa ku-adjust their game, ili kucompansate runs/movement za Salah kwenye 433 au 3-2-5 tukiwa tuna-attack.
 
Nilimpenda sana Nigger sema majeraha mbaya sana

Btw aya ya mwisho nimeipenda
 
dah nakubali mwamba

Sema nini, Nunez napenda mikimbio yake anawatesa sana mabeki kuliko akicheza Gakpo anakimbia kama anatembea
 
Vipi kuhusu tetesi za Mbappe?
mbappe interest ni firm.

But, financial package yake ni kubwa sana, FSG had to break wagebill ili kumpa salah extension ya 350k-400k p/w.

Mbappe anachukua region ya £800k p/w, yes anaweza kushusha kidogo for Madrid/LFC because ni big club na zinaoffer vitu vingi, but sidhani kama itakuwa chini ya £600k.

Current salary ya Mbappe ni sawa na 2 caps za our highest earners (Salah & Thiago), so nadhani the only way we can afford Mbappe ni kama Salah akiondoka for £100-150m na kucut off/kumuondoa Thiago kwenye wage structure.

Hiyo ni upande wa wages, kuna pesa nyingi sana itahitajika mpaka kuclose hiyo deal, our owners thought Jude deal was so expensive, and they had to use a third party firm kutrigger RC ya Dom, ndiyo maana nina ukakasi na hiyo deal.

But, Mbappe ana history na LFC/Klopp, his mother ni LFC fan through and through, but hivi vyote vinakuwa havina maana kama pesa inakuwa haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…